3 days ago

MwanaHALISI

Shahidi wa Jamhuri: Nyaraka hizi alisaini Zitto

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na. 237/2018 ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).  Leo tarehe 17 Mei, 2019, shahidi wa nne upande wa Jamhari ameelezwa kuwa ni Inspekta Salum Seif Masoud, mpelelezi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Mkoa ...

 

4 days ago

MwanaHALISI

Shahidi apiga ‘yowe’ baada ya kubanwa

MASHAKA Juma, shahidi wa pili kwenye kesi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza mahakama kuwa, wakili anambana kwenye maswali. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Mashaka wakati akitoa ushahidi wake awali alieleza kwamba, alikuwa ameguswa na maneno ya Zitto na hata kulichukia Jeshi la Polisi kutoka na ukatili waliotendewa wananchi kwa mujibu wa ...

 

4 days ago

MwanaHALISI

Shahidi kesi ya Zitto amtaja Lissu

SHAHIDI wa tatu, Shabani Hamis (40) kwenye kesi  Na. 327/2018 ya uchochezi inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameieleza mahakama kwamba, tukio la kushambuliwa Tundu Lissu limefanya azidi kulichukia Jeshi la Polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, alishambulia ...

 

4 days ago

MwanaHALISI

Shahidi kesi ya Zitto: Shambulio la Lissu limenifanya nichukue Polisi

SHAHIDI wa tatu, Shabani Hamis (40) kwenye kesi  Na. 327/2018, ya uchochezi inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameieleza mahakama tukio la kushambuliwa, Tundu Lissu limefanya azidi kulichukia Jeshi la Polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ni Mbunge wa Singida Mashariki aliyeshambulia siku ya Septemba 7, 2017 Area ‘D’ jijini Dodoma na ...

 

4 days ago

MwanaHALISI

Kesi ya Zitto: Shahidi asema ‘nawachukia polisi’

SHAHIDI wapili kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, analichukia Jeshi la Polisi kutokana na matendo ya ukatatili kwa raia. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tarehe 16 Mei2019, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shahidi, upande wa serikali uliongozwa na Wakili Mkuu ...

 

5 days ago

MwanaHALISI

Shahidi abanwa, Dk. Mashinji augua ghafla kizimbani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahailisha usikilizaji wa ushahidi wa kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutokana na kuugua ghafla kwa Katibu Mkuu wa Chama hiko, Dk. Vincent Mashinji.  Anaripoti Faki Sosi … (endelea) Dk. Mashinji Katibu Mkuu ni mshtakiwa namba sita kwenye kesi hiyo namba 112 ya 2018, ya uchochezi. ...

 

5 days ago

MwanaHALISI

Shahidi kesi ya Mbowe: Nilipigwa jiwe, nikazimia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya uchochezi, inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Leo tarehe 15 Mei 2019, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, upande wa Jamhuri umewasilisha shahidi wake wa tatu. Wakili wa Jamhuri kwenye kesi hiyo ...

 

6 days ago

CCM Blog

WAPALESTINA 100,000 WAMEUAWA SHAHIDI TOKEA ARDHI ZAO ZIKALIWE KWA MABAVU NA ISRAEL

Wapalestina 100,000 wameuawa shahidi tokea ardhi zao zikaliwe kwa mabavu na IsraelIdara Kuu ya Takwimu ya Palestina imechapisha ripoti kwa mnasaba wa mwaka wa 71 wa ardhi za Palestina kukaliwa kwa mabavu na utawala bandia wa Israel na kusema: "Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika kipindi cha miaka 71 ni takribani 100,000."Aidha taarifa hiyo imesema tokea mwaka 1967 hadi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umewakamata Wapalestina takribani milioni moja.Kwa mujibu wa takwimu hizo, hivi sasa kuna Wapalestina 5700 wanaoshikiliwa mateka katika jela za utawala wa...

 

6 days ago

MwanaHALISI

Shahidi:Sina mahaba na Mbowe

SHABANI Hassani  Shahidi kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameweka wazi kuwa hana mahaba na Freeman Mbowe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Freeman Mbowe mshitakiwa namba moja kwenye kesi hiyo ni mwenyekiti wa Chadema Taifa. Wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ni pamoja na Dk. Vincent ...

 

6 days ago

Malunde

KESI YA WIZI WA DHAHABU JIJIINI MWANZA YAANZA KUSIKILIZA USHAHIDI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imeamuru kuendelea kusikikiza ushahidi katika kesi ya Jinai namba 1 ya mwaka 2019 inayowakabili Askari Polisi wanane. Tazama hapo chini

 

6 days ago

MwanaHALISI

Shahidi ‘fundi magrili’ amng’ang’ania Mbowe, Matiko, Mdee kuhusika

LEO tarehe 14 Mei 2019, shahidi wa pili upande wa serikali kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ametoa ushahidi wake. Jopo la mawakili wa serikali linaongozwa na Faraja Nchimbi, Wankyo Simon na Paul Kadushi. Huku upande wa utetezi ukiongozwa na Profesa Abdallah Safari, Peter Kibala na John Malya. Shahidi wa pili ni Shabani ...

 

6 days ago

MwanaHALISI

Mbowe alishika mawe, kushambulia polisi – Shahidi

SHAHIDI wa upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amedai kuwa kiongozi huyo alibeba mawe ili kuwashambulia polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Shaban Khassan Abdallah, ameeleza kuwa, alimuona Mbowe na washitakiwa wengine tisa, wakiwa na mawe mkononi na marungu kwa lengo la kuwashambulia polisi. “Niliwaona wakiwa ...

 

7 days ago

MwanaHALISI

Kibano: Shahidi Serikali Vs Mawakili wa Mbowe, wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu inaendele na usikilizwaji wa kesi namba 112, ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kwenye kesi hiyo watuhumiwa ni Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema-Taifa; Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema-Taifa; John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Chadema-Bara; Salum Mwalimu, Naibu ...

 

1 week ago

MwanaHALISI

Shahidi: Maandamano Chadema zilipigwa zaidi ya risasi 90, Akwilina atajwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kusutu imeendelea na usikilizaji wa kesi inayowakbali viongozi Waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambapo leo tarehe 13 Mei upande wa utetezi uliendelea kumhoji shahidi wa Serikali juu ya ushahidi wake, Ananripoti Faki Sosi …(endelea) Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba shahidi  wa Jamhuri Gerlad Ngichi ambaye ni ...

 

4 weeks ago

MwanaHALISI

Kesi ya Zitto: Shahidi akiri vurugu za Uvinza

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na 327 ya 2018 ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tarehe 25 Aprili mwaka 2019 mahakama hiyo ilishuhudia shahidi wa kwanza wa upande wa mashitaka, SSP John Malulu akikabiliana ...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani