4 months ago

VOASwahili

Elizabeth Warren atangaza azma ya urais Marekani 2020

Warren alisema "hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio maana leo ninazindua kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais”.

 

4 months ago

CCM Blog

WAPINZANI MADAGASCAR WATAKA KURA ZA UCHAGUZI WA URAIS ZIHESABIWE TENA

Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tenaWafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo wakitaka kuhesabiwa tena kura za uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni nchini humo.Maandamano hayo yamefanyika siku mbili baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Madagascar kumtangaza Andry Rajoelina kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa rais. Waandamanaji hao wamesema kura za uchaguzi wa rais zinapaswa kuhesabiwa tena na kubaini nani mshindi halisi wa uchaguzi huo. Maelfu ya...

 

4 months ago

BBCSwahili

Marie-Josee Ifoku: Mama wa watoto nane anaegombea urais DRC

Bi Ifoku, mwenye miaka 53 si mgeni katika siasa za Congo.

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa DR Congo: Huduma ya Intaneti yafungwa baada ya uchaguzi wa urais

Upinzani unasema kuwa serikali iliagiza hatua hiyo ili kuzuia kutangazwa kwa ushindi wa mgombea wao.

 

10 months ago

RFI

Pierre Nkurunziza : Sintowania muhula mwengine katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2020

Wakati wa sherehe rasmi ya utiaji sahihi kwenye Katiba mpya ya Burundi, Rais Pierre Nkurunziza ametangaza kwamba hatowania muhula mwengine katika uchaguzi wa mwaka 2020.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Msanii atangaza nia ya kugombea Urais

Msanii katika Tasnia ya filamu kutoka Nollywood Nigeria, Yul Edochie ametangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Urais katika Uchaguzi mkuu ujao nchini humo utakao fanyika mwaka 2019.

Edochie ambaye alishindwa katika uchaguzi wa gavana wa jimbo la Anambra miezi mitano iliyopita, ametangaza nia hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Edochie ameandika:

Leo natangaza nia ya kugombea nafasi ya urais katika taifa kubwa zaidi duniani la Nigeria. Ni nchi iliyobarikiwa iliyodumazwa kwa miongo kadhaa...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani