7 days ago

Bongo Movies

Taarifa kutoka Hospitali aliyopo Wastara kuhusu Matibabu yake


February 10, 2018 imetolewa taarifa na Masoud Kaftany ambaye ni Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano katika chama cha Waigizaji Kinondoni, kuhusu Muigizaji Wastara Juma taarifa hiyo inasema Wastara ameshafanyiwa Vipimo (Operation ) na anaendelea kupatiwa Matibabu.

Muigizaji Wastara ambaye yupo katika Hospitali ya Saifee (Mumbai ) Nchini India anaendelea vizuri na siku hiyo ya jana alitembelewa hospitalini na Muigizaji wa Bongomovie REGINA KAOLE ambaye yupo Mumbai nchini India kwa shughuli zake...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Wastara aangusha kilio kikubwa huku akiaga kwenda kutibiwa

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wastara ameondoka nchini kuelekea India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake ulioanza kumsumbua mwishoni mwa mwaka jana huku akiwashukuru watanazania na Vyombo vya Habari kwa kuwa pamoja naye kipindi alivyokuwa akihitaji msaada wa fedha.

Wastara akiongea na waandishi wa Habari mapema Jumapili Februari 4, 2018 katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, amesema “nina washukuru sana vyombo vya habari wote kwa moyo wa upendo walionesha kwa...

 

2 weeks ago

Michuzi

Msanii Wastara awatoa hofu watanzania kuhusu matibabu yake


Na: Genofeva Matemu – WHUSM 
Msanii wa filamu nchini Bibi. Wastara Issa ameendelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuonyesha moyo wa kuguswa na tatizo linalomsumbua na kuweza kumpatia kiwango cha shilingi milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya mguu pamoja na mgongo. 
Bibi. Wastara ametoa shukrani hizo jana  Jijini Dar es Salaam alipokua akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa awali ilikua aondoke nchini tarehe 28 mwezi januari mwaka...

 

2 weeks ago

Michuzi

Msanii Wastara awashukuru watanzania kwa kuchangia matibabu yake

Na Genofeva Matemu – WHUSM

Msanii wa filamu nchini Bibi. Wastara Issa ameendelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa kuonyesha moyo wa kuguswa na tatizo linalomsumbua na kuweza kumpatia kiwango cha shilingi milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya mguu pamoja na mgongo.Bibi. Wastara ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam alipokua akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa awali ilikua aondoke nchini tarehe 28 mwezi januari mwaka huu kwenda...

 

3 weeks ago

Bongo Movies

Sikutaka Hela ya Mtu – Wastara

Msanii wa filamu wa bongo Wastara Juma ambaye hivi karibuni amepewa mchango wa milioni 15 na familia ya Rais Magufuli, amewajibu watu wanamtuhumu kuwa tapeli kwani hana ugonjwa unaomsumbua.

Akizungumza na mwandishi wa EATV Wastara amesema kabla ya kuomba michango alijitahidi sana kujitafutia mwenyewe hiyo pesa kwani hakutaka pesa ya mtu mwengine ije imsaidie, kwani alijiona anakuwa mzigo kwa jamii.

Kufuatia kauli hiyo Wastara amesema alishajaribu kujiingiza kwenye biashara ambazo amedai...

 

3 weeks ago

Bongo Movies

Rais Magufuli Amchangia Wastara Sh15milioni

Rais John Magufuli na mkewe Janeth, leo wametoa msaada wa Sh15milioni kwa msanii wa filamu nchini, Wastara Juma anayetakiwa kwenda nchini India kwa matibabu.

Msanii huyo anahitaji Sh37milioni zitakazogharamia matibabu yake ya mguu na mgongo na alitakiwa kwenda India tangu mwaka jana, lakini imeshindikana kutokana na kukosa fedha.

Kiasi hicho cha fedha kilichotolewa na Rais kimekabidhiwa kwa msanii huyo leo Januari 26, 2018 jijini Dar es Salaam na katibu wa Rais, Ngusa Samike.

Mwanzoni mwa...

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli achangia matibabu ya Wastara

Ngusa Dismas Samike ambaye ni Katibu Mkuu wa Rais, amemwasilishia muigizaji Wastara Juma mchango wa Sh. milioni 15 kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu.

Wastara alikuwa anahitaji kiasi cha shilingi milioni 37 kwaajili ya kuendelea kupata matibabu ya mguu wake India ambapo Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt Harison Mwakyembe alitoa kiasi cha Sh. Milioni 1

The post Rais Magufuli achangia...

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WACHANGIA SH. MILIONI 15 KWA AJILI YA MATIBABU YA MWIGIZAJI WASTARA JUMA  Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilli kumkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba...

 

3 weeks ago

Michuzi

JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara  kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na mwigizaji Wastara pamoja na SHILAWADU baada ya kumkabidhi msaada wa 15m/- kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. Pia...

 

4 weeks ago

Zanzibar 24

Waziri Mwakyembe aahidi kiasi hiki kusaidia hali ya Wastara

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe hapo jana Januari 21, 2018 aliambatana na Katibu wa Bodi ya Filamu  kwenda kumtembelea msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma nyumbani kwake na kumjulia hali.

Kitendo cha Mh,Waziri kufika nyumbani kwa muigizaji huyo kimekuja baada ya msanii huyo kuomba msaada kutokana na afya yake kuwa mbaya baada ya kupata ajali ya pikipiki miaka minne iliyopita na kumsababisha kukatwa mguu na kuwekewa mguu wa bandia ambao unahitaji...

 

4 weeks ago

Bongo Movies

Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe hapo jana( Jumapili) alikwenda kumtembelea msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma nyumbani kwake na kumjulia hali.

Mh.Waziri Mwakyembe ambaye aliambata na Katibu wa Bodi ya Filamu walifika nyumbani kwa muigizaji huyo kwa ajili ya kumjulia hali ambapo Waziri huyo aliahidi kumsaidia kiasi cha shilingi milioni. 1 kwa ajili kwenda India kwa ajili ya matibabu yake.

Hata hivyo Waziri Mwakyembe amewaomba wasanii wote nchini kuwa...

 

4 weeks ago

Bongo Movies

Sitozikwa na Wasanii Pekee- Wastara

Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amesema hatokuja kumladhimisha mtu yeyote katika tasnia ya ‘bongo movie’ kuwa yeye hana pesa ya kujitibia ugonjwa wake unaomsumbua kwa madai hata siku ikitokea akifa hawezi kuzikwa na hao pekee yao.

Wastara ametoa kauli hiyo kwenye kipindi cha ‘FRIDAY NIGHT LIVE’ (FNL) kinachorushwa na EATV tinga namba moja kwa vijana, baaada ya kuwepo kwa baadhi ya watu kutomuamini kwa kile kinachomsumbua huku wengine wakidiriki hata kujaribu kumwambia anatafuta kiki...

 

4 weeks ago

Michuzi

DKT. MWAKYEMBE AOMBA WATANZANIA KUSAIDIA MATIBABU YA WASTARA

Na Anitha Jonas – WHUSM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania kujitokeza kumchangia msanii wa Filamu Wastara Issa ili aweze kwenda kupatiwa matibabu India ya mguu wake unaomsumbua.
Mheshimiwa Mwakyembe ametoa wito huo alipokwenda kumtembelea msanii huyo wa filamu nyumbani kwake leo Tabata Sanene jijini Dar es Salaam kutokana na msanii huyo kuwa anasumbuliwa na mguu wake uliyokatwa mpaka kufikia kuhitajika kufanyiwa upasuaji...

 

4 weeks ago

Bongo Movies

Nicole Aingilia Ishu ya Wastara Kuchangiwa Pesa

MSANII wa filamu Bongo, Nicole Francklyn amewataka wasanii wenzake kuungana na kuendesha kampeni ya kumchangia msanii mwenzao, Wastara Juma kutokana na maradhi ya mguu yanayomsibu, kwa kuwa hakuna aijuaye kesho.

Nicole Francklyn

Akizungumza na Star Mix, Nicole alisema, kama wasanii wangekuwa na umoja na kuungana katika hilo, kwa jinsi ambavyo wamekuwa wakijionyesha kumwaga pesa kwenye mambo ya starehe, endapo wangejitoa kwa moyo mmoja kwenye suala hilo, basi kivyovyote vile michango ingekuwa...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani