1 day ago

Mwananchi

Kamusoko, kipa Serengeti Boys wasaini Yanga

Klabu ya Yanga imemsainisha mkataba mpya wa miaka miwili kiungo Mzimbabwe, Thaban Kamusoko huku pia ikimsajili kipa wa Serengeti Boys, Ramadhani Kabwili.

 

1 week ago

TheCitizen

Usher Raymond tours Serengeti

America singer Usher Raymond is in the country visiting the Serengeti National Park.

 

1 week ago

Mwanaspoti

Kipa Serengeti Boys aitwa Taifa Stars

Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga amemuita kikosini aliyekuwa  kipa wa timu ya taifa ya vijana 'Serengeti Boys', Ramadhan  Kabwili katika maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) dhidi ya Rwanda, Jumamosi hii.

 

2 weeks ago

Mwananchi

Ujenzi Hospitali ya Wilaya Serengeti kukamilika mwaka huu

Serikali imetenga fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

 

3 weeks ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Serengeti - Singita Boosts Monitoring Project With Vehicle


Tanzania: Serengeti - Singita Boosts Monitoring Project With Vehicle
AllAfrica.com
Serengeti — Singita Grumeti has donated a vehicle and dedicated it to Serengeti Ecological Monitoring Project, which aims to ensure that there is sustainable conservation of Serengeti National Park (SENAPA). The ambitious project focuses on climate, ...

 

3 weeks ago

Mwanaspoti

Katibu wa TFF amtembelea nahodha wa Serengeti Boy nyumbani kwake Dodoma

Katibu Mkuu wa Shirikisho Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa amemtelea nyumbani kwake aliyekua nahodha Serengeti Boys, Issa  Makamba.

 

1 month ago

ETurboNews

Tanzania's tourism players fight against silent deadly form of poaching in Serengeti


eTurboNews
Tanzania's tourism players fight against silent deadly form of poaching in Serengeti
eTurboNews
Tourism players in Tanzania have launched a lifetime bid that would see them plow back cash towards the country's fresh conservation drive. For the first time in history, the tour and hotel operators have officially committed themselves to become ...

 

1 month ago

Michuzi

PRECISION AIR SASA KUTUA SERENGETI

Shirika la Ndege la Kitanzania Precision Air limetangaza kuanzisha rasmi safari za ndege katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kupitia uwanja ndege wa Seronera. Safari hizo zitazinduliwa rasmi tarehe 1 Oktoba 2017. Tangazo hilo limetolewa huku shirika hilo pia likitarajia kuanzisha safari kati ya Tanzania na Uganda kupitia Uwanja wa kimataifa wa Entebbe mwanzoni mwa mwezi Julai.
Precision Air imekua ikafanya safari za kuelekea Seronera kupita utaratibu wa kukodishwa, na kuanza kwa safari...

 

1 month ago

Mwanaspoti

Kocha Serengeti awaibua vijana 25 Umisseta

Kocha Oscar Millambo wa Serengeti Boys amesema ameamua kwenda kuangalia vipaji katika mashindano ya Shule za Sekondari ya Umisseta kwa ajili ya timu za vijana chini ya miaka 16 na chini ya miaka ishiri mkoani Mwanza.

 

1 month ago

CCM Blog

SERENGETI, NGORONGORO NA KILIMANJARO SI VIVUTIO PEKEE VINAVYOPATIKANA TANZANIA


Na Jumia Travel Tanzania
Watalii wanaokuja Tanzania na kuelekea moja kwa moja kwenye hifadhi za taifa za Serengeti, Kilimanjaro au Ngorongoro inamaanisha nini? Ni kwamba wanakuwa wamekwishaambiwa kuwa ukifika Tanzania sehemu pekee za kutembelea ni hizo tu? Je tunawezaje kukabiliana na hali hii ambayo kwa namna moja ama nyingine inaweza kufifisha vivutio vilivyopo maeneo mengine nchini kutotembelewa?

Hakuna anayeweza kubisha kwamba sehemu ya Kaskazini mwa Tanzania imebarikiwa kwa kiasi kikubwa...

 

1 month ago

Michuzi

TFF YATOA UFAFANUZI KUHUSU SERENGETI BOYS

Kuna taarifa zimekuwa zikienea na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, zikidai kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatelekeza wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17.
Wadai kwamba eti hawakulipwa posho na kushutumu viongozi wa juu wa shirikisho kuhusu jambo hilo. Hizi taarifa si za kweli.
Aidha, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kuwajulisha wazazi na umma kwa ujumla kwamba vijana wetu walilipwa posho zao...

 

1 month ago

Mwanaspoti

Beckham, Sakho walivyopishana Serengeti

KUNA watu wanajiuliza, ilikuwaje David Beckham, pamoja na umaarufu wake wote alifika Tanzania na kisha kuondoka kimyakimya alipofanya ziara ya kitalii hivi karibuni?

 

1 month ago

Michuzi

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Mbunge wa jimbo la Serengeti

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mhe. Marwa Ryoba Chacha wakati wa ziara yake katika wilaya ya Serengeti, Mbunge huyo alimwambia Makamu wa Rais kuwa jimboni kwake wanafanya kazi kwa kushirikiana na Serikali bila kujali itikadi za vyama.

 

1 month ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA ZIARA SERENGETI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa wilaya ya Serengeti na wa mkoa Mara kukamilisha haraka awamu ya kwanza ya ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo ili kuondoa adha ya wananchi kusafiri kwenda mikoa ya jirani ya Arusha na Mwanza kwenda kupata huduma afya.

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa agizo leo 6-June-2017 kwenye mkutano wa hadhara mjini Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara mara baada ya kutembelea ujenzi wa hospitali...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani