3 weeks ago

RFI

Mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki waahirishwa

Wakati kukiripotiwa joto la mvutano na mgogoro ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa mara nyingine mkutano wa wakuu wa nchi uliokuwa umapengwa kufanyika juma lijalo jijini Arusha, Tanzania umeahirishwa.

 

7 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia AcksonSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu kutoka Benki kuu ya Tanzania...

 

8 months ago

Michuzi

MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI

Afisa Uchunguzi Mwandamizi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ofisi ya Kanda Dodoma, Bibi Jasmin Awadh akiwasilisha Mada ya Mgongano wa Maslahi kwa Waheshimiwa Madiwani naWakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakati wa Mafunzo ya Maadili kwa Viongozi wa Umma wanawake yalifanyika ukumbi wa VETA Dodoma juni 5, 2018.Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakifuatilia kwa makini Mada ya Sheria ya Maadili ya...

 

8 months ago

BBCSwahili

Rushwa: Wakuu wa ununuzi wa bidhaa serikalini Kenya wapewa likizo ya lazima

Serikali ya Kenya imewaagiza wakuu wote wa vitengo vya ununuzi wa bidhaa na huduma katika wizara na mashirika ya umma kwenda likizo ya lazima ya mwezi mmoja.

 

8 months ago

VOASwahili

Kenya yataka wakuu wa manunuzi wapishe uchunguzi

Serikali ya Kenya imewataka wakuu wa vitengo vya manunuzi na uhasibu katika wizara idara, wakala na mashirika yote wakae kando ili kupisha uchunguzi mpya kufanyika.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Maafisa wakuu wa Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa nchini Kenya wakamatwa kwa Ufisadi

Mkuu wa Shirika la Vijana wa Huduma kwa Taifa nchini Kenya (NYS) Richard Ndubai, pamoja na  wakuu, wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za ufisadi.

Hii inafuatia agizo la Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Umma aliyeagiza kushtakiwa kwa washukiwa wote waliotajwa katika kashfa ya Shilingi bilioni 9.

Maagizo ya Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma Noordin Haji yametolewa baada ya kupokea taarifa kuhusu kampuni 10 na pia zaidi ya watu 40 binafsi waliotajwa katika sakata hiyo NYS scandal kutoka kwa Mkurugenzi wa...

 

8 months ago

BBCSwahili

Maafisa wakuu wa Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa nchini Kenya amekamatwa kwa Ufisadi

Mkuu wa Shirika la Vijana wa Huduma kwa Taifa nchini Kenya (NYS) amekamatwa na polisi kwa tuhuma za ufisadi.

 

8 months ago

Michuzi

WATENDAJI WAKUU NA WAJUMBE WA BODI WAPIGWA MSASA NA OFISI YA MSAJILI HAZINA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Amina Shabani akizungumza na watendaji wakuu na wajumbe wa bodi katika mafunzo ya siku moja kuhusu uwajibikaji na utendaji katika taasisi na mashirika ya Umma yaliyoendeshwa na ofisi ya Msajili wa Hazina.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
WATENDAJI wakuu na wajumbe wa bodi za taasisi na mashirika ya umma wamepatiwa mafunzo ya siku moja kuhusu uwajibikaji na utendaji katika taasisi na mashirika wanayofanyia kazi yaliyoendeshwa Ofisi ya Msajili wa...

 

8 months ago

Michuzi

WAKUU WA MIKOA KANDA YA ZIWA VICTORIA WAKOSOA VIKALI TABIA YA WANASIASA KUIPAKA MATOPE DHAMIRA NJEMA YA SERIKALI KUPAMBANA NA UVUVU HARAMU

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akihutubia  hadhara ya kikosi kazi cha watu 260 alichokiunda kwa ajili ya operesheni Sangara 2018 na Wakuu wa Mikoa mitano inayozunguka Ziwa vicktoria  wakati wa mkutano wa kufanya tathimini ya Operesheni  hiyo. Picha na John Mapepele
NA JOHN MAPEPELE, MWANZA
WAKUU wa mikoa inayozunguka Ziwa Victoria wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya wanasiasa kuipaka matope dhamira njema ya Serikali ya kupambana na uvuvi haramu ulioshamiri katika ziwa hilo na...

 

8 months ago

Michuzi

RC KIGOMA AHIMIZA WAKUU WA WILAYA, WATENDAJI KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUJIKINGA NA EBOLA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,
MKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Emanuel Maganga, amewataka Wakuu wa Wilaya, Watendaji na watushi wa idara ya afya kuhakikisha wanatoa elimu ya kutosha kwa wananchi kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama Ebola.
Pia pamoja na kuweka uangalizi katika mipaka kuzuia ugonjwa huo usiingie katika mkoa wa kigoma. 
Maagizo hayo aliyatoa jana katika kikao cha kujadili na kupanga mikakati kuhusu njia bora ya kuzuia uingiaji wa ugonjwa wa ebola kutokana na ugonjwa huo...

 

8 months ago

Malunde

RC KIGOMA AKABIDHI VYOO VYA KISASA, ATOA TAHADHARI KWA WAKUU WA WILAYA


Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia jenerali Emmanuel Maganga, amewataka wakuu wa wilaya, watendaji na watumishi wa idara ya afya kuhakikisha wanatoa elimu ya kutosha kwa wananchi kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama Ebola pamoja na kuweka uangalizi katika mipaka kuzuia ugonjwa huo usiingie katika mkoa wa Kigoma. 
Maagizo hayo aliyatoa leo katika kikao cha kujadili na kupanga mikakati juu ya njia bora ya kuzuia kuingia kwa ugonjwa wa ebola kutokana na ugonjwa huo kuripotiwa kuwepo katika nchi...

 

9 months ago

Michuzi

DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa bajeti ya Wizara hiyo, Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini humo leo. Picha...

 

9 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO CHA MAWAZIRI, WAKUU WA TAASISI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifungua Kikao cha Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma Aprili 29, 2018.Picha na Ofisi ya Waziri Mku

 

9 months ago

Ykileo

WAKUU WA TEHAMA WAKUTANA KENYAKWA UFUPI: Wakuu wa vitengo vya TEHAMA wamekutana kujadili changamoto na namna nzuri ya kuzitatua changamoto hizo katika vikao vilivyo kamilika Nchini Kenya.

-------------------------------


Watunga sera na sheria mbali mbali wamekua wakifanya maamuzi ya TEHAMA bila kushirikisha wadau wa TEHAMA – Hii imekua moja ya changamoto inayo leta mkinzano wa utendaji wenye manufaa kwa wana TEHAMA maeneo mengi barani Afrika.


Mjadala ulioangazia umuhimu wa udhibiti na uangalizi wa watendaji katika sekta ya...

 

9 months ago

Michuzi

Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Magufuli Mkutano wa Wakuu wa Serikali Jumuiya ya Madola (CHOGM) London

Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameondoka nchini jana kwenda London, Uingereza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Aprili, mwaka huu akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.Mkutano huo ambao Kaulimbiu yake ni “Kuelekea Mustakabali wa Pamoja” utafanyika chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu wa...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani