2 days ago

Michuzi

Francis Damiano Damas ashinda medali ya shaba mashindano ya vijana ya Jumuiya ya Madola nchini Bahamas

Kijana Francis Damiano Damas (17)  ametwaa medaili ya shaba katika mbio za mita 3000  kwenye  mashindano ya sita  vijana kutoka  nchi za Jumuiya ya Madola yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini  Nassau nchini Bahamas. Picha ya juu inamuonesha Kijana Francis Damiano Damas akiwa na wenzake Collins (kushoto) Kiongozi wa msafara Mwinga Mwanjala (katikati), kulia ni Celina Itatiro (14) na wa pili kulia ni Regina (15)


 

2 days ago

Michuzi

Vijana wa Kitanzania Washindana Michezo ya Jumuiya ya Madola

Vijana wa Kitanzania wenye umri wa kuanzia miaka 14 hadi 17 wameshiriki katika michezo ya Mbio Fupi (800m) na ndefu (3000m) na pia kwenye kuogelea katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola (The Commonwealth of The Bahamas) yaliyoanza Julai 13-23, 2017 huko Bahamas, ambapo waliweza kutika hatua ya fainali na kufanya vizuri. Kijana wetu mmoja mwenye umri wa miaka 17 anayeitwa Francis Damiano Damas alishinda nafasi ya tatu kwenye fainali za mita 3000 na kuchukua medali ya shaba. Vijana hawa na...

 

3 days ago

Mwananchi

Wanawake, vijana Simanjiro wapewa mkopo wa Sh 30 milioni

Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, kwa kutumia mapato yake ya ndani imetoa Sh30 milioni kwa ajili ya kuvijengea uwezo vikundi vya ujasiriamali vya wanawake na vijana wa eneo hilo.

 

3 days ago

CCM Blog

UVCCM YATANGAZA VITA DHIDI YA HALMASHAURI ZOTE NCHINI ZISIZOTOA MKOPO WA ASILIMIA 5 KWA VIJANA

 
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika ukumbi Halmashauri ya Wilaya ya IlemelaKaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua mradi wa vijana wa umwagiliaji Mtaa wa Imalang'ombe wakati wa ziara ake ya kikazi Katika Manispaa ya Ilemela Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Manispa ya Ilemela pamoja na Wageni toka nchini Sweeden wakimsikiliza...

 

4 days ago

Michuzi

JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo amezitaka halmashauri kuwawezesha vijana na kinamama kwa vitendo kwa kuyapa makundi hayo baadhi ya kazi zilizo chini ya halmashauri ambazo wanao uwezo wa kuzifanya ili wajiongezee kipato.
Jafo ameyasema hayo leo katika hafla ya kukabidhi hundi ya Sh. milioni 70 iliyotolewa na Manispaa ya Dodoma kwa vikundi vya ujasiliamali vya vijana na kinamama ndani ya manispaa hiyo.
Ameeleza kwamba haipendezi kwa halmashauri yeyote kuwanyima fursa...

 

4 days ago

Mwananchi

JPM: Siku hizi wazee wapo ‘shapu’ kuliko vijana

Rais John Magufuli amesema wanaowapa mimba wanafunzi hawana budi kufungwa miaka 30 ili kukomesha suala hilo na kuwapa fursa watoto wasome kwani hao ndiyo viongozi wa kesho.

 

6 days ago

MwanaHALISI

Vijana 40 wakumbukwa kiuchumi Morogoro

MAKUNDI mawili ya vijana wapatao 40 kutoka wilaya ya Kilosa mkoani hapa wamepatiwa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 10 milioni ili kujiinua kiuchumi, anaandika Christina Haule. Akikabidhi msaada huo Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Vijana na Wanawake Mafiga mkoani Morogoro (Mwayodeo), Venance Mlali amesema lengo la shirika hilo ni kuwasaidia ...

 

6 days ago

MwanaHALISI

Vijana wa Burundi ”wazamia” nchini Marekani

VIJANA sita wakiwamo wavulana wanne na wasichana wawili kutoka  Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti yaliyokuwa yakifanyika  jijini Washington DC, wametoweka nchini Marekani na haijulikani walipo hadi sasa,  anaandika Catherine Kayombo. Waliotoweka nchini Marekani ni  Don Ingabire, Kevin Sambukiza,Nice Munezero, Audry Mwamikazi, Richard Irakoze na Aristide Irambona. Waandaaji wa mashindano hayo ya kwanza duniani ...

 

7 days ago

CCM Blog

SHAKA AWATAKA VIJANA KUJIUNGA NA UJASIRIAMALI KIGOMA

 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kibondo Salome lihungilanywa akimkaribisha Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijna wa CCM, (UVCCM), Shaka Hamdu shaka wakati wa kusain kitabu cha Mahudhurio ya wageni wilayani kibondo.
 KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijna wa CCM, (UVCCM), Shaka Hamdu shaka (wa pili kulia), akiwa katika mradi wa ufugaji samaki kwenye Kijiji cha Ming'inya wilayani Kibondo mkao wa Kigoma, juzi. Kuhoto ni Mbunge wa Viti Malumu, Zainb Katimba (CCM). Picha zote na Fahadi...

 

7 days ago

Zanzibar 24

SMZ yatangaza scholarship kwa vijana walio faulu vizuri kidato cha sita

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi kumi za ufadhili wa masomo kwa njia ya scholarship zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa vijana waliofaulu vizuri zaidi mitihani yao ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 na kufanikiwa kupata ufaulu wa daraja la kwanza katika masomo ya sayansi.

Masharti ya kuomba nafasi hizo ni:
Muombaji awe ni Mzanzibari Mkaazi aliyehitimu kidato cha sita katika skuli za Sekondari za Zanzibar.
Awe amefaulu vizuri masomo ya sayansi kwa...

 

7 days ago

Michuzi

AMSHA AMSHA YA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZA SOKO LA EAC YASHIKA KASI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi (The Foundation for Civil Society- FCS), Bw. Francis Kiwanga akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa katika Kongamano la siku moja la kuwahamasisha vijana kuchangamkia fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza tarehe 19 Julai 2017.  Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mhe. Mary Onesmo Tesha ambaye alikuwa Mgeni Rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa...

 

7 days ago

RFI

Vijana 6 kutoka Burundi watoweka Marekani

Taarifa kutoka vyombo vya usalama nchini Marekani zinabaini kwamba vijana sita kutoka Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti nchini Marekani wametoweka, na haijulikani walipo, taarifa ambayo haijathibitishwa na serikali ya Burundi.

 

7 days ago

BBCSwahili

Vijana 6 wa Burundi watoweka katika mashindano Marekani

Vijana sita wa Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya robotics nchini Marekani wameripotiwa kutoweka, polisi wanasema.

 

1 week ago

Michuzi

VIJANA WA ZAMANI COLUMBUS, OHIO WAKIJIFUA TAYARI KWA OLD SCHOOL REUNION BASKETBALL BONANZA

Image may contain: 8 people, people smiling, people standing and outdoorSiku ya kwanza walivyojitokeza kujifua hii ilikua siku ya Jumanne July 18, 2017 Columbus, Ohio.Image may contain: 9 people, people smiling, people standing, shoes, basketball court and outdoorMazoezi yakiendelea siku ya pili Jumatano July 19, 2017 Cloumbus, Ohio

 

1 week ago

Michuzi

BALOZI SEIF AKITAKA CHAMA CHA SKAUTI NCHINI KUWAELIMISHA VIJANA ILI WAJIKOMBOE KIUCHUMI

Na Othman Khamis Ame
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema wakati umefika kwa Chama cha Skauti Nchini kuongeza nguvu za kuwaelimisha Vijana wenzao hasa walioko Vijijini ili wajikomboe kupenda kujishughulisha na kazi au miradi ya ujasiri amali.Alisema Vijana wengi wamekuwa na tabia ya kujihusisha na vigenge vya kihuni mitaani vinavyopelekea kujiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya wizi pamoja na vitendo vya kudhalilisha watoto wanawake na watu wenye mahitaji...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani