1 day ago

Malunde

MADEREVA WA MALORI YA MAFUTA WAPONGEZA WAKALA WA VIPIMO 'WMA" KUWAFUNGULIA KITUO CHA KUPIMA MAFUTA MISUGUSUGU


Na Emmanuel MbatiloMadereva wa Malori ya Mafuta (Trucker) wameishukuru taasisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kwa kuwafungulia kituo cha kupima mafuta kilichopo Misugusugu mkoani Pwani kwa kuwa kimewasaidia kupunguza kero ya kusubiri kupima kwa muda mrefu.

Wamesema uanzishwaji wa kituo hicho umeleta tija kwa sababu kimepunguza sana msongamano wa maroli wakati wa kupima mafuta
Wamesema awali walikuwa wakipima katika kituo cha Ilala ambacho eneo lake ni finyu sana hivyo ilikuwa vigumu sana...

 

4 days ago

Malunde

MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) BANDARINI AELEZEA UMUHIMU WA KUPIMA MAFUTA KATIKA HATUA MBALIMBALI


Bw. Peter Chuwa Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Bandarini akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za (WMA) zilizopo kwenye Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) Barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam leo wakati akifafanua masuala mbalimbali yanayohusu vipimo vya mafuta kwenye Meli Kwenye Matanki ya kuhifadhia na kwenye maroli yanayosafirisha nishati hiyo hapa nchini na nchi mbalimbali. 
Bw. Peter Chuwa amesema kuna umuhimu mkubwa sana kupima mafuta katika hatua yoyote ile iwe kwenye...

 

4 days ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAENDELEA KUHAKIKI VIPIMO KUELEKEA MAADHIMISHO YA VIPIMO DUNIANI

  Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
   Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye...

 

5 days ago

Malunde

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAHAKIKI PAMPU KITUO CHA MAFUTA TOTAL MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu  katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo  ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa  kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye kipimo maalum...

 

6 days ago

Malunde

MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) ILALA WAKAGUA MIZANI ZA KUPIMIA VYAKULA SOKO LA KISUTU


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.
.............................................................................
Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa WMA  wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

7 days ago

Michuzi

MAOFISA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAFANYA UKAGUZI WA MIZANI KATIKA SOKO LA KISUTU LEO


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.

.............................................................................

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa Wakala huo wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Namna mpya ya kupima saratani kwa kutumia vipimo vya mkojo

Wanawake wanaweza kuchukua sampuli ya mkojo nyumbani kwao kujipima kama wako hatarini kupata saratani ya uzazi, utafiti umebaininsha.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Mwanamke mahututi alipwa £1.8m kutopewa vipimo sahihi vya saratani

wanamke mahututi amezawadiwa £1.8m kwa madhara aliyoyapata kwa kupewa tathmini isiyo sahihi ya kipimo cha saratani ya mfuko wa uzazi

 

11 months ago

Michuzi

Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege

Na Agness Francis,Globu ya Jamii.Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) wametia saini na wizara ya afya kutekeleza mpango wa kuzuia magonjwa ya kuambukizwa kupitia viwanja vya ndege. Mpango huo ni endelevu ulioanzishwa na shirika la ndege la kimataifa la usafiri wa anga duniani.
Ambapo kama wanachama wa shirika hilo ambao ni wadhibiti wa mamlaka ya afya nchini wanajukumu la kuchukua mpango huo na kuuandaa kwa kushirikiana na wizara ya afya pamoja na wadau mbalimbali wizara nyingine...

 

12 months ago

BBCSwahili

Fred kufanyiwa vipimo kukamilisha usajili Man United

Kiungo wa kimataifa wa Brazil, Frederico Santos maarufu kama Fred anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Manchester United wiki hii.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani