10 months ago

Zanzibar 24

Jamii imetakiwa kuwachunguza walimu wa Madrasa kabla ya kuwakabidhi watoto

Jamii imetakiwa kuwachunguza walimu wa Madrasa kabla ya kuwakabidhi watoto kuwafundisha ili kuwakinga na Vitendo viovu vilivyo enea katika jamii ya Zanzibar.

Hayo yamesemwa na Naibu Kadhi wa Zanzibar Hassan Othman Ngwali katika hafla ya Mashindano ya Qur an yaliyofanyika Masjid Muhamad Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharib Unguja yaliyo andaliwa na Direct Aid.

Moja ya washiriki katika Mashindano hayo ndugu Omar Ali Ahmad
yaliyoandaliwa na Direct Aid ya juzuu 30.

Shekhe Othman Ngwali amewataka...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Walimu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji mashuleni kuchukuliwa hatua – Waziri Ndalichako

Serikali kupitia Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako imesema haiwezi kuvumilia vitendo vya udhalilishaji ambavyo vimefanywa na mwalimu wa shule St. Florence iliyopo jijini Dar es salaam.

Ndalichako ameyasema hayo wakati akikabidhi zawadi kwa shule na wanafunzi wa darasa la saba, kidato cha nne na sita jijini Dodoma baada ya kufanya vizuri kwenye matokeo ya mwisho ya mitihani yao

“Nitumie nafasi hii kukemea vikali vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na baadhi...

 

11 months ago

BBCSwahili

Walimu wa Moi Girls wafanyiwa uchunguzi wa DNA Kenya katika kesi ya ubakaji wa mwanafunzi

Polisi Kenya wamewaagiza walimu wa kiume, walinzi na jamaa wa kiume wa walimu wanaoishi ndani ya Shule ya Moi Girls kufanyiwa uchunguzi wa DNA kubaini kesi ya ubakaji wa mwanafunzi katika shule hiyo.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Walimu wanaojitolea Zanzibar watakiwa kuomba Ajira Utumishi

Serikali  ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka walimu wanaojitolea katika Skuli mbalimbali za Serikali Unguja na Pemba kuomba nafasi  za ajira katika tume ya Utumishi  Zanzibar.

Akijibu hoja zilizoulizwa na wajumbe wa Baraza la wawakilishi wakati walipokuwa  wakichangia  hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar juu ya uwepo wa walimu wanajitolea  Waziri wa Wizara hiyo Riziki Pembe Juma amesema serikali inafahamu kuwa wapo walimu zaidi ya mia tano wanaojitolea na...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Baraza la Wawakilishi waitaka Wizara ya Elimu kulipa Madeni ya Walimu

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  ambapo wameitaka Wizara hiyo kulipa Malimbikizo ya Madeni wanayodai walimu kwa kipindi kirefu.

Wakichangia hutuba ya Bajeti hiyo katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi Chukwani nje kidogo ya mji wa Zanzibar Wajumbe hao wamesema bado kuna wimbi kubwa la walimu wakiwemo walostaafu hawajalipwa mafao yao mpaka sasa.

Muwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan amesema kumekuwa na malalamiko makubwa kwa...

 

11 months ago

Michuzi

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa vifaa vya  ujenzi vyenye thamani ya Sh.milioni 400 kutoka kiwanda cha MMI Steel ltd kwaajili ya kampeni ya ujenzi wa ofisi 402 za walimu Dar es salaam.
Vifaa alivyokabidhiwa ni Mabati 15,000 yenye thamani ya Sh.million 360, nondo tani 22 zenye thamani ya Sh.million 40 ambapo kiwanda hicho kimemuahidi tena kumpatia vifaa vingine ikiwemo rangi, nondo na mabati. 
Akipokea vifaa hivyo leo jijini Dar es Salaam, Makonda ameshukuru kiwanda cha...

 

11 months ago

Malunde

DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA MASUALA YA JINSIA KWA WALIMU ILIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro amefungua warsha maalumu kwa walimu wa shule za msingi na sekondari zilizopo katika manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya jinsia.

Warsha hiyo iliyoandaliwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Shinyanga kwa ufadhili wa benki ya CRDB tawi la Shinyanga imefanyika leo Jumatatu Mei 14,2018 katika chuo hicho mjini Shinyanga kwa kukutanisha walimu 100.
Warsha hiyo ni sehemu ya Mpango Maalumu uliobuniwa na...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Waziri Mwakyembe awataka walimu kutumia Umisseta na Umitashumta kuibua vipaji kwa Wanafunzi

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka walimu wa michezo nchini kutumia michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA kuibua vipaji kupitia hazina ya vijana wadogo waliopo katika shule za msingi na sekondari wenye uwezo mkubwa katika michezo mbalimbali.

Rai hiyo ameitoa jana Jijini Dar es Salaam wakati wa kikao na wadau wa sekta ya michezo kujadili namna ambavyo michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA itakavyoendesha mwaka huu ambapo michezo hiyo inatarajiwa...

 

12 months ago

Michuzi

LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU

*Apiga marufuku mwanafunzi kuchapwa viboko shuleni, atoa mbinu za ufundishajiNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiKATIBU wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania Winfrida Rutahinfwa ametoa  maagizo kwa Walimu wakuu na Wakuu wa shule nchini kutoogopa kuwachukulia walimu ambao watabainika wanakiuka nidhamu ya utumishi hata kama walimu hao watakuwa ni wake wa viongozi wa ngazi za juu Serikali.
Pia amewaagiza walimu kubuni mbinu za kufundisha wanafunzi ili wafaulu kwenye masomo huku kwa walimu wa Mkoa wa...

 

12 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AWAJIBU WANAOKOSOA MPANGO WA WALIMU WA SEKONDARI KUPELEKWA SHULE YA MSINGI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewajibu watanzania ambao wanakosoa mpango wa serikali wa kuwapeleka walimu wa sekondari kufundisha shule ya msingi.
Rais Magufuli amesema kuwa kitendo hicho ni cha kawaida kwani hakiadhiri mishahara yao bali kinawapa muda mwingi walimu hao kufanya kazi nyingine za ziada.
“Wakati wa Nyerere walikuwa wanachukuliwa walimu wa UPE kwenda kufundisha shule za msingi. Sasa tunachukua wenye digrii. 
"Kikubwa kinachoangaliwa ni...

 

12 months ago

Malunde

AJIRA 10,140 ZA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI KUTOLEWA JUNI

Serikali imesema Juni 30, 2018 inatarajia kutoa ajira 10,140 za walimu wa shule za msingi nchini.
Hayo yamesemwa leo Mei 2, 2018 Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Ludewa (CCM), Deogratius Ngalawa.
Katika swali lake, Ngalawa alitaka kupata majibu ya Serikali kuhusu upungufu wa walimu 500 wa shule za msingi na jinsi litavyoshughulikiwa.
Akijibu swali hilo, Kakunda amesema; "Tunaendelea na mchakato kwa kushirikiana na...

 

12 months ago

Malunde

MWANAFUNZI WA DARASA LA NNE APIGWA NA WALIMU HADI KULAZWA HOSPITALINB- Picha haihusiani na habari hapa chiniWaalimu watatu wa Shule ya Msingi Kimamba B iliyopo Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wanadaiwa kumpiga mwanafunzi wa darasa la 4 mwenye umri wa miaka 10 na kumsababishia kulazwa katika taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mama wa mtoto huyo, Bi. Phily Muhebi mkazi wa Kilosa amesema kuwa mwanaye alijeruhiwa vibaya kwa kipigo kutoka kwa waalimu hao Machi 19, mwaka huu kwa kosa aliloelezwa na wanafunzi...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani