8 months ago

Michuzi

WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA

 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Mheshimiwa Godwin Aloyce Mollel akiapa kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.   Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.  Mheshimiwa Maulid Mtulia...

 

10 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: CCM Reclaims Kinondoni, Siha Seats As Defectors Are Re-Elected


Tanzania: CCM Reclaims Kinondoni, Siha Seats As Defectors Are Re-Elected
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Candidates of the ruling CCM won the Kinondoni and Siha constituency by-elections which were held in Dar es Salaam and Kilimanjaro regions, respectively, on Saturday. Mr Maulid Mtulia and Dr Godwin Mollel were yesterday declared ...

 

10 months ago

Michuzi

DKT. MOLLEL ASHINDA UBUNGE SIHA MKOANI KILIMANJARO

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia mgombea wake Dkt Godwin Mollel kimeshinda kiti cha ubunge katika jimbo la Siha baada ya kupata kura 25,611 sawa na asilimia 80 akimshinda mpinzani wake Elvis Mosi (Chadema) aliyepata kura 5,905 sawa na asilimia 18.5.
Akizungumza kabla ya kukabidhi Cheti cha uthibitisho kwa kuchaguliwa kwake,Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo Valerian Juwal amesema mgombea Tumsifueli Mwanry (CUF)  amepata kura 274 sawa na asilimia 0.9 huku mgombea wake chama cha Sauti ya...

 

10 months ago

Zanzibar 24

CCM yashinda uchaguzi Siha

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), kumtangaza Dk Godwin Mollel kuwa mshindi wa kiti hicho.

Nec imemtangaza rasmi Dk Mollel kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata kura 25,611 huku akiwaacha mbali wapinzani wake,  Elvis Mosi wa Chadema, aliyepata kura 5,905 na mgombea wa CUF, Tumsifueli Mwanri aliyepata kura 274 huku Mdoe Azaria wa Sau akiambulia kura 170.

Kwa upande wa Jimbo la Kinondoni...

 

10 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Siha Council Approves 27bn/ - Budget


Tanzania: Siha Council Approves 27bn/ - Budget
AllAfrica.com
SIHA District Council has approved a draft budget plan of 26.6bn/- for the financial year 2018/19 with own sources decreasing by 18.9 per cent. Reading the draft on behalf of the Siha District Executive Director (DED), Programme Officer, Ms Monica Sana ...

 

10 months ago

MwanaHALISI

Polepole ‘apagawa’ uchaguzi Kinondoni, Siha

KIWEWE kimetawala ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya wapinzani wao wakuu kwenye uchaguzi unaotarajia kufanyika Februari 17 kuapa kulinda kura kwa gharama yoyote. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ndicho kinachoipelekea puta (CCM) kwenye Uchaguzi huo ambacho kilijiapiza kulinda kura za wagombea wake baada ya kupiga kura. Leo Katibu wa ...

 

10 months ago

Michuzi

MAANDALIZI YA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA YAMEKAMILIKA

Zikiwa zimebakia siku tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mdogo katika Majimbo 2 na Kata 8 za Tanzania Bara, maandalizi kwa ajili ya Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Siha na Udiwani katika Kata 3 za jimbo hilo lililopo mkoani Kilimanjaro yamekamilika.

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo  Bwana VALERIAN MARGWE JUWAL amesema vifaa vyote kutoka Tume Makao Makuu kwa ajili ya Uchaguzi huo tayari vimepokelewa na kwamba Mafunzo kwa Watendaji wa Uchaguzi yanaendelea.
Akizungumzia kuhusu kampeni...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Chadema kumshitaki mkuu wa Wilaya ya Siha

Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema leo Januari 24, 2018 amebainisha kuwa chama chao kitapeleka mashitaka yake katika Kamati ya Maadili kumshataki Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu ambaye alishiriki kufanya kampeni kumnadi mgombea wa CCM jimbo la Siha.

“Tunapeleka mashtaka leo kwenye kamati ya maadili, tulipanga kupeleka saa tano asubuhi kwa hiyo mashtaka yatakwenda muda huu kumshtaki rasmi Mkuu wa Wilaya” alisema Mrema

Mkuu wa Wilaya ya Siha,...

 

11 months ago

Malunde

MKUU WA WILAYA YA SIHA KUBURUZWA KAMATI YA MAADILI

Siku tatu baada ya Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu kupanda jukwaani kumnadi mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Siha, Dk Godwin Mollel, Chadema imesema itamfikisha katika kamati ya maadili kama ilivyoshauriwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mkuu huyo wa wilaya alipanda jukwaani Januari 21 katika uzinduzi wa kampeni za Dk Mollel katika viwanja vya KKKT Karansi, huku akisema Serikali haijaribiwi hivyo ni vyema kila mmoja akahakikisha anadumisha amani na kufanya siasa za kistaarabu kipindi...

 

11 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Journalists Covering Siha By-Election Survive Road Motor Vehicle Accident


Tanzania: Journalists Covering Siha By-Election Survive Road Motor Vehicle Accident
AllAfrica.com
Siha — Four journalists from different mass media organs covering the ongoing parliamentary by-election campaign in Siha constituency in Kilimanjaro region cheated death yesterday after the car they were travelling in veered off the road and ...

 

11 months ago

Malunde

HAYA HAPA MAJINA YA WALIOTEULIWA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE KINONDONI,SIHA

Kamati Kuu ya Chama imemaliza Vikao vyake Leo tarehe 19 Januari, 2018 na imefanya uamuzi wa kushiriki kwenye uchaguzi mdogo kwenye majimbo ya Kinondoni na Siha unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Februari, 2018.
Baada ya uamuzi huu kufanyika , Kamati Kuu imewateua wagombea wa Majimbo hayo kama ifuatavyo;
1. Jimbo la Kinondoni ameteuliwa Mhe. Salum Mwalim Juma
2. Jimbo la Siha ameteuliwa Bwana Elvis Christopher Mosi
Wagombea wote wameshachukua fomu za uteuzi kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi kwenye...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani