(Today) 12 hours ago

Michuzi

Rais Dk. Shein Awasili Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu Kuanza Ziara Yake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Kiongozi wa Ngazi za Juu wa nchi za Umoja wa nchi za Falme za Kiarabu( UAE) Dr. Ahmad bin Abdallah Humaid Belhoul Al Falasi, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Majlis Dubai, kuanza ziara yake ya wiki moja kulia ni Balozi wa Tanzania Katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali...

 

2 days ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ameondoa Nchini Leo Kuanza Ziara ya Wiki Moja Nchi za Falme za Kiarabu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,kabla ya kuaza ziara yake katika Nchi za Falme za Kiarabu wakiwa katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na UsaIama Zanzibar wakati wa kuondoa Zanzibar kuaza ziara yake ya Kiserikali...

 

3 days ago

Zanzibar 24

Dkt. Shein afanya ziara eneo la Mradi wa mafuta na Gesi asilia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya ziara ya kutembelea eneo lililotengwa kwa ajili ya Mradi wa kuhifadhi mafuta na gesi asilia pamoja na ujenzi wa bandari kwa ajili ya kusafirishia na kuingiza rasilimali hizo.

Akiwa katika eneo hilo  lililoko Mangapwani-Bumbwini lenye ukubwa wa hekta 399.25 sawa na hekari 986.5, Rais Dk. Shein aliyeongozana na viongozi mbali mbali wa Serikali akiwemo Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd, Mawaziri na...

 

4 days ago

Michuzi

ZIARA YA DK SHEIN ENEO LA UJENZI WA MATANKI YA MAFUTA MWANGAPWANI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar  Ahmeid Rashid akitowa maelezo ya ujenzi wa Matenki ya kuhifadhia mafuta katika eneo la Mangwa pwani Zanzibar (Picha na Ikulu).

 

5 days ago

Zanzibar 24

Dkt. Mabodi aitathmini hotuba ya Rais Shein ya siku ya maadhimisho miaka 54 ya mapinduzi Zanzibar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  kimesema mafanikio yaliyofikiwa na Serikali ya awamu ya Saba chini ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ni kielelezo tosha cha kuenzi kwa vitendo  Mapinduzi hayo ya Januari 12, mwaka 1964.

Udhibitisho huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadalla ‘Mabodi’ wakati akitoa tathimini yake juu ya hotuba ya Rais wa Zanzibar Dk. Shein aliyoitoa katika kilele cha  maadhimisho ya...

 

6 days ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Azungumza na Wenyeviti wa Jumuiya za Chama Ikulu

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumza na kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kuchukua nafasi hiyo kuiongoza kwa kipindi cha miaka mitano.(Picha Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Dk. Ali Mohamed akiwa na mgeni wake Mwnyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund, akimshindikiza baada ya...

 

6 days ago

Zanzibar 24

Dkt Shein aupongeza Uongozi mpya wa chama cha Mapinduzi CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ameupongeza uongozi mpya wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusisitiza haja ya kuendeleza mashirikiano yaliopo ili kuendelea kukipa ushindi chama hicho katika chaguzi zote zijazo.

 Dk. Shein aliyasema hayo leo kwa nyakati tofauti alipokutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Jumuiya za CCM zikiwemo Jumuiya ya Wazazi, Jumuiya ya Umoja wa Vijana Taifa (UVCCM) na...

 

1 week ago

Michuzi

MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA

  MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Inaya Zanzibar Limited Cheherazade Cheikh akitoa maelezo ya bidhaa za kampuni yake katika Maonesho ya Tamasha la Nne la Biashara Zanzibar linalofanyika katika viwanja vya mpira maisara.(Picha na Ikulu) MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea maonesho Tamasha la nne la Biashara katika viwanja vya mpira vya maisara...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Wazanzibar wacheni kuthamini bidhaa kutoka nchi za nje – Mwanamwema Shein

MKE wa Rais wa  Zanzibar Mama Mwanamwema Shein leo Januari 15, 2018 amewataka Wazanzibar kuondosha dhana kuwa vitu vinavyotoka nchi za nje ndio vizuri zaidi kwa kuthamini vitu vya asili vilivyopo nchini mwao.

 Mama Shein aliyasema hayo wakati wa  ufunguzi wa siku maalum ya Afya na Maisha Bora katika Tamasha na Nne la Biashara huko viwanja vya Maisara Mjini Unguja, ikiwa ni mfululizo wa shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

Katika hotuba yake, Mama Shein alisema...

 

1 week ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Shein Stresses Unity, Peace - Zanzibar Marks 54th Revolution Day


Tanzania: Shein Stresses Unity, Peace - Zanzibar Marks 54th Revolution Day
AllAfrica.com
ZANZIBAR Revolution Day celebrations culminated yesterday, with a huge gathering at Amani Stadium where President Ali Mohamed Shein urged citizens to maintain unity and peace, which enabled the Islands gain admirable achievements in the past 54 years ...

 

1 week ago

Malunde

MAJINA YA WAFUNGWA 12 WALIOPEWA MSAMAHA NA RAIS DKT SHEIN

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, ametoa msamaha kwa wafungwa 12 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Dkt Shein ametoa msahama kwa wafungwa hao ambao walikuwa wamehukumiwa kwa makosa mbalimbali.
Msamaha huo umetolewa kwa mujibu wa ibara ya 59 ya Katiba ya Zanzibari ya mwaka 1984 ambayo imempa Rais mamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa. 
Msamaha huo unatolewa kwa wafungwa kama nafasi ya wao kuanza kuishi...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Picha: Dkt Shein akiweka jiwe la msingi mji mpya wa kisasa nyamanzi

Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa(Funba Town Development)Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa(Funba Town Development)Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

1 week ago

RFI

Mohammed Shein : Zanzibar imefanikiwa kupambana na umasikini

Watanzania wanaadhimisha miaka 54 ya mapinduzi ya Zanzibar, mapinduzi yaliyoshuhudia kuangushwa kwa utawala wa Sultan siku kama ya leo mwaka 1964.

 

1 week ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Shein Pardons 12 As Z'bar Marks Revolution Day


Tanzania: Shein Pardons 12 As Z'bar Marks Revolution Day
AllAfrica.com
PRESIDENT Ali Mohamed Shein has ordered the release of twelve prisoners on the occasion of the 54th anniversary of the Zanzibar Revolution. The pardoned inmates had been sentenced to jail terms for a variety of offences. Section 59 of Zanzibar 1984 ...

 

1 week ago

CCM Blog

RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA WATU 74


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74.

Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa vyama na serikali pamoja na wananchi ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Kwa kutokana na uwezo wake aliopewa chini ya kifungu cha 4 cha Sheria ya Mambo ya Rais namba 5 ya mwaka...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani