1 week ago

RFI

Kenya yapokea wakimbizi zaidi ya 5,000 kutoka Ethiopia

Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya linasema raia wa Ethiopia wapatao 5,000 wamekimbilia nchini humo kuomba hifadhi tangu tarehe 10 mwezi Machi.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Burundi waikimbia DRC na kuingia Rwanda

Wakimbizi zaidi ya elfu 2500 wa Burundi waliokuwa katika kambi ya Kamanyola Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo tangu Jumatano wamekimbilia nchini Rwanda.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Wakimbizi wa Kirundi waelekea Rwanda kutoka kambi ya Kamanyola DRC

Wakimbizi wa kirundi walokata kujiandikisha kupitia mitambo mipya ya elektroniki ya Biometric ya  UNHCR  na kupoteza hadhi zao za ukimbizi DRC waliamua kuelekea Rwanda siku ya Jumatano March 7 2018.

 

2 weeks ago

RFI

Wakimbizi wa Burundi waliokuwa wanaishi DRC, wakimbilia Rwanda

Wakimbizi kutoka Burundi wapatao 2,500 waliokuwa wanaishi katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wamekimbilia nchini Rwanda kwa hofu ya kurudishwa kwa nguvu nchini mwao.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Wakimbizi kutoka Burundi waliokuepo DRC wahamishiwa Rwanda

Wakimbizi zaidi ya 2000 walioingia nchini DRC tangu mwaka 2015

 

3 weeks ago

VOASwahili

Wakimbizi wa cameroon wapo hatarini kukabiliwa na njaa

Naibu Mkurugenzi wa idara ya dharura ya Umoja wa Mataifa, Ursula Mueller alisema kwamba  maelfu ya watu wanaotafuta hifadhi huko Cameroon baada ya kukimbia ghasia  nchini mwao watakabiliwa na njaa ikiwa msaada wa fedha hautapatikana.  Mueller alisema wafadhili hadi hivi sasa wametoa asilimia tano ya dola milioni 305 zinazohitajika kwa Cameroon mwaka huu. Matatizo ya wakimbizi huko Cameroon yanaongezeka kutokana na mapigano katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya kati-CAR. Wakati huo...

 

3 weeks ago

VOASwahili

Uganda yapambana na kipindupindu katika kambi za wakimbizi

Wizara ya Afya nchini Uganda na wafadhili wamefungua vituo vya matibabu katika kambi mbili za wakimbizi, baada ya kuthibitisha kuwepo mlipuko wa kipindupindu kati ya watu ambao wanakimbia vita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

 

4 weeks ago

VOASwahili

Wakimbizi watano wauwawa nchini Rwanda

Raia wa Kongo watano wameuwawa Ijumaa wakati jeshi la polisi la Rwanda na jeshi la wananchi walipotumia risasi za moto kuwatawanya wakimbizi ambao walikuwa wameweka kambi nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa zinazoshughulikia masuala ya wakimbizi huko magharibi ya Rwanda.

 

4 weeks ago

Zanzibar 24

Wakimbizi 5 wamefariki kwenye ghasia dhidi ya Polisi

Polisi inasema watu 5 wameuawa miongoni mwa wakimbizi wa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo waliotawanywa jana huku 27 wakijeruhiwa wakiwemo polisi 7 .

Msemaji wa polisi Theos Badege amesema polisi ililazimika kutumia nguvu ili kuvunja kile kilichokuwa kimeonekana kama kambi mpya ya wakimbizi kwenye makao ya shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi na kwamba walizusha ghasia dhidi ya polisi kwa kurushia mawe, vyuma na chupa.

Kulingana na badege tayari wakimbizi 15 wamekamatwa na wanahojiwa na...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Wakimbizi 5 wa DR Congo wafariki katika makabiliano na polisi Rwanda

Polisi inasema watu 5 wameuawa miongoni mwa wakimbizi wa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo waliotawanywa jana huku 27 wakijeruhiwa wakiwemo polisi 7 .

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa DRC nchini Rwanda waapa kurudi nyumbani baada ya kupunguziwa mlo

Wakimbizi kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo waliotoka katika kambi ya Kiziba Rwanda wameendeelea kukita kambi katika ofisi za UNHCR wakishinikiza kurudishwa kwao

 

4 weeks ago

RFI

UN yahitaji dola Milioni 270 kusaidiwa wakimbizi kutoka Burundi na DRC

Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia wakimbizi UNHCR, inasema inahitaji Dola za Marekani Milioni 270 kuwasaidia, wakimbizi kutoka Burundi na DRC wanaoishi nchini Tanzania

 

4 weeks ago

RFI

Wakimbizi wa DRC wakabiliana na askari wa Rwanda

Wakimbizi wa DRC walio katika kambi ya kiziba wilayani karongi magharibi mwa Rwanda wamepambana na jeshi la Rwanda RDF na wakimbizi wawili walipelekwa hospitali baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa.

 

1 month ago

Michuzi

Tanzania yawa Mwenyeji ya Mkutano wa Baraza la Wakimbizi Duniani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga ametoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa kuisaidia Tanzania kutokana na mchango mkubwa wa kuwahudumia wakimbizi ambao imekuwa ikiutoa kabla na baada ya uhuru, licha ya uchumi mdogo ilio nao. Waziri Mahiga ametoa wito huo leo Jijini Dar Es Salaam katika kikao cha Baraza la Wakimbizi Duniani (World Refugees Council-WRF) kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia jana kwenye Hoteli ya Hyatt Regecy, Kilimanjaro.
Waziri...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani