9 months ago

BBCSwahili

Sababu zilizomfanya Trump kumpiga kalamu Rex Tillerson

Wawili hao hawakuelewana huku kukiwa na ripoti kwamba Tillerson wakati mmoja alimuita rais Trump 'mjinga'

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson alifanya ziara ya kwanza ya kidiplomasia Afrika kabla ya kufukuzwa kazi

Tillerson alielezea msimamo thabiti wa Marekani kushirikiana na bara la Afrika

 

9 months ago

BBCSwahili

Trump amfuta kazi Waziri wa mambo ya nje Tillerson

Rais Trump amemeshukuru Bw Tillerson, akisema mkuu wa Shirika la Kijasusi, CIA Mike Pompeo atafanya "kazi nzuri"

 

9 months ago

VOASwahili

Rex Tillerson akamilisha ziara ya wiki moja ya kutembelea nchi 5 za Afrika

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani amekamiisha ziara ya kutembelea mataifa matano ya Afrika ambako amezungumzia masuala ya usalama, kupambana na ugaidi na ushirikiano kati ya nchi zao.

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson afupisha ziara yake Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson amefupisha ziara yake ya Afrika kwa siku moja ili kurudi Marekani kushughulikia masuala muhimu likiwemo la Korea Kaskazini.

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson aendelea na ratiba yake Kenya

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson amerejea katika ratiba yake ya kawaida iliyoandaliwa katika ziara yake nchini Kenya Jumapili baada ya kusitisha shughuli zake Jumamosi kwa sababu alikuwa "hajisikii vizuri."

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson ameahirisha ratiba ya matukio Kenya kwa Jumamosi pekee

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Rex Tillerson ameakhirisha matukio aliyokuwa ayafanye Jumamosi huko Kenya ili kujipumzisha baada ya ratiba iliyojaa shughuli nyingi kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani. Msemaji wa wizara hiyo Steve Goldstein ambaye ameongozana na bwana Tillerson kwenye ziara hii ya bara la Afrika alisema kwamba waziri huyo hajisikii vizuri kiafya baada ya siku kadhaa za kufanya kazi kwa masaa mengi juu ya masuala muhimu yanayoendelea nyumbani...

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson asisitiza umuhimu wa vyombo vya habari huru

Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani ambaye anatembelea Kenya amesisitiza umuhimu wa kuwepo vyombo vya habari huru katika kukuza demokrasia na kutaka serikali zisiminye uhuru wa vyombo vya habari.

 

9 months ago

BBC

Tillerson in Africa: US diplomat 'feeling unwell', cancels Kenya plans

The US secretary of state is on a five-nation diplomatic tour of Africa.

 

9 months ago

BBCSwahili

Tillerson asitisha shughuli alizopanga kufanya Kenya leo baada ya kuugua

Waziri wa mambo nje wa Marekani, Rex Tillerson amesitisha shughuli alizokuwa anapaswa kufanya nchini Kenya kutokana na hali yake ya kiafya kutokuwa nzuri

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson awapongeza Kenyatta, Raila

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson Ijumaa alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Monica Juma.

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson aahidi kuendeleza uhusiano wa Marekani - Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ameahidi kwa mara nyingine mshikamano wa Marekani na nchi za Afrika, katika juhudi za kufuta kauli ya utata iliotolewa na Rais Donald Trump ikilikashifu bara hilo.

 

9 months ago

BBC

Rex Tillerson slams China's relationship with Africa

The US secretary of state launches a stinging attack ahead of his six-nation tour of Africa.

 

9 months ago

VOASwahili

Tillerson aishutumu China kwa "kukosa uwazi" barani Afrika

Muda mfupi kabla ya kuanza  ziara yake ya kwanza ya kikazi barani Afrika, waziri wa mambo ya nje wa marekani Rex tillerson Tillerson aliishutumu China kwa "kuendeleza hali ya  kutegemea  katika sera zake kuelekea Afrika."

 

9 months ago

BBCSwahili

Tillerson afanya ziara yake ya kwanza barani Afrika

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson yupo ziarani katika mataifa matano ya Afrika

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani