(Today) 2 hours ago

BBCSwahili

Mauaji ya Florida: Donald Trump aishutumu FBI

Amesema kuwa FBI inapoteza muda mwingi kujaribu kubaini kuwa timu yake ya Kampeini ya Urais ilishirikiana na Urusi kuiba kura mwaka 2016 badala ya kutoa uilinzi kwa wamarekani

 

2 days ago

MillardAyo

Rais Trump alaumiwa kuhusu mauaji ya wanafunzi 17 Florida

Imepita siku moja baada ya taarifa kutoka nchini Marekani kuonesha kuwa wanafunzi 17 wa shule ya sekondari Marjory Stoneman Douglas High School iliyoko Parkland, Florida kuuawa kwa kupigwa risasi na mwanafunzi mwenzao. Kutokana na hilo Chama cha Democrats nchini humo kimeshusha lawana za shambulio hilo kwa Rais Donald Trump na Spika wa Bunge la nchi […]

 

2 days ago

VOASwahili

Trump asema usalama mashuleni 'kipaumbele chetu'

Mtu anayedaiwa kuwa na matatizo mwenye umri wa miaka 19 anayetuhumiwa kuuwa watu 17 huko katika shule mmoja ya Florida ameshikiliwa bila ya dhamana.

 

2 days ago

BBCSwahili

Trump lawamani na sheria ya silaha

Chama cha Democrats kimewashutumu Rais Donald Trump na Spika wa bunge la nchi hiyo Paul Ryan kwa kukataa kuruhusu mjadala wa sheria ya kumiliki silaha.

 

4 days ago

BBCSwahili

Wakili wa Trump akiri kumlipa 'kisiri' nyota wa filamu za ngono $130,000

Wakili wa kibinafsi wa muda mrefu wa rais wa Marekani Donald Trump amekiri kumlipa nyota wa filamu za ngono $130,000 (£95,000) mwaka 2016

 

5 days ago

BBC

Africa's Trump impersonator

Senegalese comedian Samba Sine's impersonation of President Donald Trump has made him famous beyond his country's borders.

 

5 days ago

BBCSwahili

Mke wa Trump Jr apelekwa hospitalini baada ya kufungua bahasha yenye unga

Mke wa mtoto wa Rais Trump, Trump Jr, Vanessa Trump, amepelekwa hospitalini baada ya kufungua bahasha yenye unga mweupe

 

6 days ago

BBCSwahili

Je Trump atatorokea wapi iwapo kutatokea shambulio la kinyuklia?

Kwengine wazo la kuwepo kwa shambulio la kinyuklia haliko katika mafikira yao.Wengine wanajiandaa

 

1 week ago

VOASwahili

Trump asaini makubaliano ya bajeti, aepusha serikali kufungwa

Baraza la Wawakalishi nchini Marekani limepitisha bajeti kubwa ya dola bilioni 400 baada ya kufikia makubaliano mapema Ijumaa ambayo yalikuwa na azma ya kuepukwa kufungwa kwa shughuli za serikali kuu.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Kwa nini Trump asema serikali inastahili kufungwa?

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anakubaliana na kufungwa kwa serikali kama suala la marekebisho ya mpango wa uhamiaji halijaungwa mkono na Bunge la Congress, akisema kuwa hatua hiyo itakuwa “inastahili kwa nchi yetu.”

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Trump aiambia Pentagon iandae gwaride la jeshi Washington

Inaarifiwa rais trump alifurahishwa mno na sherehe za Bastille Ufaransa, na anataka sherehe kama hizo zifanyike Marekani

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Maradona anyimwa visa ya kuingia Marekani kwa kumtusi Trump

Nyota wa zamani wa soka nchini Argentina Digo Maradona amenyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani baada ya kudaiwa 'kumtusi' rais Donald Trump katika runinga

 

2 weeks ago

VOASwahili

Pelosi amtuhumu Trump kwa kutosimamia jukumu lake la kikatiba

Kiongozi wa Wabunge wa Demokrat Nancy Pelosi amemtuhumu Trump kwa kutosimamia jukumu lake la kikatiba kutokana na hatua yake ya kuruhusu waraka wa siri ya juu kabisa kutolewa kwa umma na kupotoshwa kwa taarifa za upelelezi.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Trump awapatia maelfu ya wakimbizi kutoka Syria ruhusa kuishi Marekani

Serikali ya Rais Donald Trump imeongeza kinga ya muda kwa karibu wakimbizi 7,000 wa Syria wanaoishi nchini Marekani wakati vita vikiendelea nchini mwao.

 

3 weeks ago

VOASwahili

Kennedy asema sera za Trump zimewaangusha Wamarekani

Mbunge wa chama cha Demokrat Joe Kennedy amesema kuwa uongozi wa Rais Donald Trump “ sio tu unalenga sheria zinazotuhami- lakini zinaishambulia dhana nzima ya kuwa sisi tunastahili kulindwa.”

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani