7 months ago

Michuzi

ELIMU BORA KUIWEZESHA TANZANIA KUPIGA HATUA YA UCHUMI WA VIWANDA

Benny Mwaipaja, WFM, Kondoa
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amesema kuwa uwekezaji katika elimu bora kwa vijana wa kike na wa kiume kutaiwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati wa viwanda hata kabla ya mwaka 2025.
Dokta Kijaji ameyasema hayo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, wakati wa uzinduzi wa kambi inayowahusisha wanafunzi 260 wa kidato cha pili na cha nne kutoka shule 23 za Sekondari wilayani humo wanaopatiwa mafunzo ya kina ili kujiandaa na mitihani yao.
Kambi hiyo...

 

8 months ago

Michuzi

MNYETI AAGIZA MANYARA IKAMILISHE VIWANDA 100


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameziagiza Halmashauri za Wilaya za Mkoa huo kuhakikisha zinatekeleza agizo la uanzishwaji wa viwanda 100 na hadi mwezi Septemba mwaka huu viwe vimekamilika. 
Mnyeti akizungumza na watumishi na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati, alisema kila halmashauri ya mkoa huo wenye halmashauri saba, inapaswa iwe na viwanda 15. Mnyeti alisema serikali ilitoa agizo la kila mkoa uanzishe viwanda 100 hivyo na mkoa wa Manyara nao unapaswa kuhakikisha...

 

8 months ago

Michuzi

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI KATIKA AGENDA YA VIWANDA JIJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma.Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi  Prof Joseph Semboja,Nlanla Gumede kutoka Afrika Kusini na Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji  wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa. 

 Afisa...

 

8 months ago

Michuzi

NCHI ZA AFRIKA ZATAKIWA KUFANYA MAPINDUZI YA UCHUMI KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA NA MIUNDOMBINU

Magavana wa nchi za Afrika wametakiwa kuwa na utayari wa kuzisaidia nchi zao kutatua changamoto za kiuchumi na kuhamasisha maendeleo endelevu ili kuendana na mapinduzi makubwa yanayotokea kote Duniani kwa kuhamasisha ukuaji wa viwanda. Rai hiyo imetolewa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina, wakati wa Mkutano wa 6 wa jukwaa la ushirikiano kati ya Jamhuri ya Korea Kusini na Nchi za Afrika uliolenga kujadili namna bora ya kuchochea ukuaji wa sekta ya viwanda...

 

8 months ago

Michuzi

AZANIA BANK KUWASAIDIA WANAWAKE KATIKA MAPINDUZI YA UCHUMI WA VIWANDA

BENKI ya Azania imesema imedhamiria kuwasaidia wanawake katika kipindi hiki cha mapinduzi ya uchumi wa viwanda kwa kuwapatia mikopo mikubwa, ya kati na midogo kwa riba naafuu.

Akizungumza jijini Dar es salaam katika kongamano la kuwainua wanawake kuelekea katika Mapinduzi ya nne ya viwanda barani Afrika 'Africa Reconnected Forum' Mkurugenzi Mtendaji wa Azania ambao ndio wadhamini wakuu wa kongamano hilo Charles Itembe alisema wanawake ni kundi muhimu katika kufikia uchumi wa...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Orodha ya majina ya walioitwa kwenye Usaili Wizara Ya Biashara Viwanda Na Masoko Na Kamisheni Ya Utalii Anzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko na Kamisheni ya Utalii Zanzibar kwenda kuangalia majina yao kwa utaratibu ufuatao hapo chini kuanzia siku ya Alhamis ya tarehe

17 MEI 2018

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao, usaili utafanyika kama ifuatavyo:-

a)Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko:

Orodha wa majina utakuwepo Skuli ya Haile Selassie na Usaili utafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 19 Mei, 2018...

 

8 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA JWTZ NA VIWANDA VYA MAJI NA USHONAJI VYA SUMA JKT MGULANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu wakifunua pazia kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa kituo cha uwekezaji cha JWTZ kupitia SUMA-JKT kilichopo Mgulani jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2018. Kituo kicho kina viwanda vya ushonaji na maji ya kunywa pamoja na Shule ya Sekondari ya Jitegemee...

 

8 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA JWTZ NA VIWANDA VYA MAJI NA USHONAJI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo  na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu alipowasili kuzindua kituo cha uwekezaji cha JWTZ kupitia SUMA-JKT kilichopo Mgulani jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2018. Kituo kicho kina viwanda vya ushonaji na maji ya kunywa pamoja na Shule ya Sekondari ya Jitegemee na Ukumbi wa...

 

8 months ago

Michuzi

WIZARA YA VIWANDA , BIASHARA NA UWEKEZAJI, KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA WAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA UJERUMANI KUWEKEZA NCHINI

Na Ripota Wetu, UjerumaniMKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Geoffrey Mwambe ameongoza msafara wa Tanzania kwenda Ujerumani kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya nchi za Afrika Mashariki na Ujerumani.
Ambapo Kongamano hilo limeanza jana  mjini Berlin na washiriki wa Tanzania ni kutoka taasisi za Serikali na wafanyabiashara wa kutoka sekta binafsi.
Imeelezwa kuwa lengo la kushiriki kongamano hilo ni kuvutia wawekezaji wa Ujerumani wenye mitaji, na teknolojia...

 

8 months ago

Michuzi

BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU

Na Stella Kalinga, SimiyuBalozi wa Indonesia hapa nchini Prof.Dkt. Ratlan Pardede amewaahidi viongozi wa Mkoa wa Simiyu kuwa atawaalika wawekezaji wa Viwanda vya nguo, viwanda vya kuchakata ngozi  na viwanda vya kutengeneza  mbolea kutoka hini Indonesia kuja kuwekeza Mkoani Simiyu.
Mhe. Balozi Pardede ameyasema hayo Mei 15, alipokuwa katika ziara yake Mkoani Simiyu mara baada ya kutembelea kiwanda cha Kuchambua pamba cha Kasoli Alliance kilichopo Wilayani Bariadi na Kiwanda cha kuchakata...

 

9 months ago

Michuzi

WATUMISHI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WATAKIWA KUUNGA MKONO MAENDELEO YA VIWANDA KWA VITENDO

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka  Watumishi wa Wizara hiyo kuongeza ukusanyaji wa mapato na kusimamia nidhamu ya matumizi ya Fedha za Umma ili  kuijengea Serikali uwezo wa kuwahudumia wananchi na kuifanya nchi iwe na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.
Dkt. Mpango ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo uliowakutanisha wajumbe zaidi ya 190 kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Amesema kuwa  Wizara  ya Fedha na...

 

9 months ago

Michuzi

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Uchumi wa Viwanda


Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wametakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya tano ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Kauli hiyo ilitolewa leo jijini Dar Es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Waziri Mahiga alieleza kuwa Wizara inatakiwa...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani