6 months ago

VOASwahili

Trump, Kim wako Singapore kuanza mazungumzo

Kim Jong Un Jumapili alikuwa mbali zaidi na makazi yake Korea Kaskazini kuliko wakati wowote tangu alipochukuwa madaraka 2011.

 

6 months ago

BBCSwahili

Trump sasa anatarajiwa kukutana na Kiongozi wa Korea kaskazini kisiwani Sentosa Singapore

Ikulu ya Marekani imethibitisha kwamba mkutano unaosubiriwa kwa hamu kati ya Donald Trump na kiongozi wa Korea kaskazini utafanyika kisiwani Sentosa nchini Singapore

 

7 months ago

BBCSwahili

Trump atangaza atakutana na Kim Jong-un Singapore

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un Singapore.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Mugabe aonekana hadharani kwa mara ya kwanza nchini Singapore

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu awasili wiki hii nchini Singapore kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake. Kiongozi huyo aliyekuwa madarakani kwa miaka 37 ameonekana akiwa amezungukwa na walinzi wake huku kwa mbele akionekana mwanamke ambaye inaaminika atakuwa mke wake, Grace Mugabe. Picha za tukio hilo zinamwonesha akiwa amevalia shati jeupe na suruali nyeusi wakati mtu anayedhaniwa kuwa mke wake akiwa katika vazi jekundu na begi ya...

 

12 months ago

Malunde

MUGABE AONEKANA HADHARANI SINGAPORE

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu awasili wiki hii nchini Singapore kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Kiongozi huyo aliyekuwa madarakani kwa miaka 37 ameonekana akiwa amezungukwa na walinzi wake huku kwa mbele akionekana mwanamke ambaye inaaminika atakuwa mke wake, Grace Mugabe.
Picha za tukio hilo zinamwonyesha akiwa amevalia shati jeupe na suruali nyeusi wakati mtu anayedhaniwa kuwa mke wake akiwa katika vazi jekundu na beki ya mkononi...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani