1 day ago

Michuzi

KESI YA WEMA SEPETU KUENDELEA KUSIKILIZWA MWAKANI

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili Mlimbwende wa Tanzania mwaka 2006 na msanii maarufu wa Filamu nchini,  Wema Sepetu  itaendelea kusikilizwa ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka Januari mwaka kesho.
Kesi hiyo iliyoko katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo ilipaswa kuendelea kusikilizwa  mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo Wakili wa Serikali, Costantine Kakula alieleza kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuendelea na ushahidi...

 

1 day ago

Zanzibar 24

Mhe. Makonda atoa neno baada ya Wema Sepetu kurudi CCM

Baada ya Wema Sepetu kutangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) December Mosi mwaka huu akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambako alijiunga tangu February 24 mwaka huu, kuanzia mwishoni mwa weekend iliyopita ameonekana akiwa katika picha tofauti tofauti na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda.

Leo RC Makonda ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram alioumbatanisha na picha wakiwa na Wema, kuwa Wema amechagua fungu jema katika maamuzi...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Wema Sepetu baada ya kurudi CCM: Najihisi nimekatishwa tamaa

Baada ya msanii wa filamu, Bongo Wema Sepetu kurudi CCM kutokea Chadema, hatimaye amezungumzia hilo.

Wema amesema hawezi sana kulizungumzia hilo kwa sababu maamuzi yalishafikiwa lakini anajihisi kukatishwa tamaa.

“Yaani it so complicated najikuta sipo kwenye position ya kuielezea in simple English or Swahili, siwezi lakini tubaki tu tunaomba Mwenyenzi Mungu kwamba everything it will be ok one day inshallah” Wema ameiambia K Fm, Rwanda.

“I am strong, nisingekuwa strong nisingekuwa hapa sasa...

 

1 week ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Diamond's Old Flame Wema Sepetu Confesses Missing Her Ex


Ghafla!
Tanzania: Diamond's Old Flame Wema Sepetu Confesses Missing Her Ex
AllAfrica.com
Wema shared a photo of her and Munana, saying if missing someone is a crime then she is a suspect. "If missing someone is A Crime then I want to be WANTED... A Blessed Tuesday to y'all... One of my Favorite pics... ," she wrote. Wema then turned off ...
Wema Sepetu publicly grumbles about how she is missing her Namibian ex boyfriendGhafla!

all 2

 

1 week ago

Ghafla!

Wema Sepetu publicly grumbles about how she is missing her Namibian ex boyfriend


Ghafla!
Wema Sepetu publicly grumbles about how she is missing her Namibian ex boyfriend
Ghafla!
Wema Sepetu has dated several celebrities in Tanzania and even abroad. The former beauty queen is however still in love with her Namibian ex boyfriend. Diamond, Idris Sultan, Tanzanian model Calisah and Namibia's Big Brother Hotshots representative ...

 

1 week ago

ZIPO.CO.KE

Wema Sepetu: Diamond ex irks fans after joining Magufuli party


ZIPO.CO.KE
Wema Sepetu: Diamond ex irks fans after joining Magufuli party
ZIPO.CO.KE
Celebrities world over, come out and endorse political outfits, but there are those who commit to active politics, some even stand for seats although only a few get elected into office. Across the border in Tanzania, model and actress Wema Sepetu has ...
Diamond ex girlfriend under fire for joining Magafuli's partyTUKO.CO.KE

all 2

 

1 week ago

Malunde

BAVICHA : WEMA SEPETU ALIKUWA SHABIKI WA CHADEMA...NA CHADEMA INA WAFUASI WA NAMNA MBALIMBALI...

Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha) umesema mrembo huyo wa Tanzania mwaka 2006,  Wema Abraham Sepetu hakuwahi kuwa mwanachama wala kukabidhiwa jukumu lolote katika operesheni za chama hicho kikuu cha upinzani kwani alikuwa shabiki.


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Patrick Ole Sosopi amesema hayo juzi baada ya kutangazwa kurithi nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti, Patrobas Katambi ambaye amehamia Chama Cha Mapinduzi mwezi uliopita.
“Wema alikuwa shabiki wa Chadema na Chadema ina wafuasi wa namna...

 

2 weeks ago

Malunde

STEVE NYERERE AMCHANA BILA CHENGA POLEPOLE WEMA SEPETU KURUDI CCM

Muda mfupi baada ya muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu kutangaza jana jioni kuwa ameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), Katibu wa Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole  alisema chama hicho hakina taarifa rasmi kuhusu Wema kutaka kurudi.

Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika kuwa, katika kujenga nidhamu ya chama, na kuepuka kukifanya chama daladala kwamba unapanda na kushuka wakati unaotaka, kuna taratibu za kufuatwa mtu anapotaka kujiunga na chama, na sio kutangaza...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Wema Sepetu akabaki huko huko CHADEMA ama akaanzie kwenye shina

Katika kujenga nidhamu ya chama, na kuepuka kukifanya chama daladala kwamba unapanda na kushuka wakati unaotaka, kuna taratibu za kufuatwa mtu anapotaka kujiunga na chama, na sio kutangaza mitandaoni.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ni muda mfupi tu baada ya muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu kutangaza kuwa ameamua kurejea Chama cha Mapinduzi CCM.

 

“Nimesikia habari mitandaoni, napenda kuweka rekodi sawa,...

 

2 weeks ago

Malunde

POLEPOLE : CCM HAINA TAARIFA ZA WEMA SEPETU KURUDI CCM
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Hamphrey Polepole amesema kuwa chama hicho hakina taarifa yoyote ya kurudi kwa Wema Sepetu.
Akijibu swali kuhusu taarifa kuwa Wema amerudi CCM akitokea Chadema, Polepole amesema CCM ina utaratibu wa mwanachama kujiunga na chama hicho.
"Kupitia utaratibu na muundo wetu wa chama kwenye shina kisha ataandikwa kwenye orodha ya wanachama kwenye tawi ambalo yeye ni mkaazi," amesema.

 

2 weeks ago

Malunde

Breaking News: WEMA SEPETU ATANGAZA KUONDOKA CHADEMA, ARUDI CCM

Baada ya miezi ya Mwigizaji Wema Sepetu kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)akitokea CCM, leo Miss Tanzania huyu wa mwaka 2006 ametangaza kurudi CCM.

Ameandika maneno yafuatayo >>> “Siwezi kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani…. #ThereIsNoPlaceLikeHome… Feels good to be Back…”

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Hivi punde: Wema Sepetu arejea CCM

Muigizaji wa filamu nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amerejea katika Chama cha Mapinduzi ambacho alijiondoa katika chama hicho mapema mwaka huu.

Taarifa ya kujiondoa kwake ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika “Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani…. #ThereIsNoPlaceLikeHome… Feels good to be Back…”

 

 

 

The post Hivi punde: Wema Sepetu arejea CCM...

 

2 weeks ago

Malunde

WEMA SEPETU AOMBA KIFO

Muigizaji mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amesema kuna muda anatamani Mungu amchukue afe ili aweze kupumzika na mambo ya dunia ambayo yanamnyima raha.

Wema Sepetu ameyasema hayo kwa kuandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa instagram, akisema ingawa anajua ipo siku atakufa, lakini anatamani ingetokea sasa ili aweze kupumzika na mambo yanayomuumiza nafsi yake ikiwemo kutukanwa bila sababu za msingi kwenye mitandao ya kijamii.

Wema Sepetu amendeelea kusema kuwa kutokana na...

 

2 weeks ago

Malunde

MAMA WEMA SEPETU AMTEMBELEA TUNDU LISSU NAIROBI

Mama Mzazi wa msanii wa filamu Bongo na Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu wameenda Nairobi nchini Kenya kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu ambaye anapata matibabu nchini huyo.

Lissu ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekuwa akitibiwa Nairobi tangu aliposhambuliwa kwa kupigwa risasi September mwaka huu. 

Viongozi mbali mbali wa kiserikali na wa chama hicho wamekuwa wakienda kumjulia hali na sasa Mama wa Wema Sepetu...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Wema Sepetu amuomba mungu amuondoshe duniani

Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu, ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagramu akisema anatamani Mungu achukuwe roho yake ili apumzike na kero za duniani.

Wema Sepetu amendeelea kusema kuwa kutokana na mambo ambayo anayapitia anatamani hata asingetokea duniani, na kuamua kukaa nje ya mitandao ya kijamii kwa muda.

“Ipo siku nitakufa, hakuna anaeishi milele… Sijui mtaendelea kunisema kwa kejeli na kunitukana matusi ya nguoni au ndo itakuwa, “Maskini ya Mungu, Dada...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani