10 months ago

CHADEMA Blog

UKAWA WALIVYOFANYA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UBUNGE KINONDONI

 

10 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Ukawa Throws Weight Behind Chadema Candidates


Tanzania: Ukawa Throws Weight Behind Chadema Candidates
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Four opposition parties have agreed to support Chadema candidates in the February 17 Kinondoni and Siha parliamentary by-elections. NCCR-Mageuzi, Chaumma, the National League for Democracy (NLD) and the Civic United Front (CUF) faction ...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Hakuna kitu kinaitwa UKAWA – Humphrey Polepole

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa, Humphrey Polepole amesema kuwa hakuna kitu kinaitwa UKAWA kwani mpango huo ulianzishwa na Chadema ili kuvitumia vyama vingine kisiasa.

Polepole amesema kuwa kama UKAWA ingelikuwepo hadi leo basi isingetokea baadhi ya majimbo Chadema kushindana na CUF ile hali vyama vyote vipo chini ya muavuli wa UKAWA.

kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hivi “Hakuna kitu kinaitwa UKAWA, hii ilikuwa project ya Chadema ikivitumia...

 

10 months ago

Malunde

CCM YAMSAKA MCHAWI WAKE ALIYEIPA KURA UKAWA UCHAGUZI WA MEYA DAR

Wajumbe wa CCM wanaoingia kwenye Baraza la Madiwani la Jiji la Dar es Salaam, wamesema wapo katika hatua za mwisho za kumpata mjumbe mwenzao aliyesababisha wao kushindwa uchaguzi wa naibu meya wa jiji hilo.

Uchaguzi huo uliokuwa na mchuano mkali kutokana na kila upande kuwa na wajumbe kumi na moja, ulifanyika juzi katika ukumbi wa Karimjee na Mussa Kafana wa CUF akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) aliibuka kidedea kwa kupata kura 12 dhidi ya 10 alizopata...

 

10 months ago

MwanaHALISI

UKAWA kuanikwa siri ya ushindi ya Unaibu Meya

MWENYEKITI wa Chadema, Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, atakutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, muda wowote wiki hii. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema, mkutano huo utakaofanyika ndani ya wiki hii katika makao makuu ya Chadema, Kanda ya Pwani, Sumaye ataongoza na baadhi ya viongozi waandamizi ...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Maamuzi ya kususia Uchaguzi: Mbunge Chadema atofautiana na Ukawa

Mbunge wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu ametoa msimamo unaotofautiana na ule uliotolewa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuhusu ushiriki katika uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani.

Viongozi wa Ukawa unaoundwa na Chadema, Chauma, NCCR-Mageuzi, NLD na CUF waliitaka Nec kuahirisha uchaguzi huo katika majimbo ya Singida Kaskazini, Longido, Songea Mjini na ule wa kata sita ili wadau wapate nafasi ya kujadili kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi mdogo kwenye kata...

 

11 months ago

CCM Blog

NEC YAIJIBU UKAWA


Na Mwandishi Maalum
MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kailima Ramadhani alisema chama cha siasa kutangaza kugomea kushiriki uchaguzi hakuwezi kuifanya tume ihahirishe uchaguzi kwani tume haiko kumshawishi mtu au chama kushiriki uchaguzi.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Ramadhani alisema chama kushiriki uchaguzi ni jambo la hiyari na tume ya uchaguzi iko pale kwa ajili  ya kuweka na kutengeza mazingira yatakayofanya vyama vya siasa kushirki uchaguzi.
Alisema iwapo...

 

11 months ago

Michuzi

NEC yawajibu UKAWA

Na Mwandishi MaalumMKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kailima Ramadhani alisema chama cha siasa kutangaza kugomea kushiriki uchaguzi hakuwezi kuifanya tume ihahirishe uchaguzi kwani tume haiko kumshawishi mtu au chama kushiriki uchaguzi.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Ramadhani alisema chama kushiriki uchaguzi ni jambo la hiyari na tume ya uchaguzi iko pale kwa ajili  ya kuweka na kutengeza mazingira yatakayofanya vyama vya siasa kushirki uchaguzi.
Alisema iwapo...

 

11 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Ukawa Calls for Suspension of January By-Elections in Three Constituencies, Six Wards


Tanzania: Ukawa Calls for Suspension of January By-Elections in Three Constituencies, Six Wards
AllAfrica.com
Dar es Salaam — The Constitution Defenders Coalition (Ukawa) has called for suspension of the January by-elections in three constituencies and six wards in the country. The by-elections in Songea Urban, Longido and Singida North and six wards are ...

 

11 months ago

MwanaHALISI

Ukawa watangaza vita na NEC uchaguzi wabunge

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuahirisha uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Januari 13, 2018 vinginevyo havitashiriki, anaandika Faki Sosi. Vyama hivyo ni Chadema, CUF, Chauma, NLD na NCCR-Mageuzi. Akizungumza kwa niaba ya Ukawa leo Jumatatu Desemba 11 ,2017, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema vyama hivyo ...

 

11 months ago

Zanzibar 24

CCM kuelekeza mashambulizi kwenye Majimbo ya Ukawa

Kuelekeza ‘mishale’ kwenye majimbo ya ubunge yanayoshikiliwa na upinzani ni moja ya majukumu waliyopewa washindi wa nafasi za juu katika uongozi wa CCM wa mikoa. Katika chaguzi hizo, waliokuwa wasimamizi, wagombea na baadaye waliofanikiwa kushinda, wamekuwa ‘wakilishana yamini’ ya kuendesha mkakati wa kurudisha majimbo na kata walizoshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015. Lakini wakati CCM ikijipanga, Chadema imekejeli mikakati hiyo ikisema kazi hiyo itakuwa rahisi ikiwa chama hicho...

 

11 months ago

Malunde

CCM WAELEKEZA MISHALE MAJIMBO YA UKAWA
Kuelekeza ‘mishale’ kwenye majimbo ya ubunge yanayoshikiliwa na upinzani ni moja ya majukumu waliyopewa washindi wa nafasi za juu katika uongozi wa CCM wa mikoa.

Katika chaguzi hizo, waliokuwa wasimamizi, wagombea na baadaye waliofanikiwa kushinda, wamekuwa ‘wakilishana yamini’ ya kuendesha mkakati wa kurudisha majimbo na kata walizoshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Lakini wakati CCM ikijipanga, Chadema imekejeli mikakati hiyo ikisema kazi hiyo itakuwa rahisi ikiwa chama hicho kitatekeleza...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani