(Yesterday)

BBCSwahili

Moise Katumbi: Kiongozi wa upinzani DR Congo arudi nyumbani Lubumbashi kutoka uhamishoni

Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidmeokrasi ya Congo Moise Katumbi amelakiwa na maelfu ya wafuasi Lubumbashi baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka mitatu

 

5 days ago

VOASwahili

Jeshi, upinzani Sudan yaunda kamati kuchunguza mashambulizi dhidi ya waandamanaji

Kamati ya kijeshi inayosimamia serikali ya mpito nchini Sudan, imeunda kamati ya pamoja na muungano wa upinzani unaopigania uhuru na mabadiliko, kuchunguza mashambulizi yanayowalenga waandamanaji.

 

6 days ago

VOASwahili

Rais wa Sudan Kusini anasema yupo tayari kufanya kazi na upinzani

Rais Salva Kiir alisema atatumia rasilimali zote zilizo kwenye mhimili wake kuleta amani na uthabiti na alitoa wito kwa vyama vyote kufanya kazi pamoja kurejesha amani na kuruhusu watu kutembea huru kwenye maeneo ya Sudan Kusini

 

6 days ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan: Jeshi na upinzani waaafikiana juu ya kipindi cha mpito cha miaka 3

Baraza la kijeshi la utawala na muungano wa upinzani wametangaza hatua ya kuukabidhi utawala kamili kwa raia nchini Sudan

 

1 week ago

CCM Blog

MWANASIASA WA UPINZANI AITAKA ICC IMLIPE FIDIA YA EURO MILIONI 68

Mwanasiasa wa Upinzani aitaka ICC imlipe fidia ya Euro Milioni 68 Muungwana Blog 3  Friday, May 10, 2019 Mwanasiasa wa Upinzani nchini DR Congo, Jean-Pierre Bemba ameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kumlipa zaidi ya euro milioni 68 kama fidia kutokana na kufungwa gerezani bila kuwa na hatia .
Makamu huyo wa Rais wa zamani wa DR Congo alituhumiwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita uliotekelezwa nchini humo Kati mwaka 2002 na 2003 lakini aliachiliwa huru mwezi...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Mfahamu kiongozi wa upinzani Afrika Kusini anayeandamwa na kivuli cha Mandela

Chama cha DA anachokiongoza Maimane kilibezwa na Mandela kuwa ni nyumba ya mabwana wa kizungu na vibaraka wao weusi.”

 

3 weeks ago

Malunde

Rais Magufuli Akataa Ombi la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Kuhusu Vyama vya Upinzani

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Albert Chalamila amesema,haoni sababu ya kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini badala yake kuwe na chama kimoja tu kitakachoitwa 'Magufuli Ruling Party'. 
Chalamila ameyasema hayo leo Jumanne, Aprili 30, 2019, wakati akitoa salamu za mkoa wake kwa Rais Magufuli kwenye mkutano wake na wananchi wa Wilaya ya Kyela.
“Mheshimiwa Rais umefanya mengi sana mema kwa nchi yetu, umetoa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo, hapa Kyela umetupatia vitambulisho 10,000, wananchi 8,850...

 

3 weeks ago

MwanaHALISI

Upinzani walia na sekta ya elimu

KAMBI Rasmi ya Upinzania Bungeni imelalamikia juhudi za serikali katika kuboresha elimu kwamba, bado ni finyu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kambi hiyo imeleeza kuwa, mitaala ya elimu inalalamikiwa kutokana na kubadilishwa mara kwa mara bila kushirikisha wadau. Suzan Lyimo, Waziri Kivuli wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknologia akiwasilisha hotuba ya kambi rasm ya ...

 

3 weeks ago

RFI

Upinzani waandamwa katika ukanda wa Afrika Mashariki

Wakati huu mataifa kadhaa ya ukanda wa Afrika Mashariki yakijiandaa kwa uchaguzi mkuu, wadadisi wa mambo wanaona kuwa huenda katika chaguzi zijazo vyama vya upinzani vitakosa ushawishi na nguvu na hata baadhi yao kufa.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Uchaguzi Benin: Vyama vya upinzani vyafungiwa kwa kutokufikia sheria mapya ya uchaguzi

Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamekosoa hatua hatua ya upinzani kufungiwa uchaguzi huo.

 

4 weeks ago

Malunde

Spika Ndugai Aruhusu hotuba za Kambi rasmi za Upinzani Bungeni Zisomwe Kama Zilivyo

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameruhusu kuanza kusomwa kwa hotuba za Kambi rasmi za Upinzani Bungeni  bila kuhaririwa kufuatia kambi hizo kugoma  kusoma hotuba zao mara mbili mfululizo  kwa kile kilichoelezwa waandaji kuwa wamekuwa wakitumia maneno ambayo yanaonekana kuwa na ukakasi. Maamuzi hayo ya Spika yamekuja ikiwa ni siku chache baada ya wasemaji wa Kambi hizo  kugoma kusoma hotuba zao mara mbili mfululilo katika Wizara za Habari pamoja na Mambo ya Ndani kupitia Wabunge, Joseph Mbilinyi...

 

4 weeks ago

RFI

Upinzani wauangana kumuangusha Museveni katika uchaguzi wa 2021

Vyama vitatu vya upinzani nchini Uganda vimetia saini mkataba wa ushirikiano kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka ujao, vikiwa na lengo la kumpata mgombea mmoja kupambana na rais Yoweri Museveni.

 

4 weeks ago

RFI

Kauli ya Kagame kuhusu mauaji ya mwanasisa wa upinzani yazua sintofahamu

Kauli ya rais wa Rwanda Paul Kagame kuhusu mauaji ya mwanasiasa wa upinzani Sth Sendashonga imezua hali ya sintofahamu nchini humo. Hivi karibuni rais wa Rwanda alizungumzia kuhusu mauaji ya mwanasiasa huyo ambaye alimshtumu kwamba alikuwa na lengo la kuipindua serikali yake.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Mbunge wa upinzani uganda Bobi Wine kutoa taarifa ya maandamano leo

Baada ya kukamatwa na kuachiliwa jana, mbunge wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi au Bobi Wine leo atawasilisha barua kwa polisi kuwafahamisha kuhusu maandamano ya amani

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Sakata la CAG: Upinzani Tanzania wamtaka Spika Ndugai ajiuzulu

Vyama vinavyomtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu ni, Chadema, ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi, NLD, DP, UPDP, CHAUMMA na CCK

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani