7 days ago

VOASwahili

Serikali ya Somalia yasema raia wake wamegoma kuondoka Libya

Juhudi za serikali ya Somalia kuwaondoa idadi kubwa ya wananchi wake kutoka Libya ziligonga ukuta baada ya ujumbe uliotumwa huko kushindwa kufanikisha zoezi hilo.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Mwanariadha mzaliwa wa Kenya anayetaka kuiwakilisha Somalia michezoni

Mwanariadha mzaliwa wa Kenya anayetaka kuiwakilisha Somalia michezoni

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Usalama bado ni mtihani mkuu kwa utawala wa Somalia

Mwaka mmoja leo tangu rais Mohamed Abdullahi Farmaajo aingie madarakani, Mogadishu ungali mojawapo ya miji hatari zaidi duniani.

 

3 weeks ago

VOASwahili

2 months ago

BBC

Somalia aim to play at home after 30 years

The Somalia Football Federation wants to play internationals on home soil in 2018 for the first time in 30 years.

 

2 months ago

BBCSwahili

AU: Jeshi la Somalia halina uwezo wa kulinda taifa hilo

Jeshi la Somalia haliko tayari kuanza operesheni za kiusalama nchini humo ,ijapokuwa baadhi ya vikosi vya Umoja wa Afrika vimeanza kuondoka nchini humo

 

2 months ago

BBC

Somalia suicide bomber kills police at Mogadishu academy

At least 13 officers are killed by a bomber wearing a police uniform during a parade in Mogadishu.

 

3 months ago

Michuzi

RAIA WAWILI WA SOMALIA NA MTANZANIA KIZIMBANI KWA UHUJUMU UCHUMI

 Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii.
RAIA wawili wa Somalia na Mtanzania mmoja, leo Novemba 23, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi na kuisababisha serikali  hasara ya Sh milioni 370.1.
Wakili wa serikali Jehovaness Zacharia amewataja washitakiwa hao kuwa ni, Mahad Ahmad Salat (30) mfanyabiashara na Mkazi wa Temeke,  Faudhia Abdi (31) mfanyakazi wa ndani na Ally Yusuf (22) Mwanafunzi na Mkazi wa Temeke.
Washtakiwa hao wamesomewa...

 

3 months ago

VOASwahili

AU kuvijengea uwezo vyombo vya usalama Somalia

Umoja wa Afrika (AU) unataka kuwepo msaada wa haraka na muwafaka kwa ajili ya vyombo vya usalama vya taifa, Somalia, wakati AU ikijiandaa kupunguza vikosi vyake nchini humo.

 

4 months ago

Channelten

Marekani imewaamuru wafanyakazi wasio na ulazima katika miradi yake nchini Somalia kuondoka

83E082B0-9809-4B4A-A6E6-F79E30362965_w1023_r1_s

Marekani imewaamuru wafanyakazi wasio na ulazima katika miradi yake nchini Somalia kuondoka katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu kutokana na kuwepo kwa taarifa mahususi za kitisho dhidi yao.

Amri hiyo imetolewa siku moja tu, baada ya jeshi la Marekani kufanya operesheni yake ya kwanza kwa kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya washirika wa kundi la Dola la Kiislamu nchini humo, na kusema magaidi kadhaa wameuwawa katika mkoa wa kaskazini wa Puntland.

Marekani haina ubalozi nchini Somalia...

 

4 months ago

VOASwahili

Marekani yawaondosha wafanyakazi wake Somalia

Serikali ya Marekani imewataka wafanyakazi wake wote ambao hawahitajiki kuwepo ubalozini nchini Somalia, kwa wakati huu kuondoka katika mji mkuu, Mogadishu, ikieleza inatokana na vitisho maalum vilivyo elekezwa dhidi yao.

 

4 months ago

VOASwahili

Marekani yapiga hatua katika shambulizi la ISIS Somalia

Marekani imefanya shambulizi la anga kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubani dhidi ya wapiganaji wa Kikundi cha Islamic State nchini Somalia Ijumaa na kusema imepiga hatua ya kipekee katika vita hii.

 

4 months ago

BBCSwahili

Mogadishu: Milipuko miwili yatokea mji mkuu wa Somalia

Milipuko miwili imetokea mjini Mogadishu nchini Somali chini ya wiki mbili baada ya shambulio kubwa la bomu kuwaua watu 350.

 

4 months ago

BBC

Somalia Mogadishu: Explosions rock capital

The city is hit by two blasts, two weeks after a huge bomb there killed more than 350 people.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani