9 months ago

Michuzi

RC MGHWIRA ATOA ONYO KALI KWA WANAOHARIBU MIUNDOMBINU YA TANESCO

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi Anna Mghwira ametoa onyo kali kwa wakazi wa mkoa huo wanao jihusisha na uhabifu wa miundombinu ya Shirka la Umeme Tanzania (Tanesco) na kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. 
Mkuu huyo wa mkoa alisema, serikali inatumia gharama kubwa sana kuendesha shirika hilo hivyo kulihujumu kwa kuharibu miundimbinu sio sahihi na halivumiliki. 
Aliyasema hayo jana wakati akiongea na waandisi wa habari, katika kampeni maalumu inayofanywa na Tanesco makao makuu ikiwa na...

 

10 months ago

Michuzi

Wataalam Wizara ya Nishati, REA na TANESCO wakagua umeme vijijini Tanga na kuwasha umeme


Wataalam kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakiongozwa na Mhandisi Yusuph Msembele kutoka Wizara ya Nishati, wamekagua mradi wa umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) katika wilaya mbalimbali mkoani Tanga na kuzindua huduma ya umeme katika Kijiji cha Bagamoyo, wilayani Korogwe.
Mhandisi Msembele, ambaye alimwakilisha Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu katika uzinduzi huo, alisema kuwa, kuzinduliwa kwa huduma ya umeme katika...

 

10 months ago

MwanaHALISI

Tanesco lawamani

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) linatuhumiwa kuwalipisha wananchi malipo ya kuingiziwa umeme majunbani mwao bila kuwapa huduma husika kama ilivyo ahidi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wananchi wa kitongoji cha Namanga kata ya Mvuti manispaa ya Ilala, ndio wenye malalamiko hayo. Baadhi ya wananchi waliokumbwa na mkasa huo, wamemweleza mwandishi kuwa, wamefanya malipo kwa ...

 

10 months ago

Michuzi

WABUNGE WA MIKOA YA KUSINI WAIMWAGIA SIFA SERIKALI NA TANESCO KWA KUMALIZA KERO YA UMEME MTWARA NA LINDI

WABUNGE wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, wameimwagia sifa Serikali hususan Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme TANESCO kufuatia kumaliza adha ya umeme iliyodumu kwa takriban miaka 10 kwenye mikoa hiyo.
Pongezi hizo wamezitoa mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, baada ya kuzindua Kituo cha Kuzalisha umeme wa gesi asilia (Mtwara Gas Plant), mkoani Mtwara Alasiri ya Mei 21, 2018.
Wa kwanza kutoa pongezi hizo...

 

10 months ago

Michuzi

Dkt. Kalemani aiagiza TANESCO kuondoa mita za umeme za zamani kabla ya mwezi Julai

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo kuhakikisha kuwa, mwisho wa kutumia mita za zamani, ambazo wateja hufanya malipo baada ya kutumia umeme (Conventional Meters), ni mwezi Juni mwaka huu.
Dkt.Kalemani aliyasema hayo wilayani Ileje mkoani Songwe wakati akizungumza na Mkuu wa wilaya hiyo, Joseph Mkude, Mbunge wa Ileje, Janet Mbene,  Watendaji wa TANESCO Kanda ya Nyanda za Juu Kusini...

 

10 months ago

Michuzi

WATAALAM NISHATI, REA, TANESCO WAKAGUA MIRADI YA REA MOROGORO

Wataalam kutoka  Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamefanya  ziara katika vijiji vya Mandera, Mtego wa Simba na Kibaoni vilivyopo mkoani Morogoro. Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni kukagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme vijijini inayosimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) Katika ziara hiyo ilielezwa kuwa, kampuni ya State Grid iliyopewa kazi hiyo katika mkoa wa Morogoro inatarajiwa kuwasha umeme...

 

10 months ago

Michuzi

WATAALAMU WA NISHATI, REA, TANESCO WAKAGUA MIRADI YA REA MOROGORO

Wataalam kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamefanya ziara katika vijiji vya Mandera, Mtego wa Simba na Kibaoni vilivyopo mkoani Morogoro. 
Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni kukagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme vijijini inayosimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) Katika ziara hiyo ilielezwa kuwa, kampuni ya State Grid iliyopewa kazi hiyo katika mkoa wa Morogoro inatarajiwa kuwasha umeme...

 

11 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Tanesco Told to Open Offices in Remote Areas to Improve Power Supply


Tanzania: Tanesco Told to Open Offices in Remote Areas to Improve Power Supply
AllAfrica.com
Dodoma — Government has instructed the national power utility firm, Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco), to open sub offices in rural areas. The move is part of efforts to bring power services closer to the people especially in the hard ...

 

11 months ago

Malunde

MFANYAKAZI WA TANESCO AFARIKI KWA KUNASWA NA UMEME

Mfanyakazi wa Shirika la Umeme (Tanesco) Kibaha, Chande Kipae, amefariki dunia baada ya kunaswa na umeme wakati akiondoa nyaya za umeme zilizokuwa zimekatika.

Tukio hilo limetokea April 16 saa tisa jioni wakati Chande akiwa na mtoto wake Jumanne Chande wakielekea mjini kutafuta mahitaji ya familia.

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi umethibitisha kupokea mwili wa marehemu huyo na kwamba waliufanyia uchunguzi na kukabidhi kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Taarifa...

 

11 months ago

Zanzibar 24

TANESCO yadhihirisha sababu ya kukatika kwa umeme

Shirika la Umeme nchini, TANESCO limetangaza kutokana na kukosekana umeme katika maeneo mengi nchini ni kutokana na hitilafu iliyosababishwa na Radi kupiga  mifumo ya usambazaji wa umeme katika gridi ya taifa.

“Kutokana na tatizo la umeme limejitokeza TANESCO tumefanya juhudi kurejesha hali ile, tulianza kurejesha Tanga, Chalinze kupitia kituo cha New Pangan, Dodoma kupitia kituo cha Mtera na sehemu ya kituo cha kidatu” amesema  Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dkt. Titus Mwinuka.  

The post...

 

11 months ago

Michuzi

SERIKALI YAPONGEZA UTENDAJI WA TANESCO

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa matumizi ya umeme wa Gridi ya Taifa wilayani Ngara, Aprili 8 mwaka huu.
Na Veronica Simba - Ngara
Serikali imelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na utendaji kazi wake mzuri katika kuwapatia watanzania kote nchini huduma ya nishati ya umeme. Pongezi hizo zilitolewa hivi karibuni, Aprili 8 mwaka huu, na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani wakati wa hafla ya ufunguzi wa matumizi ya umeme wa...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Meneja Tanesco ametakiwa kufanya uchunguzi kumbaini mtumishi aliye hamasisha maandamano Mange Kimambi

Meneja Tanesco Mkoa wa Pwani, Martin Madulu ametakiwa kufanya uchunguzi kumbaini mtumishi wa shirika hilo, aliyemtaka mkazi wa Kibaha kushiriki katika maandamano ya Mange Kimambi, Aprili 26 ndipo apate umeme.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu Machi 26 katika Mtaa wa Sagale, Magengeni, Kata ya Viziwaziwa, Kibaha baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa mkazi wa eneo hilo, Bebronia Meteli.

Meteli alitoa malalamiko hayo katika mkutano wa hadhara akilalamika kuwa...

 

12 months ago

Michuzi

TANESCO KUTUMIA MFUMO MPYA WA MALIPO YA SERIKALI KUUZA UMEME,PIA KAMPUNI ZA SIMU,BENKI KUTUMIKA,YAWATOA HOFU WATEJA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema wateja wake wote wanaotumia mita za malipo ya kabla yaani (LUKU) kuwa, kuanzia April 2, mwaka huu shirika hilo itahamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali ujulikanao Government e-Payment Gateway (GePG).
Imesema mfumo utaanza kutumika kutokana na matakwa ya sheria kwa taasisi za Serikali.Taarifa ya Ofisi ya Uhusiano ya Tanesco makao makuu imesema shirika hilo ni miongoni mwa Taasisi za Serikali,hivyo itaanza...

 

12 months ago

Michuzi

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAO, YASEMA HAKUNA TATIZO KATIKA LUKU

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco)limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii  inayodai kutakuwa na tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU kuanzia Machi 25 hadi Aprili 5 mwaka huu.
Taarifa hiyo ya kutunga inadai kutokana na hali hiyo wateja wanunue umeme wa kutosha katika kipindi hicho.
Tanesco kupitia Ofisi ya Uhusiano imesema taarifa hizo si za kweli na uzushi wenye nia ya kupotosha umma kwani haijatokea taarifa yoyote kuhusu hitilafu...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani