2 days ago

BBCSwahili

Kinyozi wa nyota wa ligi ya Uingereza kutoka Afrika

Nikky Okyere ni kinyozi kutoka Ghana ambaye amekuwa kinyozi wa nyota wa klabu za ligi ya Uingereza kutoka Afrika.

 

6 days ago

MillardAyo

MAAJABU: Mwanamke alala, aamka akiwa anaongea lafudhi ya Uingereza

Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja raia wa Marekani ajulikanaye kwa jina la Michelle Myers ameeleza mkasa uliomkuta, kuwa alilala baada ya kusikia maumivu ya kichwa lakini alivyoamka alijikuta na lafudhi ya Uingereza. Myers alipozungumza na Shirika la Utangazaji la CNN alieleza kuwa amewahi kufanya vipimo hospitali na kukutwa na ugonjwa wa ‘lafudhi ya kigeni’ […]

 

2 weeks ago

Michuzi

SERIKALI YA UINGEREZA : MSHIRIKA KATIKA PROGRAMU ZA MABADILIKO KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao ofisini kwake Dodoma na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke.

Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke (kulia), pamoja na ujumbe wake, wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) haonekani pichani, mjini Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Wachezaji wa Uingereza wana tabia mbaya: Wenger

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIA WAWILI WA UINGEREZA KORTINI WAKITUHUMIWA KWA MASHTAKA TISA,YAMO YA KUISHI NCHINI BILA VIBALI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

RAIA wawili wa Uingereza na Mkurugenzi Mkuu wa Afri Transport, wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kujibu mashitaka tisa yakiwamo ya kufanya Kazi, kuishi na kupata vibali mbali mbali kwa njia ya uongo.

Wamepandishwa kizimbani leo Mahakamani hapo ya Hakimu Mkazi Godfrey Mwambapa na majina ya washtakiwa hao ni Mohammed Mabeeenullah Kashmiri (72) na Saleem Kashmiri (50) ambao wanashtakiwa pamoja na Mtanzania Mohammed...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Siku ya mwisho dirisha la uhamisho: Klabu za Uingereza zilitumia £150m

Klabu za Uingereza zilivyogharamika katika siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho la mwezi Januari kwa kuweka rekodi ya matumizi ya £150m kufikia jumla ya £430m mwezi huu.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Wachezaji wote waliofanikiwa kuhama Januari 2018 Uingereza

Klabu nyingi Uingereza zilikuwa sokoni kuwanunua wachezaji wa kuimarisha vikosi Januari, lakini nani alifanikiwa?

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Uingereza yauza ubalozi wake Thailand

Uingereza imenunua ubalozi wake ulioko nchini Thailand kwa zaidi ya dola milioni tano na sitini na saba

 

1 month ago

BBCSwahili

Watoto mataifa yanayoendelea wanawazidi wenzao Uingereza kwa malengo maishani

Wakati wavulana nchini Uingereza wakiwa na malengo ya kuwa wachezaji wa mpira wa miguu au watu maarufu katika mtandao wa YouTube, wenzao nchini Uganda na Zambia wanataka kuwa madaktari na walimu.

 

1 month ago

BBCSwahili

Rubani 'mlevi' atimuliwa katika ndege ya Uingereza

Rubani aliyedaiwa amelewa alilazimishwa kutoka ndege katika uwanja wa Gatwick baada ya abiria kuwa na hofu

 

1 month ago

BBCSwahili

Kunguni wagunduliwa ndege ya shirika la Uingereza

Wahudumu wa shirika la British Airways walizua taharuki walipokurupuka nje badala ya kuwaelekeza wasafiri kuingia ndani ya ndege hiyo.

 

1 month ago

Malunde

UINGEREZA YATEUA WAZIRI WA UPWEKE

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May
Uingereza imemchagua waziri wa upweke ili kukabiliana na kile ambacho waziri mkuu wa Uingereza amedai ni uhalisia wa masikitiko kuhusu maisha ya sasa yanayoathiri mamilioni ya watu.
Tracey Crouch, ambaye ni naibu waziri wa michezo na wanaharakati atachukua wadhfa huo ikiwa ni miongoni mwa malengo ya kukabiliana na upweke unaowakabili watu wazima, wale waliopoteza wapendwa wao, wale wasio na watu wa kuzungumza nao ama hata kugawana fikra na uzoefu, waziri...

 

1 month ago

BBCSwahili

Uingereza yamteuwa waziri wa upweke

Uingereza imemchagua waziri wa upweke ili kukabiliana na kile ambacho waziri mkuu wa Uingereza amedai ni uhalisia wa masikitiko kuhusu maisha ya sasa yanayoathiri mamilioni ya watu

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani