3 days ago

RFI

Mamia ya wanajeshi watoto waachiwa huru Sudan Kusini

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya watoto UNICEF, limethibitisha kuachiwa huru kwa watoto zaidi ya 200 waliokuwa wamesajiliwa kama wanajeshi katika makundi ya wapiganaji nchini Sudan Kusini.

 

4 days ago

BBCSwahili

Wanajeshi watoto waachiwa Sudani Kusini

Zaidi ya watoto 200 ambao wameajiriwa kwenye makundi yenye silaha nchini Sudani kusini wameachiwa kama sehemu ya mpango wa shirika la Umoja wa mataifa linalowashughulikia watoto UNICEF.

 

4 days ago

Michuzi

WANAJESHI JWTZ WATUNUKIWA NISHANI ZA UMOJA WA MATAIFA SUDAN

​Na Luteni Selemani SemunyuAskari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Kikosi cha 11 wametakiwa kujivunia mafanikio yaliyopatikana kufuatia  utumishi wao uliotukuka kwa kipindi cha Mwaka Mmoja waliokuwa wakishiriki Ulinzi wa amani Jimboni Darfur nchini Sudan na kutunukiwa Nishani ya umoja wa Mataifa.
Hayo yalibainishwa na mkuu wa majeshi ya Ulinzi ya umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa UNAMID   jimboni Darfur Luteni Jenerali Leonard Ngondi wakati wa sherehe za kuwatunuku Nishani Askari...

 

1 week ago

Malunde

WANAJESHI WALISHWA DAMU NA NYAMA YA NYOKA


ASKARI wa Jeshi la Majini la Marekani, wamekuwa wakipewa mafunzo ya uuaji nyoka aina ya Cobra na wakufunzi wa majini kutoka nchini Thailand, kabla ya kutakiwa kunywa damu ya nyoka hao, nyama yao na hata kula nyama ya kuku.

Wakufunzi hao pia waliwaonyesha askari hao mende wanaoweza kuwala wawapo msituni, lakini pia jinsi ya kuwawezesha kuwa salama.
Zoezi hilo la uuaji nyoka hao lililopewa jina la Cobra Gold, ni miongoni mwa mipango ya jeshi hilo la Marekani ambalo limejikuta likiwavuta watu...

 

1 week ago

Malunde

HAYA HAPA MAJINA YA WANAJESHI WOTE WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS MAGUFULI

Rais John Magufuli leo amewapandisha vyeo maofisa wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi (JWTZ) akiwamo Meja Jenerali Peter Massao aliyepandishwa kuwa Luteni Jenerali.
Taarifa iliyosomwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo leo Aprili 12, Ikulu Jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa Meja Jenerali Massao ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Maaofisa Wanafunzi wa Jeshi Monduli (TMA) na kwa uteuzi huo, sasa JWTZ itakuwa na maluteni jenerali wawili.
Wengine waliopandishwa vyeo na Rais...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Miili ya wanajeshi wa Uganda yarejeshwa

Waliouawa katika shambulizi la kundi la Al shabaab siku ya Jumapili

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Al Shabab washambulia kambi ya AU wadai kuwaua wanajeshi 59

Wanamgambo hao walilipua mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya magari mawili nje ya kambi ya jeshi kwenye mji wa Bulamarer

 

1 month ago

RFI

Wanajeshi wa kulinda amani waongezewa mwaka mmoja nchini Sudan Kusini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio linaloruhusu jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa kuendelea kuwa  nchini Sudan Kusini kwa muda wa mwaka mmoja zaidi.

 

2 months ago

BBCSwahili

Wanajeshi wanaojifunza jinsi ya kunywa damu ya nyoka na kisha kuwala

Wanajeshi wanaojifunza jinsi ya kunywa damu ya nyoka na kisha kuwala

 

2 months ago

VOASwahili

Wanajeshi madaktari wa EAC wanajadili changamoto za afya zilizopo

Wanajeshi madaktari kutoka wizara za ulinzi kwenye mataifa ya jumuiya ya Afrika mashariki wamekutana mjini Kigali nchini Rwanda kujadili changamoto za afya na huduma ya matibabu kwenye majeshi ya nchi zote sita za jumuiya ya Afrika mashariki Wengi wa wajumbe hao ni maafisa wa jeshi wenye taaluma ya udaktari wanaohudumu kwenye majeshi ya nchi wanazotoka. Brigedia Generali Katsigazi Tumusiime mwakilishi mwandamizi wa kijeshi kwenye makao makuu ya jumuiya Afrika mashariki akiiwakilisha...

 

2 months ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Israel washambuliwa kwa bomu karibu na mpaka na Gaza

Wanajeshi wa Israel wamejeruhiwa wawili kati yao vibaya wakati wa mlipuko karibu na mpaka wa Israel na Ukanda wa Gaza

 

2 months ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa DR Congo wauliwa na wenzao wa Rwanda

Wanajeshi watano wa DR Congo wameuawa na wanajeshi wa Rwanda kulingana na jeshi la nchi hiyo

 

2 months ago

VOASwahili

Wanajeshi wa kigeni wanazidi kuwasili Sudan Kusini kulinda usalama

Idadi kubwa ya wanajeshi  wa nchi za nje wanaendelea kuwasili  katika mji mkuu wa Sudan Kusini ikiwa ni  sehemu ya kikosi cha ulinzi cha kikanda RFP   kilichopendekezwa na baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lakini mchambuzi mmoja wa Sudan Kusini anasema walinda amani wa ziada hawatabadilisha lolote kwenye nchi hiyo yenye mgogoro unaosababisha vifo kama wanajeshi  hawatapelekwa nje ya mji wa Juba. Wanyarwanda 270 ambao waliwasili siku ya Jumamosi kuungana na kiasi cha wanajeshi 600...

 

2 months ago

VOASwahili

Afrika kusini inachunguza ripoti ya wanajeshi wake waliwatesa raia DRC

Jeshi la Afrika kusini limeanzisha uchunguzi kuhusiana na ripoti kwamba wanajeshi wake 1,000 katika kikosi cha kulinda  amani cha Umoja wa Mataifa huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC waliwashambulia na kuwatesa wanavijiji. Taarifa ya jeshi ilisema hatua za adhabu zitachukuliwa ikiwa ripoti ambazo zinasemekana zimewasilishwa na raia ni za ukweli. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric alisema Jumatatu kwamba Ofisi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa huko...

 

3 months ago

BBCSwahili

Uturuki inasema wanajeshi wake wa nchi kavu wameingia Syria

Wanamgambo wa YPG wanaoungwa mkono na Marekani wamekana taarifa hizo wakieleza kuwa shambulio la Uturuki lilizimwa.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani