3 days ago

MwanaHALISI

Madereva daladala Ubungo wamaliza mgomo

MADEREVA wa Daladala  kituo cha  Simu 2000, Sinza  jijini Dar es salaam wamekubali kumaliza mgomo waliouanza mapema leo asubuhi kutokana na kupanda kwa bei ya ushuru kutoka Sh. 500 hadi Sh. 1000 sh, anaandika Irene David. Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, John Kayombo, amemaliza mgomo huo baada ya kuagiza ushuru urejee kama ilivyokuwa mwanzo sh ...

 

3 days ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA UBUNGO KISARE MAKOLI AINGILIA KATI MGOMO WA DALADALA SIMU 2000,AWEKA MAMBO SHWARI

 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli (pichani kati) akiwa ameongozana na baadhi ya madereva wa dala dala wakielekea  kwenye kituo cha daladala cha Mawasiliano simu 2000 mara baada ya madereva wa Daladala kupinga tozo ya shilingi 1000 kama Ushuru wa magari ambapo awali walikuwa wanalipa shilingi 500Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli, akizungumza na Madereva Daladala waliopo katika eneo la Simu 2000 mara baada ya kuweka mgomo kupinga tozo ya Shilingi 1000 na kudai kuwa barabara hiyo...

 

1 week ago

CCM Blog

WAJUMBE WA BODI YA BARABARA WAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI MITATU YA BARABARA INAYOTEKELEZWA KATIKA MANISPAA YA UBUNGO

Wajumbe wa bodi ya barabara inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wakikagua barabara ya Kifuru-Msigani ikiwa ni ziara ya kukagua miradi ya barabara inayotekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo. Leo Agosti 14 Wajumbe wa bodi ya barabara inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wakikagua daraja lililopo kwenye barabara ya Kifuru-Msigani ikiwa ni ziara ya kukagua miradi ya barabara inayotekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo. Leo...

 

2 weeks ago

Michuzi

MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJAMMOJA

  Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Mmoja wa Madereva wa Daladala ambao hufanya safari zao kituo cha River Side kwenda Makoka mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo .
  Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na Dereva wa Bodaboda katika barabara ya Riverside Makoka mara baada ya kukagua barabara hiyo iliyochongwa kwa fedha za Mfuko wa jimbo
 Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na  Wakazi wa eneo la ...

 

2 weeks ago

Channelten

Ujenzi wa barabara za mitaani, Mbunge wa Ubungo awatoa wasiwasi wananchi

mnu

Mbunge wa jimbo la ubungo Saed Kubenea amewahakikishia wakazi wa jimbo hilo kuwa anatambua uharibifu wa barabara uliotokana na mvua zilizonyesha mwaka huu ambapo sasa ameanza ukarabati wa baadhi ya barabara ambazo zilikuwa katika hali mbaya na kuwafanya wakazi wa maeneo husika kutumia muda mwingi wakiwa barabarani na kulazimika kutumia njia zingine mbadala zenye unafuu.

Bw. Kubenea ametembelea barabara ya ubungo makoka yenye urefu wa km 3.8 ambayo ni miongoni mwa barabara zilizokuwa...

 

3 weeks ago

Michuzi

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KITUO CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NCHI JIRANI CHA UBUNGO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (katika) alipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo na kituo cha daladala cha Mbezi Luisi, (kushoto) ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi ( ACP) Murilo Jumanne Murilo.
Na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka madereva na wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani na nchi jirani pamoja na wamiliki na madereva wa mabasi...

 

3 weeks ago

CCM Blog

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHAFANYIKA LEO

 Wajumbe na waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Ubungo, Dar es Salaam, leo.
 Wajumbe na waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Ubungo, Dar es Salaam, leo.
 Naibu Meya, Meya na Naibu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kikao hicho
 Ofisa katika Halmashauri ya Ubungo Ndugu Nassiri (kushoto) akishauri jambo kwenye meza kuu wakati wa kikao...

 

3 weeks ago

Michuzi

Mhe. Ridhiwani Kikwete ashuhudia Ndondo Cup uwanja wa Kinesi Ubungo jijini Dar es salaam

 Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi na mashabiki wakati alipowasili uwanja wa Kinesi Ubungo jijini Dar es salaam  kuangalia kuangalia mtanange wa Ndondo Cup kati ya timu ya Stim Tosha na Keko Furniture. Katika Mechi hiyo Keko wameshinda kwa penati 4-2 baada ya kutoka Sare ya magoli 1-1 katika muda wa kawaida.  Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi na mashabiki wakati alipowasili uwanja wa Kinesi Ubungo jijini Dar es...

 

1 month ago

Michuzi

MEYA WA JIJI LA DAR AFANYA ZIARA KITUO CHA MABASI UBUNGO

 Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na wafanyabiashara wa Stendi ya Mabasi Ubungo,wajumbe wa Kamati ya Fedha na uchumi ya Halmashauri ya Jiji alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha mabasi ubungo jana,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji.  Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwasikiliza Askari Polisi wa Ubungo alipofanya ziara ya kushtukiza jana katika kituo cha mabasi yaendoyo mikoani. katikati Mwenye Shati jeupe ni Diwani wa kata ya...

 

1 month ago

MwanaHALISI

Wafanyabiashara Ubungo wacharuka

MFANYABIASHARA ambaye pia ni Naibu katibu wa Wafanyabiashara kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es salaam, John Shayo ametangaza kuuburuza mahakamani uongozi wa kituo hicho kwa madi kuwa umetafuna fedha za wanazolipa kodi, anaandika, Irene Emmanuel. Amesema anashangaa kuona anadaiwa deni kubwa la Sh. 800,000 wakati amelipa kodi zote. “Haki yoyote inapatikana mahakamani, na ...

 

1 month ago

Mwananchi

Wafanyabiashara Ubungo wapewa siku 13 kulipa kodi

Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ametembelea kituo cha mabasi Ubungo na kuagiza wafanyabiashara kuhakikisha wanalipa kodi zao kabla ya mwezi wa nane.

 

1 month ago

Mwananchi

Kairuki: Ubungo itapata watumishi wapya 397

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki

 

1 month ago

TheCitizen

Minister: More than 500 jobs for grabs in Ubungo

The government is planning to issue 537 job opportunities to Ubungo Municipal Council in this fiscal year.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani