8 months ago

Michuzi

NBS Kukusanya Takwimu Kwa Njia ya Satelaiti na Vishikwambi

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DodomaOfisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeanzisha mfumo wa ukusanyaji wa taarifa kwa kutumia teknolojia mpya na ya kisasa ya kielektroniki kwa njia ya satelaiti  na Vishikwambi.Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Dodoma mrasimu ramani mwandamizi na msimamizi wa Sehemu ya mfumo wa Ukusanyaji na Usambazaji wa taarifa za Kijiografia (GIS) Benedict Mgambi amesema kuwa lengo la mfumo huo ni kuboresha ukusanyaji wa  taarifa na tafiti mbalimbali   kwa ajili ya...

 

8 months ago

Michuzi

Makatibu Tawala wa Mikoa Waagizwa Takwimu za Wazee ifikapo 30 Juni, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, akizungumza wakati wa Hafla ya kuwapatia Vitambulisho Wazee wa Jiji la Dodoma.
Na. Atley Kuni-OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Mb), amewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara kuwasilisha taarifa za takwimu za wazee ifikapo 30, Juni 2018.
Waziri Jafo, alitoa kauli hiyo mapema leo alipokuwa akizindua zoezi la kuwapatia vitambulisho maalum wazee...

 

8 months ago

Michuzi

Ofisi ya Taifa ya Takwimu Yatoa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Takwimu

………………Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa mafunzo ya uandishi wa habari za kitakwimu kwa wanachama wa chama cha waandishi wa habari Dodoma ili kuwaongezea uwezo wa uandishi mzuri wa habari za kitakwimu.

Mafunzo hayo ya siku mbili kuanzia tarehe 26 hadi 27 Mei, mwaka huu  yanayofanyika katika ukumbi wa Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Jijini Dodoma yamefunguliwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi.  Zamaradi Kawawa kwa niaba ya...

 

8 months ago

Michuzi

Takwimu Zatajwa Kuchochea Maendeleo Endelevu

Na Mwandishi  wetuWarsha ya Wadau Kuhusu  hali ya Upatikanaji wa takwimu za Viashiria vya Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Miaka Mitano na Malengo ya Kimataifa ya Maendeleo endelevu, usawa wa Kijinsia, Utawala na  Amani .Akizungumza wakati wa warsha ya siku mbili   Mjini Dodoma Meneja wa Takwimu za Bei na Ajira Kutoka Ofisi  ya Taifa ya Takwimu  (NBS) Bibi Ruth  Minja amesema kuwa  warsha hiyo ni muhimu  na itasaidia  katika kubainisha  maeneo yanayotakiwa kufanyiwa tafiti na kuzalisha takwimu...

 

8 months ago

Michuzi

KAMATI YA KURATIBU ZOEZI LA SERIKALI KUHAMIA DODOMA YAKAGUA JENGO JIPYA LA TAKWIMUWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, ajira na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ambaye ndiye anayesimamia Kamati inayoratibu zoezi la serikali kuhamia Dodoma na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Maimuna Tarishi pamoja na katibu wa kamati hiyo, Meshach Bandawe wamekagua jengo jipya la Takwimu, linalo milikiwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu na limejengwa  na Kampuni ya Ujenzi  ya Hainan International, leo tarehe 21 Mei, 2018 jijini Dodoma.

Katika...

 

10 months ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UFAFANUZI WA TAKWIMU ZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NCHINI


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTOTAARIFA KWA UMMA KUHUSU UFAFANUZI WA TAKWIMU ZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NCHINI


Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inapenda kutoa ufafanuzi wa takwimu za vifo vitokanavyo na uzazi nchini. Ufafanuzi huu unatokana na taarifa iliyorushwa na kituo cha Televisioni cha ITV katika moja ya taarifa zake za habari siku ya tarehe 29 Machi 2018 na baadaye kuanza kuzunguka katika mitandao ya...

 

11 months ago

MillardAyo

Takwimu zilizomuwezesha Aguero kushinda tuzo ya tano EPL

Staa wa soka wa kimataifa wa Argentina anayecheza Man City ya England Sergio Aguero February 16 2018 ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu England EPL, hiyo ikiwa ni mara ya tano kwa yeye kushinda tuzo hiyo katika maisha yake ya soka. Aguero ametangazwa mchezaji bora wa Ligi Kuu England wa mwezi January […]

 

11 months ago

Malunde

MENEJA OFISI YA TAKWIMU MWANZA GOODLUCK LYIMO AAINISHA IDADI YA KAYA ZANAZOFANYIWA UTAFITI WA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2018/2019 MKOANI MWANZA

Meneja wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoani Mwanza, Goodluck Lyimo amebainisha idadi ya kaya zinazofanyiwa zoezi la utafiti wa Matumizi ya Kaya Binafsi Tanzania Bara 2017/2018 mkoani Mwanza.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, meneja huyo amelima kuwa, zoezi hilo linahusisha jumla ya kaya 408 mkoani Mwanza ambapo tayari Kaya 68 zimekamilisha mahojiano, Kaya 30 zinaendelea na mahojiano na kwamba hadi kufikia februari 28 mwaka huu Kaya 98 zitakuwa zimekamilisha mahojiano hayo. 

"Zoezi hili...

 

11 months ago

VOASwahili

Burundi yakanusha takwimu za wakimbizi za UNHCR

Serikali ya Burundi inakanusha vikali takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi-UNHCR kuwa ni wakimbizi  wakirundi zaidi ya 430,000 wanaohitaji misaada mwaka huu. Hayo yamejiri wakati shirika hilo limeanza kampeni ya kuchangisha pesa zaidi ya dola milioni 300 kwa ajili ya kuwahudumia wakimbizi hao ambao asilimia 80 wanaishi katika kambi za wakimbizi kwenye mataifa jirani. Burundi inasema UNCHR imekuwa ikidanganya juu ya idadi ya wakimbizi kutoka nchini  Burundi ili...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Habari Picha: Takwimu za bei zatolewa Zanzibar

Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa maelezo kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.9 kwa Mwezi wa Disemba 2017 hadi asilimia 5.2 kwa mwezi wa January 2018 hafla iliofanyika Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja.

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya kutoa Takwimu za Bei katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja. Meneja wa Uchumi wa Benki ya Tanzania Tawi la Zanzibar Moto...

 

12 months ago

Michuzi

MKUU WA TAKWIMU ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR

 Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa maelezo kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.9 kwa Mwezi wa Disemba 2017 hadi asilimia 5.2 kwa mwezi wa January 2018 hafla iliofanyika Ofisi kuu ya Takwimu  Mazizini Mjini Unguja. Meneja wa Uchumi wa Benki ya Tanzania Tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi katikati akitoa ufafanuzi wa Baadhi ya maswala yaliouliza na katika hafla ya  kutoa Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka...

 

12 months ago

Michuzi

SHERIA YA TAKWIMU MWAKA 2015 HAIJAZUIA TAFITI ELIMU YA JUU

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
MKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Albina Chuwa amesema sheria ya Takwimu ya mwaka 2015, hazigusi tafiti zinazofanywa na Vyuo Vikuu nchini kutokana na taratibu wanazozifanya zinakidhi maadili ya kufanya tafiti hizo katika masomo mbalimbali ya wanafunzi wa elimu ya juu. 
Amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati anafungua mkutano wa uelimishaji umma kuhusu Sheria ya Takwimu ya mwaka 2015 na kueleza NBS haijazuia vyuo kufanya tafiti zake katika...

 

12 months ago

BBCSwahili

Mashambulio ya Boko Haram kwa takwimu

Licha ya kwamba serikali ya Nigeria inasema imelishinda kundi la Boko Haram, uchambuzi wa BBC unaonyesha kuwa mashambulio hayapungui.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani