(Yesterday)

BBC

Andre Ayew: West Ham United reject Swansea City bid for forward

Swansea City have a bid rejected by West Ham United for their former forward Andre Ayew.

 

2 days ago

BBCSwahili

Arsenal, Chelsea na Man United zawika EPL

Arsenal iliicharaza Crystal Palace 4-1 huku Chelsea ikiifunga mdomo Brighton 4-0 katika mechi za ligi ya Uingereza siku ya Jumamosi

 

4 days ago

Malunde

SIMBA SC BALAA...YAITAFUNA SINGIDA UNITED BILA HURUMAKikosi cha klabu ya Simba kimefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono wa mabao manne kwa bila dhidi ya timu ya Singida United mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.

Katika mchezo huo Simba SC imeonekana kuutawala mchezo huo kwa kiasi kikubwa huku wachezaji Shiza Ramadhani Kichuya, Asante Kwasi na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi akitupia mawili na kuhitimisha karamu ya mabao.
Kwa mabao hayo mawili ya mshambuliaji Okwi anafikisha jumla ya magoli tisa na kuongoza katika msimamo...

 

1 week ago

BBCSwahili

Ryan Giggs: Nyota wa Manchester United ateuliwa meneja wa Wales

Mchezaji nyota wa zamani wa Manchester United Ryan Giggs ameteuliwa meneja wa timu ya taifa ya Wales kwa mkataba wa miaka minne.

 

1 week ago

BBCSwahili

Manchester United huenda wakamchukua Alexis Sanchez

Manchester United wana nafasi nzuri sana ya kumnunua Alexis Sanchez kutoka kwa klabu yake ya Arsenal.

 

1 week ago

BBCSwahili

Manchester City kukosa huduma za Alexis Sanchez huku United ikimnyatia

Manchester City huenda ikamkosa Alexis Sanchez ambaye sasa inadaiwa anaelekea Manchester United - badala ya kuilipa Arsenal dau la £35m

 

2 weeks ago

BBC

Romelu Lukaku: Man United striker to take legal advice over voodoo claim

Man United striker Romelu Lukaku denies claims by Everton's owner that he left the club after receiving a "voodoo message".

 

2 weeks ago

Malunde

Balaa!! MASHABIKI WA STAND UNITED WAFUNGA MITAA SHINYANGA MJINI JEURI YA JAMBO KUKABIDHI BASI LA MILIONI 200...SHUHUDIA PICHA HAPA


Mashabiki wa timu ya Stand United ‘Chama la Wana’ wamefunga mitaa mbalimbali mjini Shinyanga takribani saa nne wakifurahia kukabidhiwa basi la kisasa lenye thamani ya shilingi milioni 200 kusaidia timu hiyo lililotolewa na Kampuni ya vinywaji baridi ya Jambo Food Products inayomilikiwa na Salum Hamis maarufu ‘Jambo’.

Basi hilo aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili T841 DHY limekabidhiwa leo Jumanne Januari 9,2018,katika kiwanda cha Jambo Food Products na kushuhudiwa na mashabiki wa...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Droo Kombe la FA: Manchester United wapewa Yeovil Town

Klabu ya Yeovil Town inayocheza ligi ya daraja la tatu, ambayo ndiyo klabu ya ngazi ya chini zaidi iliyosalia katika Kombe la FA msimu huu, imepangwa kukutana na mabingwa mara 12 wa kombe hilo Manchester United.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Taarifa kwamba nitaondoka Manchester United ni 'takataka'

Jose Mourinho amesema uvumi kwamba anapanga kuondoka Manchester United mwisho wa msimu ni taarifa zisizo na maana au takataka.

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Zimamoto yatepeta mbele ya Singida United Mapinduzi CUP

Timu ya Singida United, leo hii imefanikiwa kuianza vizuri michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyoanza kutimua vumbi Desemba 29 mwaka jana mjini Unguja baada ya kuitandika Zimamoto FC. Mchezo ulizokutanisha timu hizo umefanyika katika Uwanja wa Amaan ambapo Singida United imeibuka na ushindi wa mabao 3-2. Mabao ya Singida United ambayo inashiriki kwa mara ya kwanza michuano huyo yamefungwa na Deus Kaseke katika dakika ya saba, Dany Usengimana dakika ya 21 pamoja na Kigi Makasi dakika ya...

 

4 weeks ago

Michuzi

RC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI

MKUU wa Mkoa wa Pwani Inginia Everist Ndikilo leo ametoa hamasa kwa kuichangia  timu ya Kiluvya United  kiasi cha  Sh. Mil.2.2 ikiwa kwa ajili ya kuweka kambi  kuelekea mechi yao na Ruvu Shooting  itakayopigwa Desemba 30 mwaka huu katika uwanja wa Filbert Bayi uliopo Mkuza  Kibaha Mkoani Pwani ambapo timu hizo zitakutana katika kuwania kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao.
Injinia Ndikilo amewataka wachezaji wa timu ya Kiluvya United kucheza kufa na kupona ili iweze kupanda daraja na kuleta sifa...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Man United yalazimika kupigania sare ya 2-2 dhidi ya Burnley

Manchester United imelazimika kupigania sare ya 2-2 dhidi ya Burnley baada ya kutoka nyuma nyumbani.

 

1 month ago

BBCSwahili

''Wachezaji wa Bristol hawakujuwa wacheke au walie kwa kuilaza Man United ''

Wachezaji wa Bristol City hawakujua iwapo walifaa kucheka , kulia ama kukumbatiana baada ya kuilaza Manchester United katika robo fainali ya kombe la Carabao

 

1 month ago

BBCSwahili

Bristol City yaitupa nje ya michuano Man United

Klabu ya Bristol City, imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Carabao kwa kuwaondosha mabingwa watetezi wa michuano hiyo klabu ya Manchester United

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani