6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 10.06.2018

Salah hajamsamehe nahodha wa Real Madrid,Sergio Ramos

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamaosi 09.06.2018

Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amesema kuwa anatumai atakuwa katika hali nzuri kuichezea Misri katika mechi yake ya kwanza ya kombe la dunia dhidi ya Uruguay mnamo tarehe 15 mwezi Juni. (Marca)

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 08.06.2018

Aliyekuwa beki wa Real Madrid Fernando Hierro ameorodheshwa katika orodha ya wakufunzi wanaotarajiwa kumrithi aliyekuwa kocha wa Reala Madrid Zinedina Zidane katika klabu hiyo(AS)

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 07.06.2018

Manchester City huenda wakamuwania raia wa Gabon Mario Lemina anayeichezea Southampton au wa Real Madrid Mateo Kovacic, iwapo timu hiyo haitofanikiwa kumsajili Jorginho wa Napoli.

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 06.06.2018

Chelsea inakaribia kumsajili aliyekuwa kocha wa Ufaransa na PSG Laurent Blanc kuchukua mahala pake Antonio Conte. (Express)

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 05.06.2018

Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 26, alikubali kujiunga na Real Madrid kabla ya Zinedine Zidane kujiuzulu kama kocha wa mabingwa hao wa Ulaya. (France Football - in French)

 

6 months ago

VOASwahili

Netanyahu azuru Ulaya akishawishi Iran idhibitiwe zaidi

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameanza ziara yake Jumatatu katika nchi tatu za Ulaya wakati akitafuta kuungwa mkono juu ya msimamo wake wa kutaka kubadilishwa kwa mkataba wa nyuklia wa kimataifa na Iran.

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 04.06.2018

Bayern Munich itakuwa inamuangalia kwa makini kipa wa Everton Jordan Pickford, katika kombe la dunia mwezi huu na Liverpool inaendelea kumwinda mchezaji wa Lyon Nabil Fekir.

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 02.06.2018

Mkufunzi wa Tottenham Mauricio Pochettino anasema kuwa atasikiza ombi la Real Madrid

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya 01.06.2018

Chelsea itajaribu kumshawishi Zidane kuwa mkufunzi wake mpya . (sun)

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka ulaya Alhamisi 31:05:2018: Arnautovic, Lewandowski, Fekir, Cillessen, Jorginho, Adli, Kluivert

Timu zinatoa mamilioni ya pesa kuwanunua wachezaji bora kwa ajili ya msimu ujao

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya 30.05.2018: Manchester United wako tayari kumchukua Gareth Bale

Harakati zinaendelea katika Ligi za Ulaya, na Italia kusasaka wachezaji bora kwa ajili ya kuimarisha timu zao katika msimu ujao

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 29.05.2018: Mahrez anatafutwa na Man City, Mourinho wasiwasi juu ya Gareth Bale

Timu za ulaya zinaendelea kuonyeshana ubabe wa pesa katika kuwasajili wachezaji bora kwa misimu ijayo

 

6 months ago

BBCSwahili

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya

Mlinda lango huyo na familia yake wamekuwa wakipokea vitisho baada ya makosa mawili kutoka kwake kuwasaidia Real Madrid kupata ushindi wa 3-1.

 

6 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 27.05.2018

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 27.05.2018

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani