(Yesterday)

MillardAyo

Baada ya TFF kuona habari za Okwi kurudi Simba imeyasema haya maneno 103

Kumekua na taarifa zinatembea mitandaoni na utani pia wa Mkuu wa idara ya habari kwenye club ya Simba Haji Manara kwamba baada ya Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu aliyokua anaichezea huko Denmark, anarudi Simba na kocha akiamua atacheza February. Sasa baada ya kuwepo kwa hizo taarifa, shirikisho la soka Tanzania (TFF) limeongea yafuatayo >>> […]

The post Baada ya TFF kuona habari za Okwi kurudi Simba imeyasema haya maneno 103 appeared first on millardayo.com.

 

(Yesterday)

Michuzi

SIMBA MSAJILINI OKWI, ILA HAMUWEZI KUMTUMIA -TFF


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Kufuatia kusitisha mkataba wake na klabu ya SønderjyskE ya nchini Denmark aliyokuwa anaitumikia, Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF limeweka wazi kuwa Emanuel Okwi anaweza kusajiliwa na klabu yoyote nchini lakini hataweza kucheza mpaka msimu ujao.
Hilo limekuja baada ya taarifa kusambazwa kuwa Okwi anaweza kuitumikia tena klabu yake ya zamani ya Wekundu wa Msimbazi Simba katika mechi ya Februari 18 kama Kocha mkuu wa timu hiyo Joseph Omog atapendezewa...

 

(Yesterday)

Mwananchi

Simba ukuta, Yanga mabao

Simba inapaswa kuishukuru safu yake ya ulinzi vinginevyo hivi sasa ingekuwa msindikizaji tu katika vita ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakati Yanga sehemu kubwa inabebwa na washambuliaji wenye uchu wa kufumania nyavu.

 

(Yesterday)

Habarileo

Tutakufa na Azam-Simba

KOCHA Msaidizi wa timu ya soka ya Simba, Jackson Mayanja amesema baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana na Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu juzi, nguvu zote sasa zinaelekezwa kuikabili Azam kwenye mchezo wao wa Januari 28.

 

(Yesterday)

Habarileo

Simba yaota kumtumia Okwi

UONGOZI wa Simba umesema unafanya mpango wa kumrejesha kikosini mshambuliaji wake wa zamani Emmanuel Okwi aliyevunja mkataba na klabu ya Sonderjyske ya Denmark.

 

2 days ago

TheCitizen

Mtibwa frustrate leaders Simba

Leaders Simba SC and Mtibwa Sugar played out a goalless draw in a Vodacom Premier League match at Jamhuri Stadium yesterday.

 

2 days ago

Habarileo

Simba yavutwa mkia Moro

TIMU ya soka ya Simba imeshindwa kunyakua pointi tatu muhimu baada ya kutoka sare ya bila kufungana na timu ya soka ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa.

 

2 days ago

Zanzibar 24

Simba yashindwa kufua dafu Manungu Turiani

Wekundu wa Msimbazi Simba leo January 18 2017 ilisafiri hadi uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kucheza mchezo wao wa 19 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017.

Simba wameshuka katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar na kujukuta wakikabiliwa na wakati mgumu na kujikuta wakilazimishwa sare tasa, sare dhidi ya Mtibwa imewafanya Simba kusogelewa kwa karibu na Yanga katika msimamo wa VPL.

Matokeo hayo yameifanya Simba...

 

2 days ago

TheCitizen

Mtibwa Sugar out to cage Simba

Mtibwa Sugar have issued a bold warning that Simba SC will not walk out of the Jamhuri Stadium unscathed when they clash in a Vodacom premier League match today.

 

2 days ago

Michuzi

SIMBA YAKAMATWA SHATI NA MTIMBWA LEO, YATOKA 0-0 UWANJA WA JAMHURI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii Morogoro.
Timu ya Simba imeshindwa kuondoka na ushindi kwenye Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro  baada ya kulazimishwa sare ya kutokufungana na wakata miwa wa Morogoro  mtibwa Sugar mechi iliyochezwa leo.
Baada ya matokeo hayo Simba wanaendelea kusalia kileleni wakiwa na alama 45 akiwa  mebel kwa alama mbili dhidi ya mahasimu wao Yanga wenye alama 43 baada ya mechi yao ya jana kushinda dhidi ya Majimaji Songea.
Baada ya mchezo huu Simba wanakutana na Azam Januari...

 

2 days ago

MillardAyo

Simba imelazimishwa sare tasa na Mtibwa Sugar

Wekundu wa Msimbazi Simba leo January 18 2017 ilisafiri hadi uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kucheza mchezo wao wa 19 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017. Simba wameshuka katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kucheza dhidi ya Mtibwa Sugar na kujukuta wakikabiliwa na wakati mgumu na kujikuta […]

The post Simba imelazimishwa sare tasa na Mtibwa Sugar appeared first on millardayo.com.

 

2 days ago

Zanzibar 24

Kikosi cha Simba kitakachoanza Leo dhidi ya Mtibwa Sugar.

Kikosi cha Simba leo kinacheza mchezo wa 19 katika ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar.

The post Kikosi cha Simba kitakachoanza Leo dhidi ya Mtibwa Sugar. appeared first on Zanzibar24.

 

3 days ago

Bongo5

Simba SC yamtangaza mchezaji wake bora wa mwezi Disemba

Klabu ya soka ya Simba SC imemtangaza mchezaji bora wa mwezi Disemba katika timu hiyo.

Mchezaji aliyefanikiwa kushinda tuzo hiyo katika kikosi hicho ni beki Method Mwanjali ambaye ni raia wa Zimbabwe ambaye pia aliwahi kuichezea Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Hivi karibuni mchezaji huyo amekuwa katika kiwango kizuri ikiwa ni siku chache zimepita tangu alipotangazwa kuwa Mchezaji bora wa mashindano katika mashindano ya kombe la Mapinduzi yaliyomalizika Januari 13 huko visiwani Zanzibar...

 

3 days ago

Habarileo

Yanga yaiweka pabaya Simba

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu bara, Yanga jana iliifunga Majimaji ya mjini hapa bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Majimaji na kujiongezea pointi tatu muhimu.

 

3 days ago

Habarileo

Simba, Mtibwa, Azam mzigoni

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC leo wanashuka kibaruani kwenye viwanja tofauti katika michezo ya ligi kusaka pointi tatu muhimu.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani