6 months ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia Urusi 2018: Nyota wa Manchester City Leroy Sane aachwa nje kikosi cha Ujerumani

Winga wa Manchester City Leroy Sane ameachwa nje ya kikosi cha mwisho cha Ujerumani ambacho kitawakilisha mabingwa hao watetezi Kombe la Dunia baadaye mwezi huu.

 

7 months ago

Zanzibar 24

Ndege ya Shirika la ndege la Ujerumani yatua kwadharura Mombasa

Ndege ya Shirika la ndege la Ujerumani, Condor, imelazimika kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Moi, Mombasa, Kenya, baada ya kunguru wawili kuingia katika injini ya ndege hiyo.

Tukio hilo limetokea dakika chache baada ya ndege hiyo kuondoka visiwani Zanzibar, leo Mei 29, saa 3 asubuhi.

,Kwa mujibu wa gazeti dada la Mwananchi, Bussiness Daily, kunguru wawili waliingia kwenye injini ya ndege hiyo.

Polisi wa Viwanja vya Ndege, Pwani, Noah Mviwanda amesema ndege hiyo ilitua salama...

 

7 months ago

Michuzi

WIZARA YA VIWANDA , BIASHARA NA UWEKEZAJI, KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA WAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA UJERUMANI KUWEKEZA NCHINI

Na Ripota Wetu, UjerumaniMKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Geoffrey Mwambe ameongoza msafara wa Tanzania kwenda Ujerumani kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya nchi za Afrika Mashariki na Ujerumani.
Ambapo Kongamano hilo limeanza jana  mjini Berlin na washiriki wa Tanzania ni kutoka taasisi za Serikali na wafanyabiashara wa kutoka sekta binafsi.
Imeelezwa kuwa lengo la kushiriki kongamano hilo ni kuvutia wawekezaji wa Ujerumani wenye mitaji, na teknolojia...

 

7 months ago

BBCSwahili

Picha ya Ozil, Gündogan na Erdogan yazusha hasira kubwa Ujerumani

Wachezaji soka Özil and Gündogan wamejipata matatani baada ya kupiga picha na rais wa Uturuki Erdogan.

 

7 months ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NCHINI UJERUMANI ATEMBELEA TAASISI ZA UN TANZANIA

Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas  akiwasili katika katika Taasisi ya  Umoja wa Mataifa  (UN) ya kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa mataifa  zilizoko eneo la Laki laki jijini Arusha Tanzania,wapili  kulia ni  Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam ,kushoto ni  Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama Sera Attika .Picha na Mahmoud Ahmad Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas  akisaini kitabu cha wageni ali[powasili katika...

 

7 months ago

RFI

Waziri mpya wa mambo ya kigeni wa Ujerumani azuru Tanzania

Waziri mpya wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas, amewasili nchini Tanzania na kuzungumza na makamo wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

 

7 months ago

Michuzi

WAZIRI MAHIGA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO RASMI


Mhe. Waziri Mahiga akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi kati ya Tanzania na Ujerumani. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Zanzibar, Mhe. Issa Haji Gavu, kushoto kwa Mhe. Mahiga ni Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Geoffrey Mwambe akifuatiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Jestas Nyamanga.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mhe. Heiko Maas akiongoza ujumbe wa...

 

7 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Heiko Maas, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Heiko Maas wengine pichani kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

 

7 months ago

Zanzibar 24

Raia wa Ujerumani atekwa nyara Somalia

Mfanyakazi wa Shirika la Kimataifa la msalaba mwekundu raia wa Ujerumani ametekwa nyara katika mji mkuu wa Somalia.

Habari zinasema watu wasiofahamika waliokuwa wamebeba silaha, walimteka ndani ya eneo la ofisi hizo mjini Mogadishu na kumtoa nje kwa kutumia mlango wa nyuma, ili kuweza kuwakwepa walinzi waliokuwa katika lango kubwa la mbele.

Msemaji wa Shirika la Kimataifa la Msalaba mwekundu amesema wana wasiwasi mkubwa na usalama wa mfanya kazi mwenzao.

Amesema muuguzi huyo aliyetekwa...

 

7 months ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI KUWASILI NCHINI LEO


Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Mhe. Heiko Maas anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini tarehe 03 na 04 Mei, 2018. 
Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Ujerumani na kuibua maeneo mapya ya ushirikiano. Waziri huyo atakuja nchini kwa ndege binafsi akiambatana na ujumbe wa watu hamsini (50). 
Hii ni ziara ya kwanza ya Waziri huyo nchini Tanzania na Barani Afrika tangu ateuliwe tarehe 14 Machi, 2018 kwenye wadhifa wa...

 

7 months ago

BBCSwahili

Raia wa Ujerumani atekwa Somalia

Mfanyakazi wa Shirika la Kimataifa la msalaba mwekundu raia wa Ujerumani ametekwa nyara katika mji mkuu wa Somalia.

 

8 months ago

BBCSwahili

Real Madrid yaishangaza Bayern Munich Ujerumani

Real Madrid ilichukua udhibiti wa nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich katika mechi ya awamu ya kwanza kwa kujipatia ushindi katika uwanja wa Allianz Arena.

 

8 months ago

VOASwahili

Polisi Ujerumani yawadhibiti waliopanga kuhujumu marathon

Vyombo vya usalama nchini Ujerumani vimewakamata watu sita Jumapili wakidaiwa kujihusisha na mpango wa kufanya shambulizi linalofungamana na siasa kali wakati wa michezo ya Berlin ya nusu-marathon.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani