6 months ago

BBC

Weah's son Timothy scores on USA debut

Timothy Weah - the son of former AC Milan and Liberia striker George - scores on his full international debut as USA beat Bolivia 3-0.

 

7 months ago

BBCSwahili

Wenger awasifu Nwako Kanu, Kolo Toure na George Weah

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger aliiambia BBC Africa kwamba wachezaji wa kutoka Afrika wamekuwa na athari kubwa katika kazi yake katika kipindi cha miaka 22 iliyopita

 

8 months ago

BBC

Weah's son makes debut in PSG win

Paris St-Germain re-establish their 14 point advantage at the top of Ligue 1 with victory over Troyes.

 

9 months ago

BBCSwahili

George Weah ameahidi kubadilisha sheria za uraia Liberia

Kuwapatia uraia watu weusi tu 'haina maana, ni ya kibaguzi, na haifai' asema rais mpya

 

9 months ago

BBC

George Weah vows to change Liberia's citizenship laws

Restricting citizenship to black people is "unnecessary, racist and inappropriate", new president says.

 

10 months ago

BBC

George Weah sworn in as Liberia's president

Liberia's new leader says becoming president is a "feeling like no other".

 

10 months ago

BBCSwahili

George Weah aapishwa kuwa rais Liberia, aahidi kutimiza matarajio

Nyota wa zamani wa kandanda duniani George Weah ameapishwa kuwa rais wa Liberia katika sherehe iliyohudhuriwa na maelfu ya watu katika mji mkuu Monrovia.

 

10 months ago

BBCSwahili

Mlinzi matata wa timu ya taifa Kenya, Mickey Weche aelezea umaarufu wa Weah dimbani

Miongoni mwa wachezaji waliopambana na Weah ni mlinzi matata wa timu ya taifa ya Kenya, Mickey Weche mwaka wa 1989 katika mechi za kufuzu kwa kombe la dunia.

 

10 months ago

Zanzibar 24

George Weah kuapishwa leo kuwa Rais wa Liberia

Raia wa Liberia wanasubiri kwa hamu tukio la kuapishwa kwa Rais wao George Opong Weah, ambapo wamekesha katika uwanja wa mpira wa taifa, mahala ambapo leo historia ya mwanasoka huyo inajiandika upya kutoka kung’ara katika soka na hatimaye kuingia katika uga wa siasa kuwa rais wa taifa hilo lenye historia ya milima na mabonde kisiasa.

George Weah, maisha yake ya utoto yalikuwa katika mazingira duni katika mji mkuu wa Liberia Monrovia, alipata mafanikio makubwa katika medali ya soka na...

 

10 months ago

BBCSwahili

George Weah kuapishwa leo kuwa rais

Raia wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wao George Opong Weah

 

10 months ago

BBC

Ex-footballer George Weah faces toughest challenge

An inspiration on the pitch, Liberia's new president could struggle to meet expectations off it, writes Fergal Keane.

 

10 months ago

BBC

Football president George Weah puts Liberian army to the test

Ex-football pro George Weah challenges Liberia's army to a friendly before his inauguration.

 

10 months ago

BBC

Weah scores a goal as festivities continue ahead of his inauguration

George Weah scores as his Weah All Stars side beat a Liberian Army team 2-1 ahead of his inauguration as Liberia's new president on Monday.

 

10 months ago

BBC

George Weah invites Arsene Wenger to inauguration as president of Liberia

George Weah invites Arsenal manager Arsene Wenger to his inauguration as the new president of Liberia.

 

10 months ago

BBCSwahili

Liberia: George Weah amwalika Wenger sherehe ya kuapishwa kwake

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema amepokea mwaliko kutoka kwa George Weah kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake baadaye mwezi huu.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani