8 months ago

Zanzibar 24

Kazi waliyokua wakifanya Babu Seya na mwawe Papii Kocha walipo kua gerezani

Wanamuziki maarufu wa muziki wa dansi, Nguza Viking, maarufu kwa jina la “Babu Seya” na mwanaye, Johnson Nguza au “Papii Kocha” leo Machi 9, 2018 wameeleza shughuli mbalimbali walizokuwa wakifanya gerezani.

Wakati Papii Kocha akisema alikuwa akijishughulisha na ushonaji wa mazulia, Nguza amesema alichaguliwa kuwa mnyampala, akiwa na jukumu la kusimamia wafungwa katika masuala mbalimbali.

Babu Seya, ambaye ni mtunzi wa kibao maarufu cha “Seya”, na mwanae Papii Kocha ambaye wameshirikiana...

 

9 months ago

Malunde

MJADALA WA SAKATA LA MSAMAHA WA BABU SEYA WAIBUKIA BUNGENI

Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya (CUF) Mhe. Abdalah Mtolea ameibua sakata la kusamehewa Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza 'Papii Kocha' na kusema halikuwa jambo jema kwa kuwa watu hao mahakama iliwabaini kuwa ni wabakaji.

Mtolea amesema hayo jana Februari 7, 2018 akiwa bungeni na kudai kitendo cha watu hao kuachiwa na kupewa heshima na Serikali ikiwa pamoja na kuwapandisha kwenye majukwaa mbalimbali na kuwapa ufadhili haileti picha nzuri kwa jamii.

"Kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika...

 

10 months ago

Michuzi

BABU SEYA NA PAPII KOCHA WAANZA MAANDALIZI YA UJIO WAO MPYA

​Muimbaji nguli wa muziki wa dance, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya pamoja na mwanae, Papii Kocha wameanza maandalizi ya ujio wao mpya, ikiwa ni takriban miaka 14 tangu waachie kibao kipya.
Wawili hao walipewa msamaha na Rais Dkt John Magufuli kwenye maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru. Serikali imeonesha nia ya kuwasaidia waimbaji hao wanaopendwa sana kurejea tena kwenye muziki kwa kishindo.
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Bi. Juliana Shonza aliwakutanisha na uongozi wa...

 

10 months ago

Malunde

BABU SEYA NA WANAE WAIBUKIA MAPINDUZI YA ZANZIBAR


Familia ya mwanamuziki Nguza Vicking 'Babu Seya' imeungana na Wazanzibari kwa ajili ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Maadhimisho hayo yaliyafanyika jana Ijumaa katika Uwanja wa Amaan Zanzibar yakihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa akiwamo Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.
Tayari Serikali imewatafutia studio ya kurekodi muziki familia familia hiyo baada ya kuonana na Rais John Magufuli Ikulu waliopokwenda kutoa shukurani. 
Mmoja mtoto wa Babu...

 

10 months ago

Bongo Movies

Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia studio

Wasanii wa muziki wa dance nchini ambao wameachiwa hivi karibuni kutoka gerezani kwa msamaha wa Rais JPM, Babu Seya na Papii Kocha Leo January 5, 2017 wametembelea studio za Wanene ambapo walipelekwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza.

Wasanii hao baada ya kutembelea studio za Wanene walifanya mazungumzo na Uongozi wa Wanene ikiwa ni kwa lengo la kufanya nao kazi, wamezungumza na vyombo vya habari na kuelezea kuhusu utayari wao kufanya kazi na tutegemee...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Serikali kuwasaidia Babu Seya na wanawe kurejea kwenye muziki

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasaidia wasanii Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa kuwapeleka studio ili waweze kurudi rasmi katika kazi yao ya muziki.

Akiongea mbele ya waandishi wa habari Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amesema kuwa leo Januari 5, 2018 amefanikiwa kuwafikisha wasanii hao katika studio za Wanene ambapo hapo wataweza kurekodiwa kazi zao na kusaidiwa mambo mengi kama...

 

10 months ago

MwanaHALISI

Serikali yamshika mkono Babu Seya hadi studio

SERIKALI imetangaza kuwabeba wasanii waliokuwa wamefungwa jela maisha ambao Desemba 9, 2017 walipewa msamaha na Rais John Magufuli ili kuinua vipaji vyao. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza leo amembeba Nguza Viking aliyekuwa amehukumiwa maisha kwa kosa la ubakaji na kutembelea studio za Wanene Entertainment zilizopo ...

 

10 months ago

Malunde

BABU SEYA NA PAPII KOCHA WAKUTANA NA WAZIRI STUDIO ZA MUZIKI WA KIZAZI CHA WANENEFamilia ya mwanamuziki wa Nguza Vicking maarufu 'Babu Seya' leo Ijumaa imekutana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza katika studio za muziki wa kizazi za Wanene.


Babu Seya ameongozana na mwanaye Johnson Nguza maarufu Papii Kocha na Micheal Nguza 'Nabii Nguza.
Hivi sasa wanamuziki hao wapo katika ndani ya studio kwa ajili ya kusikiliza kazi mbalimbali zilizowahi kufanywa na Wanene.
Bado haijajulikana kama wataanza kufanya kazi zao chini ya studio...

 

10 months ago

Malunde

Picha 12 : BABU SEYA NA WANAE WALIVYOKUTANA USO KWA USO NA RAIS MAGUFULI IKULU


Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) akifurahi na watoto wake Papii Nguza (Papii Kocha),Nguza Mbangu pamoja na Francis Nguza walipomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya kumshukuru Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) akifurahi na watoto wake Papii Nguza (Papii Kocha),Nguza Mbangu pamoja na Francis Nguza walipomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya kumshukuru...

 

10 months ago

CCM Blog

BABU SEYA NA WANAE WATINGA IKULU, WAONANA NA RAIS DK MAGUFULU NA KUSHIKANA NAYE MIKONO, LEO

 Rais Dk. John Magufulu akiwa ameshikana mikono na Mwanamuziki nguli Nguza Vicking "Babu Seya" (wapili kushoto) na watoto wake Johnson Nguza "Papii Kocha", (kushoto) Francis Nguza na Michael Nguza (kulia) walipofika Ikulu Jijini Dar es Salam. Babu Seya na wanaye waliachiwa huru kwa msahama wa Rais Dk Magufuli wakati wa Sherehe za Uhuru, Desemba 9, 2017, baada ya kuwa gerezani kwa kifungo cha maisha miaka 13 iliyopita
Mwanamuziki Nguza Vicking "Babu Seya" (kushoto)  na watoto wake walipokuwa...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Babu Seya na wanae watinga Ikulu kwa Rais Magufuli

Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangu walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.

Soma taarifa kamili;

The post Babu Seya na wanae watinga Ikulu kwa Rais Magufuli appeared first on...

 

10 months ago

MwanaHALISI

Babu Seya atinga Ikulu kumshukuru Rais Magufuli

Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha” Francis Nguza na Michael Nguza leo wamefika Ikulu kumshukuru Rais wa Tanzania, John Magufuli kwa msamaha aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani, anaandika Hamis Mguta. Rais Magufuli alitoa msamaha huo Disemba 9 mwaka jana, akiwa Dodoma katika sherehe za miaka ...

 

10 months ago

Malunde

BABU SEYA NA WANAE WAIBUKIA IKULU


Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael.
Nguza walipofika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangu walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Angalia video: JPM jinsi alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha

 

The post Angalia video: JPM jinsi alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha appeared first on Zanzibar24.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani