1 day ago

VOASwahili

Uhuru aadhimisha Kumbukumbu ya Kenyatta kwa kuhimiza mshikamano

Rais Uhuru Kenyatta ameeleza tofauti za kisiasa kuwa ni msingi wa demokrasia ya Kenya, lakini ameonya kuwa kuhitilafiana katika maoni kusitumike kugawa nchi.

 

6 days ago

RFI

NASA kupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta mahakamani

Katika makala haya leo , utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu uamuzi wa muungano wa upinzani nchini Kenya  NASA  kwenda mahakamani dhidi ya ushindi wa rais Uhuru Kenyatta

 

6 days ago

CCM Blog

MWANDISHI WA UHURU FRED MAJALIWA ASHINDA UENYEKITI WA CCM KATA YA MZINGA

Fred MajaliwaNA MWANDISHI WETU
Kaimu Mhariri wa Habari za Michezo na Burudani wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo  Fred Majaliwa amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzinga wilayani Ilala, Dar es Salaam.

Majaliwa ambaye ni kaimu Mhariri wa habari hizo katika magazeti ya Mzalendo na Uhuru Wikiendi, ametwaa nafasi hiyo kwa kuzoa kura 59 dhidi ya kura 28 alizopata Mwenyekiti wa zamani wa Kata hiyo, Ignas Agustino, huku Guruneti akipata kura...

 

1 week ago

RFI

Raila Odinga kutoa tamko la uelekeo wa NASA baada ya kupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ameahirisha kutangaza mwelekeo wake na wa muungano wake wa NASA, baada ya kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta aliyetangazwa wiki iliyopita. Odinga alitarajiwa kuwahotubia wafuasi wake hapo jana lakini muungano wa NASA, umesema kuwa tangazo hilo sasa litafanyika hii leo jumatano. Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 72, ameendelea kusisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi huo, na kura zake ziliibiwa.

 

1 week ago

Malunde

RAIS UHURU KENYATTA ARUHUSU WANAOPINGA USHINDI WAKE WAANDAMANE....AMEWATAKA POLISI WAWAPE ULINZI

Rais Uhuru Kenyatta huenda akaingia katika vitabu vya kumbukumbu na historia kwa marais wa Afrika kwa kuamua kuruhusu maandamano ya amani kupinga ushindi wake alioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 8,2017.

Kenyatta amewataka polisi kujizuia kutumia nguvu kubwa na badala yake wawape ulinzi wakati wa maandamano hayo ya amani na yanayoruhusiwa kisheria kwa watu ambao hawafurahii matokeo ya uchaguzi uliopita.

Rais Kenyatta alisema hayo jana alipokuwa akitoa ujumbe kwa wagombea walioshindwa...

 

1 week ago

Channelten

Taifa la Pakistan, Laadhimisha miaka 70 ya Uhuru

Jap

Pakistan leo inaadhimisha miaka 70 tangu ilipopata uhuru kutoka Uingereza na kujitenga na sehemu nyingine za India, ambapo imefanya maonesho ya angani, wakati viongozi wakuu wa jeshi wakiapa kuwaangamiza magaidi siku chache tu baada ya kutokea mashambulizi mabaya.

Katika kituo cha kuvuka mpaka wa Pakistan na India cha Wagah, Mkuu wa Jeshi Jenerali Qamar Javed Bajwa alipandisha bendera kwenye mlingoti mrefu wa futi 400 huku umati ukiimba nyimbo za kizalendo.

Mlipuko mkubwa wa bomu ulililenga...

 

1 week ago

VOASwahili

Rais Uhuru Kenyatta alipotangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais nchini Kenya.

Rais Uhuru Kenyatta alipotangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais nchini Kenya dhidi ya mpinzani wake Raila Odinga.

 

2 weeks ago

RFI

Uingereza yampongeza Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa tena

Uingereza imempongeza Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kwa mara nyingine kuliongoza taifa la kenya wakati huu muungano Upinzani Nasa wakijiapiza kutokubali matokeo hayo ya uchaguzi.

 

2 weeks ago

Michuzi

UHURU NA RUTO WAIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI MKUU WA KENYA

Uhuru Kenyatta hatimaye ametangazwa mshindi wa kiti cha Urais nchini Kenya, jambo ambalo limehitimisha siku kadhaa za sintofahamu kufuatia uchaguzi mkuu uliojaa ushindani mkubwa.Rais mteule Uhuru alitangazwa mshindi kwa kujipatia jumla ya kura 8, 203,290  au asilimia 54.27 na Mwenyekiti wa Tume y Uchaguzi Wafura Chebukati wakati mshindani wake wa karibu  Raila Odinga wa  NASA akimfuatia kwa kura 6, 762, 224 ambazo ni asilimia 44.74% siku ya Ijumaa Agosti 11, ikiwa ni siku tatu baada ya kura...

 

2 weeks ago

RFI

Wasifu: Mfahamu zaidi rais Uhuru Kenyatta

Uhuru Muigai Kenyatta alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa rais wa nchi hiyo mwaka 2013, baada ya uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali kati yake na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, kama ilivyokuwa mwaka huu.

 

2 weeks ago

RFI

Uhuru Kenyatta atangazwa mshindi wa kura ya urais, Raila Odinga apinga

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya imemtangaza rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa urais uliofanyika siku ya Jumanne wiki hii.

 

2 weeks ago

MwanaHALISI

Uhuru Kenyatta sasa rasmi Ikulu ya Kenya

WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC), amemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa nafasi ya Urais nchini Kenya, akimbwaga mpinzani wake wa karibu Raila Odinga, kutoka Muungano wa NASA, anaandika Charles William. Katika matokeo yaliyotolewa leo usiku, IEBC imetangaza kuwa Uhuru amepata kura 8,203,290 sawa na asilimia ...

 

2 weeks ago

Malunde

UHURU KENYATTA ATANGAZWA KUWA MSHINDI WA URAIS KENYA

Uhuru KenyattaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionUhuru Kenyatta, baada ya kutangazwa mshindi, ametoa wito kwa wananchi kudumisha umojaTume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.
Rais Kenyatta alipata kura 8, 203, 290.. ambayo ni asilimia 54 naye mpinzani wake mkuu, mgombea wa muungano wa upinzani wa National Super Alliance Raila Odinga akapata kura milioni 6,762,224 ambayo ni asilimia 44.Akitangaza matokeo...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Uchaguzi Kenya 2017: Uhuru Kenyatta atangazwa mshindi wa urais

Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani