(Today) 13 hours ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 22.05.2019: Cech, De Gea, Pogba, Zaha, Gomes

Kipa wa Arsenal Petr Cech, atarejea Chelsea msimu huu wa joto kuchukua wadhifa wa mkurugenzi wa michezo

 

(Yesterday)

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 21.05.2019: Sane, Pogba, Conte, Batistuta, Giroud

Bayern Munich wanaamini kuwa watamsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ujarumani Leroy Sane.

 

2 days ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 20.05.2019: Guardiola, Sanchez, Mbappe, Saliba, Gundogan, Kante, Bale

Kiungo raia wa Ujerumani Ilkay Gundogan, 28, anataka kurudi mezani na klabu yake ya Manchester City kwa malengo ya kusalia klabuni hapo zaidi ya mwezi Juni 2020 ambapo mkataba wake wa sasa unaishia.

 

3 days ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 19.05.2019

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 19.05.2019: Rodrigo, Jesus, De Gea, Zaha, Kante, Rashford, Pogba, Wan-Bissaka

 

4 days ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi tarehe 18.05.2019: Rashford, Sessegnon, Lallana, Wilson, Gueye

Mshambuliaji wa England Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 21, anataka hakikisho kutoka kwa Manchester United kabla ya kukubali mkataba mpya.(Sun)

 

6 days ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 17.05.2019: Salah, Jovic, Griezmann, Alonso, Rashford, Aubameyang, Lacazette

Real Madrid inatarajiwa kujaribu tena kuwasilisha ombi kwa Liverpool msimu huu wa joto kumsajili Mohamed Salah, Barcelona inapanga kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann.

 

6 days ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Sanchez, Zaha, Wan-Bissaka, Van Aanholt, James, Sancho, Higuain

Juventus wameanza mashauriano na Manchester United kumhusu Alexis Sanchez.

 

1 week ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.05.2019: Sane, Griezmann, Pogba, Hazard, Martial, Bale, Sanchez

Winga wa Leroy Sane Manchester City huenda akarudi Ujerumani

 

1 week ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Jumanne 14.05.2019: Hazard, Man City, Loftus-Cheek, Griezmann, Sessegnon, Koulibaly, Tielemans, Werner

Mshambuliaji wa safu ya kati wa Chelsea Mbelgiji Eden Hazard mwenye umri wa miaka 28- amekamilisha mkatataba wake wa pauni £86m na Real Madrid baada ya fainali ya ligi ya Europa

 

1 week ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 13.05.2019: Hazard, Coutinho, Pogba, Rice, Lacazette

Eden Hazard ameifahamisha Chelsea kuhusu uamuzi wake wa kuhamia Real Madrid

 

1 week ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 12.05.2019: Guardiola, Gueye, Hudson-Odoi, Ozil, Bale, Fernandes, Richarlison

Pep Guadiola amewahakikishia Manchester City kuwa hana mpango wa wa kuacha kazi.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 11/05/2019: Sancho, De Ligt, Hazard, Maguire, Ozil

Mshambuliaji wa Chelsea Ubelgiji Eden Hazard, 28, yuko katika harakati ya kukubali masharti mapya na Real Madrid kuhusiana na uhamisho mwisho wa msimu huu . (Independent)

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 10.05.2019: Hazard, Coutinho, Fernandes, Alderweireld, Morata

Kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard anataka kuhamia Real Madrid haraka iwezekanavyo , lakini Chelsea haiko tayari kumuuza mchezaji huyoi wa ubelgiji mwenye umri wa miaka 28 chini ya dau la £100m. (ESPN)

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 09.05.2019:

Mshambulaiji wa Brazil Philippe Coutinho, 26, sio mchezaji wa Barcelona na atakuwa kiungo wa kwanza wa timu hiyo kufuatia kuondolewa kwa timu hiyo katika nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya na Liverpool.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 08.05.2019: Mbappe, Sancho, Hazard, Maguire, Asensio, Fraser

Real Madrid inatarajiwa kuwasilisha ofa itakayovunja rekodi ya dunia ya £240m kwa mshambuliaji wa Paris St-Germain 20,na Ufaransa Kylian Mbappe. (France Football, via Sport)

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani