2 months ago

BBCSwahili

Dermophis donaldtrumpi: Kiumbe anayeishi baharini na nchi kavu apewa jina Donald Trump

EnviroBuild, kampuni iliyopata haki yakumpa kiumbe huyo jina, iliongeza nywele bandia kwenye kiumbe huyo jambo lililomfanya kuwa na muonekano unaokaribiana na wa Trump.

 

2 months ago

BBCSwahili

Mzozo wa Syria: Hatua ya Trump ya kuondoa majeshi ya Marekani yashangaza washirika wake

Wanachama wa Republicans na mataifa makubwa ya kigeni wameshangazwa na uamuzi wa kuyaondoa majeshi ya Marekani nchini Syria

 

2 months ago

BBCSwahili

Rais Donald Trump na Melania wawatembelea ghafla wanajeshi wa Marekani nchini Iraq

Trump na Melania walisafiri kwenda huko usiku wa siku ya Krismasi kuwashukuru wanajeshi hao kwa huduma yao, mafanikio na kujitolea

 

8 months ago

VOASwahili

Trump, Kim wako Singapore kuanza mazungumzo

Kim Jong Un Jumapili alikuwa mbali zaidi na makazi yake Korea Kaskazini kuliko wakati wowote tangu alipochukuwa madaraka 2011.

 

8 months ago

BBCSwahili

Trump, Kim wawasili Singapore,kuzungumza ana kwa ana

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa kuwa wa kihistoria

 

8 months ago

VOASwahili

Viongozi wa G-7 wajaribu kumshawishi Trump

Hisia mbalimbali zilijitokeza wakati Rais Donald Trump alipokutana na viongozi wa mataifa ya G 7 yenye uchumi mkubwa duniani katika mkutano wao wa kila mwaka huko Canada Ijumaa, lakini mazungumzo yao yalikuwa yakistaarabu, kidiplomasia kwa mujibu wa vyanzo vya habari.

 

8 months ago

BBCSwahili

Mkutano wa G7 wakumbwa na tofauti kati ya Trump na washirika wake

Donald Trump na viongozi wengine walishindwa kuondoa tofautia zao hususan kuhusu biashara katika mkutano wa G7.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Trump atoa maneno makali kuelekea mkutano wa G7

Kumekuwa na maneno makali kutoka kwa Rais Donald Trump kuelekea mkutano wa mataifa tajiri G7 unaotarajiwa kufanyika nchini Canada na, kwamba inatoza ushuru mkubwa kwa bidha zitakazo Marekani na kusabisha mazingira magumu yasiyoenda na sera za kifedha.

Kitendo cha Trump kuongeza tozo katika bidhaa za chuma kumemuweka katika mazingira ya kutofautiana na mataifa wanacha wa G7.

Akizungumza awali na waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau mjini Ottawa, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliwaambia...

 

8 months ago

BBCSwahili

Kumekuwa na maneno makali kutoka kwa Rais Donald Trump kuelekea mkutano wa mataifa tajiri G7 unaotarajiwa kufanyika nchini Canada

Kumekuwa na maneno makali kutoka kwa Rais Donald Trump kuelekea mkutano wa mataifa tajiri G7 unaotarajiwa kufanyika nchini Canada

 

8 months ago

VOASwahili

Trump atamualika Kim Marekani kama mkutano wao utaleta matunda

Rais wa Marekani, Donald Trump alisema alhamis kwamba atamualika kiongozi wa Korea kaskazini, Kim Jong Un kuja Marekani kama mkutano ujao wa kihistoria na kiongozi huyo utakuwa na mafanikio. Kwa upande mwingine, alisema yuko tayari kujiondoa kwenye mkutano ikiwa mambo hayatakua sawa. Rais Trump alikutana kwa saa mbili na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe huko White House siku ya alhamis chini ya wiki moja kabla ya mkutano wake wa kilele na Kim Jong Un huko Singapore. Mkutano huo na Korea...

 

8 months ago

VOASwahili

Spika ayatupilia mbali madai ya Trump

Spika wa Bunge la Marekani Paul Ryan Jumatano ameyakataa madai ya Rais Donald Trump kuwa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai walimpeleka “jasusi” katika kampeni yake ya 2016.

 

8 months ago

BBCSwahili

Trump sasa anatarajiwa kukutana na Kiongozi wa Korea kaskazini kisiwani Sentosa Singapore

Ikulu ya Marekani imethibitisha kwamba mkutano unaosubiriwa kwa hamu kati ya Donald Trump na kiongozi wa Korea kaskazini utafanyika kisiwani Sentosa nchini Singapore

 

8 months ago

VOASwahili

Trump asema amewapiku marais wengine wa Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump ameadhimisha siku ya 500 katika madaraka Jumatatu, akitangaza kuwa “wengi wanaamini” kwamba ameweza kutekeleza mambo mengi zaidi kuliko rais wengine wa Marekani.

 

9 months ago

VOASwahili

Trump asema mkutano na Kim Jung Un utafanyika

Rais wa Marekani Donald Trump Ijumaa amekutana kwa dakika 80 katika ofisi ya Oval na Jenerali ambaye amemuelezea kama ni mtu wa pili mwenye madaraka ya juu kuliko wote nchini Korea Kaskazini.

 

9 months ago

BBCSwahili

Kim Kardashian amuomba Trump amsamehe bibi aliyefungwa jela

Nyota wa televisheni Kim Cardashian amekutana na rais kwa niaba ya mwanamke mwenye umri wa miaka 63 aliyefungwa jela kwa kosa la kwanza la dawa za kulevya

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani