5 days ago

Michuzi

RAIS Dkt Magufuli amelipatia heshima kubwa Taifa kuwa na Paspoti yenye ubora wa Kimataifa -Uhamiaji

Na Francis Godwin ,Iringa 
Ofisa uhamiaji mkoa wa Iringa Tunu Ng'ondya amesema amepongeza jitihada mbali mbali zinazoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Magufuli katika kuboresha idara hiyo na kupelekea kuliletea Taifa heshima kubwa katika dunia kwa kuwa na hati ya kusafiria nje ya Tanzania yenye ubora wa kimataifa .
Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake kuhusu kujaza fomu ya Maombi ya Pasipoti kwa njia ya...

 

1 week ago

VOASwahili

Sera ya Uhamiaji ya Trump yapokelewa kwa maoni tofauti

Maoni mchanganyiko yamepokea mpango mpya wa utawala wa rais Donald trump kuhusu sera ya uhamiaji aliyoizundua alhamisi mjini Washington

 

1 week ago

VOASwahili

Trump asema mpango mpya wa uhamiaji Marekani kuzingatia elimu, ujuzi

Rais wa Marekani Donald Trump amesema mpango mpya wa uhamiaji ukikamilika utaanza kutoa kipaumbele kwa watu wenye elimu na ujuzi, akisisitiza suala litakalozingatiwa ni ushindani.

 

1 week ago

VOASwahili

Sera mpya za uhamiaji kutoka kwa wa Rais Trump

Rais wa Marekani Donald Trump leo anatangaza pendekezo lake la sera mpya ya uhamiaji, katika juhudi za kudhibiti aina ya watu wanaoingia hapa nchini.

 

1 week ago

VOASwahili

Trump atangaza pendekezo la sera mpya ya uhamiaji Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump anatangaza pendekezo lake la sera mpya ya uhamiaji, katika juhudi za kudhibiti aina ya watu wanaoingia hapa nchini.

 

1 week ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI ARUSHA YAKANUSHA KUPOKEA MALIPO MKONONI

Na Ahmed Mahmoud Arusha
Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani Idara ya uhamiaji imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao kijamii kuwa idara hiyo inapokea malipo mkononi kutoka kwa wateja wakati inafamika malipo yote ya serikali hulipwa kwa njia za huduma za kifedha.
Kamanda wa Idara ya Uhamiaji mkoani Arusha Mratibu msaidizi Samwel Mahirani ameyasema hayo alipokuwa akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake na kuwataka watanzania kuwaamini viongozi...

 

3 weeks ago

VOASwahili

Uhamiaji Marekani imeanzisha mpango mpya kuwabana wahamiaji haramu

Kanuni mpya itawaruhusu maafisa wa miji kuwakamata washukiwa wa uhalifu na badala ya kuwaachia washukiwa hao sasa wataipatia ICE saa 48 za ziada kuwafikisha washukiwa kwenye kizuizi cha serikali kuu

 

4 weeks ago

Michuzi

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AITAKA SUMA JKT KUMKABIDHI JENGO JIPYA LA UHAMIAJI JIJINI DODOMA BAADA YA MIEZI 18, WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO, LEOKatibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia), Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Martin Busungu, wakisaini Mkataba wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Ujenzi wa Jengo hilo ambalo litakua na ghorofa nane unatarajiwa kukamilika baada ya miezi 18. Katibu Mkuu ameitaka Suma JKT kumkabidhi jengo hilo kwa wakati.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani