2 weeks ago

MwanaHALISI

Telegram kudhibiti Magaidi Indonesia

MTANDAO wa kijamii wa Telegram, umeahidi kuwa utafunga akaunti zinazohusiana na ugaidi nchini Indonesia, anaandika Hamisi Mguta. Maamuzi hayo ni kufuatia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia nchini humo kufunga huduma za mtandao huo nchini humo siku ya Ijumaa kwa kudai kuwa Telegram imetumiwa kuunga mkono itikadi kali na kutoa maelekezo ya kufanya mashambulizi. Taarifa kupitia ...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Telegram kufunga akaunti za makundi ya ugaidi Indonesia

Indonesia inadai kuwa Telegram imetumiwa kuunga mkono itikadi kali na kutoa maelekezo ya kufanya mashambulizi.

 

12 months ago

Dewji Blog

Telegram yazidi kujivunia usalama dhidi ya “Hackers”

Mtandao wa mawasiliano kwa njia ya meseji wa Telegram umekanusha taarifa zilizo tolewa kwamba muharifu wa mtandao raia wa Iran ameweza kuingia katika mtandao huo na kutazama mamilioni ya namba za simu za watu wa iran.

Shirika la Telegram lilioa taarifa na kuwambia watumiaji wake “ondoeni shaka na tumieni telegram” baada ya kuchukua headline katika vichwa vya habari kwenye mitandao ya habari mbalimbali juu ya tuhuma hizo, kwani imejiimarisha vyema katika usalama wa watumiaji wake.

Taarifa...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani