11 months ago

Bongo Movies

Wastara Aelezea Mpasuko Kwenye Fuvu la Kichwa

Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amefunguka na kudai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi hapo awali bila ya yeye kujitambua.

Wastara ameeleza hayo mara alipowasili katika ardhi ya Tanzania akiwa anatokea nchini India ambako alienda kufanyiwa matibabu ya mguu pamoja na mgongo uliyokuwa unamsumbua kwa kipindi kirefu lakini baada ya kufika huko alikutwa na matatizo mengine...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Wastara aeleza kilichojiri India aibuka na tatizo jipya

Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi hapo awali bila ya yeye kujitambua.

Wastara ameeleza hayo mara alipowasili katika ardhi ya Tanzania akiwa anatokea nchini India ambako alienda kufanyiwa matibabu ya mguu pamoja na mgongo uliyokuwa unamsumbua kwa kipindi kirefu lakini baada ya kufika huko alikutwa na matatizo mengine tofauti na...

 

11 months ago

Malunde

WASTARA AMEREJEA KUTOKA KWENYE MATIBABU INDIA

Msanii wa filamu, Wastara Juma amerejea nchini leo akitokea Mumbay nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu ya mgongo na mguu na kuwashukuru Watanzania kwa namna walivyojitokeza kumchangia fedha za matibabu, ingawa hazikutosha na kulazimika kuuza baadhi ya mali zake.
Akizungumza leo Machi 1, 2018 nyumbani kwake Tabata ikiwa ni saa chache baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, amesema baada ya kufika hospitali alikutwa na matatizo mengine zaidi ya ...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Afya ya Wastara yaleta matumaini makubwa nakurejea nchini ndani ya wiki hii

Afya ya Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeanza kutengamaa na hivi karibuni anatarajiwa kurejea Bongo.

Afisa Habari, Uenezi, Mahusiano na Umma wa Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni, Masoud Kaftany alisema kuwa, tayari Wastara ameshafanyiwa oparesheni ya mguu na sasa anafanya mazoezi ya hapa na pale kisha ndani ya wiki hii atarejea nchini.

“Wastara anaendelea vizuri kabisa kwa sasa anachofanyiwa ni mazoezi...

 

11 months ago

Bongo Movies

Taarifa kutoka Hospitali aliyopo Wastara kuhusu Matibabu yake


February 10, 2018 imetolewa taarifa na Masoud Kaftany ambaye ni Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano katika chama cha Waigizaji Kinondoni, kuhusu Muigizaji Wastara Juma taarifa hiyo inasema Wastara ameshafanyiwa Vipimo (Operation ) na anaendelea kupatiwa Matibabu.

Muigizaji Wastara ambaye yupo katika Hospitali ya Saifee (Mumbai ) Nchini India anaendelea vizuri na siku hiyo ya jana alitembelewa hospitalini na Muigizaji wa Bongomovie REGINA KAOLE ambaye yupo Mumbai nchini India kwa shughuli zake...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Wastara aangusha kilio kikubwa huku akiaga kwenda kutibiwa

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wastara ameondoka nchini kuelekea India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake ulioanza kumsumbua mwishoni mwa mwaka jana huku akiwashukuru watanazania na Vyombo vya Habari kwa kuwa pamoja naye kipindi alivyokuwa akihitaji msaada wa fedha.

Wastara akiongea na waandishi wa Habari mapema Jumapili Februari 4, 2018 katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, amesema “nina washukuru sana vyombo vya habari wote kwa moyo wa upendo walionesha kwa...

 

12 months ago

Michuzi

Msanii Wastara awatoa hofu watanzania kuhusu matibabu yake


Na: Genofeva Matemu – WHUSM 
Msanii wa filamu nchini Bibi. Wastara Issa ameendelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuonyesha moyo wa kuguswa na tatizo linalomsumbua na kuweza kumpatia kiwango cha shilingi milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya mguu pamoja na mgongo. 
Bibi. Wastara ametoa shukrani hizo jana  Jijini Dar es Salaam alipokua akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa awali ilikua aondoke nchini tarehe 28 mwezi januari mwaka...

 

12 months ago

Michuzi

Msanii Wastara awashukuru watanzania kwa kuchangia matibabu yake

Na Genofeva Matemu – WHUSM

Msanii wa filamu nchini Bibi. Wastara Issa ameendelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuonyesha moyo wa kuguswa na tatizo linalomsumbua na kuweza kumpatia kiwango cha shilingi milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya mguu pamoja na mgongo.Bibi. Wastara ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam alipokua akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa awali ilikua aondoke nchini tarehe 28 mwezi januari mwaka huu kwenda...

 

12 months ago

Bongo Movies

Sikutaka Hela ya Mtu – Wastara

Msanii wa filamu wa bongo Wastara Juma ambaye hivi karibuni amepewa mchango wa milioni 15 na familia ya Rais Magufuli, amewajibu watu wanamtuhumu kuwa tapeli kwani hana ugonjwa unaomsumbua.

Akizungumza na mwandishi wa EATV Wastara amesema kabla ya kuomba michango alijitahidi sana kujitafutia mwenyewe hiyo pesa kwani hakutaka pesa ya mtu mwengine ije imsaidie, kwani alijiona anakuwa mzigo kwa jamii.

Kufuatia kauli hiyo Wastara amesema alishajaribu kujiingiza kwenye biashara ambazo amedai...

 

12 months ago

Bongo Movies

Rais Magufuli Amchangia Wastara Sh15milioni

Rais John Magufuli na mkewe Janeth, leo wametoa msaada wa Sh15milioni kwa msanii wa filamu nchini, Wastara Juma anayetakiwa kwenda nchini India kwa matibabu.

Msanii huyo anahitaji Sh37milioni zitakazogharamia matibabu yake ya mguu na mgongo na alitakiwa kwenda India tangu mwaka jana, lakini imeshindikana kutokana na kukosa fedha.

Kiasi hicho cha fedha kilichotolewa na Rais kimekabidhiwa kwa msanii huyo leo Januari 26, 2018 jijini Dar es Salaam na katibu wa Rais, Ngusa Samike.

Mwanzoni mwa...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli achangia matibabu ya Wastara

Ngusa Dismas Samike ambaye ni Katibu Mkuu wa Rais, amemwasilishia muigizaji Wastara Juma mchango wa Sh. milioni 15 kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu.

Wastara alikuwa anahitaji kiasi cha shilingi milioni 37 kwaajili ya kuendelea kupata matibabu ya mguu wake India ambapo Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt Harison Mwakyembe alitoa kiasi cha Sh. Milioni 1

The post Rais Magufuli achangia...

 

12 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA  Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilli kumkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba...

 

12 months ago

Michuzi

JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara  kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na mwigizaji Wastara pamoja na SHILAWADU baada ya kumkabidhi msaada wa 15m/- kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. Pia...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Waziri Mwakyembe aahidi kiasi hiki kusaidia hali ya Wastara

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe hapo jana Januari 21, 2018 aliambatana na Katibu wa Bodi ya Filamu  kwenda kumtembelea msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma nyumbani kwake na kumjulia hali.

Kitendo cha Mh,Waziri kufika nyumbani kwa muigizaji huyo kimekuja baada ya msanii huyo kuomba msaada kutokana na afya yake kuwa mbaya baada ya kupata ajali ya pikipiki miaka minne iliyopita na kumsababisha kukatwa mguu na kuwekewa mguu wa bandia ambao unahitaji...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani