7 months ago

VOASwahili

Tetemeko la ardhi laua 14 Papua New Guinea

Watu 14 walifariki Jumanne katika maporomo ya ardhi na kuvunjika kwa majengo wakati wa tetemeko kubwa la ardhi katika eneo la ndani nchini papua new guinea, polisi na mfanyakazi wa hospitali walisema jumanne huku ripoti ambazo hazikuthibitishwa zikitaja idadi ya waliokufa kuwa 30.

 

8 months ago

VOASwahili

Waliokufa katika tetemeko la Taiwan wafikia 9

Timu za waokoaji katika eneo la mashariki mwa nchi ya Taiwan zimeendelea Alhamisi kuchimba vifusi vya jengo la makazi lililoporomoka baada ya tetemeko la ardhi la Jumanne.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Picha: Athari za tetemeko la ardhi nchini Taiwan

Watu wanne wamefariki na wengine wamekwama katika majengo baada ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.4 lilopiga katika mji wa Hualien, Taiwan.

Majengo matano yanaripotiwa kuharibika vibaya na yapo katika hatari ya kuanguka, huku watu zaidi ya 140 hawajafikiwa na waokoaji.

Shirika la Habari la Taiwan limeripoti kuwa tetemeko lilopika usiku wa manane usiku ya Jumanne lilijeruhi watu 225.

The post Picha: Athari za tetemeko la ardhi nchini Taiwan appeared first on Zanzibar24.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Maelfu ya watu watafuta makaazi baada ya Tetemeko nchini Iran na Iraq

Jitihada kubwa za uokoaji zinaendelea baada ya tetemeko kubwa kukumba eneo la mpaka wa Iran na Iraq na kuwaua zaidi ya watu 400 na kuwajeruhi zaidi ya 7,000.

Makundi ya uokoaji yanatafuta manusura waliokwamwa ndani ya vifusi vya majengo yaliyoporomoka.

Tetemeko hilo la ardhi ndilo baya zaidi kutokea duniani kwa mwaka huu.

Watu wengine waliouawa walikuwa kwenye mji ulio magharibu mwa Iran wa Sarpol-e-Zahab ulio umbali wa kilomita 15 kutoka mpaka na sehemu zingine za mkoa wa...

 

10 months ago

BBCSwahili

Tetemeko nchini Iran na Iraq ndilo baya zaidi mwaka 2017

Jitihada kubwa za uokoaji zinaendelea baada ya tetemeko kubwa kukumba eneo la mpaka wa Iran na Iraq na kuwaua zaidi ya watu 400 na kuwajeruhi zaidi ya 7,000.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Tetemeko la ardhi lauwa watu 200

Tetemeko lenye ukubwa wa 7.3 katika vipimo vya richa limetokea katika eneo la kaskazini mwa Iran na Iraq na kuua watu kadha.

Takriban watu 200 waliuawa katika mkoa ulio magharibi mwa Iran wa Kermanshah, kwa mujibu wa maafisa.

Tetemeko hilo lilizua hofu hadi kusababisha watu kukimbia kutoka majumbani mwao kwenda barabarani.

Misikiti kwenye mji mkuu wa Iraq Baghdad, imekuwa ikifanya maombi kwa kutumia vipasa sauti.

Wengi wa waathiriwa walikuwa ni kwenye mji wa Sarpol-e Zahab, kilomita 15...

 

10 months ago

BBCSwahili

Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 100

Takriban watu 129 waliuawa katika mkoa ulio magharibi mwa Iran wa Kermanshah, kwa mujibu wa maafisa

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani