1 week ago

RFI

Raisi Museven aapa kuwashughulikia wauaji Uganda

Raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Museven amesema yeyote anayeua raia wa Uganda atashughulikiwa bila kusita,akikosoa uhasama wa kisiasa kusababisha chuki na mauaji nchini humo.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Mbunge auwawa kwa kupigwa risasi Uganda

Mbunge wa Manispaa ya Arua nchini Uganda (MP), Ibrahim Abiriga ameuawa kwa kupigwa risasi karibu na nyumba yake huko Mattuga Wilaya ya Wakiso.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Mbunge wa NRM auwawa Uganda

Mbunge wa manispaa ya Arua, Ibrahim Abiriga ameuawa kwa kupigwa risasi kadhaa na watu wasiojulikana, karibu na nyumbani kwake, Kirinyabigo mtaa wa Kawanda,wilayani Wakiso, karibu na jiji la Kampala.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Rais Museveni ataka marufuku ya plastiki itekelezwe Uganda

Rais Yoweri Museveni ametaka kampuni 45 za kutengeneza plastiki kusitisha utengenezaji wa mifuko ya plastiki katika hatua ya kufufua marufuku ya serikali ambayo imekuwepo lakini isiyotekelezwa.

 

2 weeks ago

Michuzi

UGANDA YADHAMIRIA KUPITISHA SHEHENA ZA MIZIGO KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii 
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda, Mhandisi Monica Mtege amesema, nchi hiyo imedhamiria kupitisha shehena nyingi za mizigo yao katika bandari ya Dar es Salaam kwa sababu ya vivutio vingi vilivyopo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana mara baada ya kufanya ziara katika bandari ya Dar es Salaam Mhandisi Mtege amesema bandari hiyo ni njia rahisi kwao ya kupitisha mizigo yao na pia usafiri wa kutumia njia ya maji ni wa bei nafuu.Alisema vivutio vilivyopo...

 

2 weeks ago

BBC

Denis Onyango says Uganda coach Sebestien Desabre needs time

Uganda captain Denis Onyango says coach Sebestien Desabre needs to be given more time after losses to Niger and CAR.

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Waislaamu kutoka Kenya, Uganda na Tanzania bara waungana kufanya Itikafu Zanzibar

MWENYEKITI wa madrasa ya Fisabiili lahi iliyopo Amani kwa Saidi wa Shoto Khatibu Tahir Nassor,  amewataka waislaamu kushikamana katika nguzo ya Allah kwa kufanya ibada zaidi hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.

Hayo aliyasema huko bandarini Unguja wakati alipokuwa akiwapokea waislamu kutoka Kenya , Uganda , Tanzania bara waliokuja kwenye itikafu ambayo hufanyika kila mwaka katika msikiti wa fiisabili llahi  Amani kwa Saidi wa Shoto .

Alisema waislamu tushikamane na nguzo ya allah kwa...

 

2 weeks ago

RFI

Kodi kwa mitandao ya kijamii Uganda itakandamiza uandishi wa habari

Shirika la kimataifa la waandishi wa habari wasio na mipaka limelaani kikwazo cha kukusanya taarifa na kuropoti nchini Uganda kufuatia sheria mpya inayotoza kodi ya kila siku kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.

 

3 weeks ago

VOASwahili

Jengo la historia ya ukatili wa Amin kuzinduliwa Uganda

Uganda imesema inatazamia kuvuta watalii wengi baada ya kuzindua jengo la kumbukumbu za ukatikli uliotekelezwa na rais wa zamani wa nchi hiyo, Idi Amin.

 

3 weeks ago

VOASwahili

Mama Maria Nyerere ahudhuria maombi Siku ya Nyerere Uganda

Mama Maria Nyerere wa Tanzania akihudhuria Ijumaa Juni 1, 2018, maombi maalum kwa ajili ya Mwalimu Nyerere kabla ya maadhimisho ya Siku ya Mashahidi wa Uganda, akiwa na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni.

 

3 weeks ago

VOASwahili

3 weeks ago

BBC

Uganda to build 'Idi Amin museum' to attract tourists

The East African nation cannot run away from its bloody history, the tourism board chief says.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Magari yaliotumika kwa zaidi ya miaka 15 marufuku kuingizwa Uganda

Serikali ya Uganda imedhinisha mswada unaopiga marufuku uingizaji wa magari yaliozidi miaka 15 kuanzia Septemba mwaka huu ikieleza kuwa sio salama kwa matumizi na huchafua mazingira.

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Wanaotumia Facebook na WhatsApp kutozwa kodi Uganda

Raia wa Uganda wanaotumia mitandao ya kijamii nchini humo huenda wakalazimika kulipa ndipo waruhusiwe na serikali kutumia mitandao ya kijamii kama vile Facebook na WhatsApp.

Hii ni baada ya Bunge hilo kuidhinisha mswada huo tata Jumatano.

Chini ya sheria hiyo ambayo inatarajiwa kuanza kutekelezwa 1 Julai, wanaotumia mitandao ya kijamii watakuwa wanatozwa shilingi 200 za Uganda ambazo ni sawa na $0.05 ( £0.04) kila siku.

Raia pia watalipia kila shughuli ya kibiashara watakayoikamilisha...

 

3 weeks ago

RFI

Raia wanaotumia mitandao ya kijamii kutozwa kodi Uganda

Wananchi wa Uganda wameendelea kuilalamikia serikali ya nchi yao kuhusu hatua mpya iliopitishwa hivi majuzi na bunge kupitisha muswada tata wa kodi kwa watumiaji wa mitandano ya kijamii na huduma za miamala ya kifedha kwa njia ya simu.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani