7 months ago

BBCSwahili

UEFA: Chimbuko la Mo Salah, Firauni nguzo ya Liverpool

Mo Salah amefunga mabao 44 msimu huu na kuwa nguzo kuu ya ufanisi wa Liverpool kiasi cha kuwafikisha fainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

7 months ago

BBCSwahili

Roma 4-2 Liverpool: Jurgen Klopp asema mechi ya ligi ya UEFA ilikuwa 'wazimu'

Meneja Jurgen Klopp alieleza mechi hiyo kama ya kushangaza lakini akaongeza kwamba: "Ilikuwa kiasi inavutia zaidi - ilivutia zaidi kuliko nilivyotaka kusema kweli."

 

7 months ago

BBCSwahili

Liverpool yatinga fainali UEFA baada ya miaka 11

Liverpool imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza tokea 2007 kwa jumla ya magoli 7-6 licha ya kupoteza mbele ya Roma kwa magoli 4-2.

 

7 months ago

BBCSwahili

Madrid yatinga fainali ya tatu mfululizo UEFA

Mabingwa wa Ulaya kwa upande wa vilabu Real Madrid imefanikiwa kutinga hatua ya fainali muchuano ya Ligi ya mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuindosha Bayern Munich ya Ujerumani kwa jumla ya magoli 4-3.

 

8 months ago

BBCSwahili

Manchester city yachapwa 3-0 na Liverpool: Uefa

Michuano ya klabu bingwa barani Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo

 

8 months ago

BBC

Michy Batshuayi: Uefa ends investigation into Borussia Dortmund striker's racial abuse claim

Uefa ends its investigation into a complaint by Borussia Dortmund's Michy Batshuayi that he was racially abused during a Europa League game.

 

9 months ago

BBCSwahili

Timu ya Besiktas imeshtakiwa na UEFA baada ya paka kuingia uwanjani

Timu ya Besiktas imeshtikiwa na UEFA baada ya paka kuingia uwanjani wakati mchezo kati yao na Bayern Munich.

 

9 months ago

BBCSwahili

Antonio Conte asema Chelsea kuchapwa 3-0 na Barcelona UEFA haikuwa haki

N'Golo Kante na Marcos Alonso wote walikaribia kufunga uwanjani Nou Camp, naye Antonio Rudiger alipiga mpira wa kichwa ambao uligonga mwamba wa goli dakika za mwisho.

 

9 months ago

BBCSwahili

Barcelona yaiondoa Chelsea kwenye michuano ya UEFA

Chelsea wametupwa nje ya michuano ya klabu bingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora, baada ya kupokea kichapo cha 3-0 kutoka kwa Barcelona.

 

9 months ago

BBCSwahili

Man Utd 1-2 Sevilla: Jose Mourinho asema klabu hiyo kuondolewa UEFA si jambo geni

United walipoteza nafasi ya kujiunga na wapinzani wao wa jiji Manchester City na Liverpool ambao tayari wamefuzu kwa robo fainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

9 months ago

BBCSwahili

Sevilla yaitupa nje Man Utd michuano ya UEFA

Manchester United wametupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora baada ya kuonyesha kiwango kibovu mbele ya Sevilla na kukubali kichapo cha 2-1 Old Trafford.

 

10 months ago

BBCSwahili

De Gea awasaidia Manchester United kutoka sare na Sevilla Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Mlindalango wa Manchester United David de Gea alifanya kazi ya ziada kuzuia makombora ya wapinzani wao Sevilla Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mechi ya hatua ya 16 bora na kuwasaidia kutoka sare Jumatano.

 

10 months ago

BBCSwahili

Meneja wa Chelsea Antonio Conte: Tutailaza Barcelona mechi ya marudio Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Antonio Conte amesema kuwa Chelsea "itajaribu kufanya kitu cha kipekee" kwa kuitoa Barcelona katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare 1-1 katika awamu ya kwanza.

 

10 months ago

BBCSwahili

Chelsea watoka sare ya 1-1 na Barcelona UEFA

Klabu za Chelsea na Barcelona zimemetoka sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa raundi ya 16 katika michuano Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya UEFA.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani