2 days ago

MillardAyo

VideoMPYA: Hii ni kutoka kwa Nikki Mbishi “Nimekumiss”

Leo February 16,2018 nazidi kukuletea video mpya na hii ni kutoka kwa msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi ambaye anakualika kuitazama video yake mpya ya “Nimekumiss” ALICHOANDIKA DIAMOND KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUACHWA NA ZARI

 

2 days ago

MillardAyo

VideoMPYA: D’banj anakusogezea hii ya kuitazama “Shoulda”

Hii ni nyingine ya kuipokea kutoka kwa msanii D’banj kutokea Nigeria akiwa amekuja na video ya wimbo wake mpya wa “Shoulda” ili kuburudika na wimbo huo fanya kubonyeza PLAY hapa chini. TBT:Mimi Mars kwenye Tv akiwa na miaka 11 akifanya tangazo

 

5 days ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Saida Karoli kwenye “Akatambala” ft Hanson Bariluno

February 12,2018 msanii mkongwe katika game ya muziki nchini Saida Karoli anakuletea video ya wimbo wake mpya “Akatambala” akiwa ndani kamshirikisha Hanson Bariluno kutokea Uganda.

 

5 days ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Beka Flavour anakualika kuipokea “Kibenten”

Tukielekea kwenye msimu wa Valentine msanii wa Bongo Fleva Beka Flavour anakuletea hii video mpya ya kuitazama “Kibenten”. Usisahau kuweka comments yako baada ya kuitazama

 

6 days ago

Bongo Movies

VideoMpya: Christian Bella yupo na Malaika Band kwenye ‘Rudi’

February 12, 2018 Karibu uweze kuitazama Video Mpya ya Christian Bella yupo pamoja na Malaika Bandwimbo unaitwa ‘Rudi’, itazame kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

 

 

6 days ago

Bongo Movies

VideoMpya: ‘Asali’ ya Chemical amemshirikisha Beka Flavour

Image result for chemical ft beka

February 11, 2018 nakusogezea Video Mpya ya Chemical akiwa amemshirikisha Beka Flavour wimbo unaitwa ‘Asali’. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama. Pia usisahau kuweka comment yako ili Chemical akipita aweze soma maoni yako juu ya Video yake.

 

1 week ago

Bongo Movies

VideoMpya: Ina Dakika 4 “Delailah” ya Q Chief karibu uitazame

 

Mkongwe wa Bongofleva ametuletea  Video Mpya inayokwenda kwa jina la ‘Delailah’, Director wa Video ni Kilonzo. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.

Baada ya kumaliza kuitazama usisahau kuweka Comment yako ili Q Chief akipitia aweze kuisoma umeipokeaje video hii.

 

1 week ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Hii ni nyingine kutoka kwa Msaga Sumu “Kitu Gani”

muziki wa Kisingeli Msaga Sumu anakualika kuitazama video mpya ya wimbo wake wa “Kitu Gani” akiwa kasimama mwenyewe ili kuburudika na wimbo huo bonyeza PLAY.

 

2 weeks ago

Bongo Movies

VideoMpya: Nimeipata hii ya Fally Ipupa amemshirikisha R. Kelly ‘Nidja’ ina DK 4:39

Related image

Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Marekani R. Kelly katika wimbo wake ‘Nidja

Karibu uitazame hapa

 

2 weeks ago

Bongo Movies

VideoMPYA: “Tuheshimiane” kutoka kwa Mr. Nice

Baaada ya muda na kimya kirefu hatimae leo msanii Mr. Nice katuletea ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Tuheshimiane”, chini ya uongozi wa Pizzo Mtena ikiwa imetengenezwa na I Studio.

Bofya hapa chini kuitazama

 

3 weeks ago

Bongo Movies

VIDEOMPYA: Lulu Diva-amezoea

Msaani Lulu diva kaachia video mpya,inaitwa “amezoea”.

BOFYA PLAY KUITAZAMA

 

3 weeks ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Nyimbo ya kwanza ya MBOSSO baada ya kutambulishwa WCB

Baada ya kimya cha muda mrefu cha muimbaji wa Bongofleva Mbosso aliyekuwa member wa Yamoto Band, Mbosso leo ametambulishwa rasmi kuwa msanii wa sita kusainiwa na WCB baada ya Harmonize, Rayvanny, Rich Mavoko, Queen Darleen na Lava Lava , baada ya utambulisho tu Mbosso ameachia video yake mpya inaitwa ‘Watakubali’

Image result for MBOSSO watakubali

 

3 weeks ago

Bongo Movies

VideoMpya : Natamani kutoka Mimi Mars

VideoMpya : Natamani kutoka Mimi Mars

Kwa mara nyingine tena Mimi Mars kaachia single/ngoma yake ya tatu inayojulikana kwa jina la “Sitamani” iliyotayarishwa na maproducers  Ammy and S2kizzy kutoka Switch Records. Young Lunya ndiye aliyeandika nyimbo na video yake imetayarishwa jijini Dar es Salaam, Tanzania chini ya Mkurugenzi Joowzey.

Bofya Play kuitazama video yenyewe hapa chini

 

1 month ago

Bongo Movies

VideoMPYA:Kwa mara nyingine tena Lava Lava kwenye “Utatulia”

Msanii Lava Lava kutoka record label ya WCB amezidi kuonyesha kipaji chake kwa kutoa nyimbo mpya kila kukicha na right now anakualika kuitazama hii mpya nyingine “Utatulia”

 

1 month ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Country Boy na Moni wametuletea hii “Mwaaah”

Karibu Bongoflevani…. karibu kuitazama nyingine mpya kutoka kwenye umoja wa MoCo unaoundwa na Moni Centrozone na Country Boy….

CHEKI FULL VIDEO: HARUSI YA SHILOLE

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani