1 week ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA NDUGU IBRAHIM WEREMA JOHN

Ni miaka mitano sasa toka ndugu yetu kipenzi Ibrahim Werema John ututoke tarehe 13. march 2013.


 Imekua ngumu kukusahau kwani Upendo, Ucheshi, Wema na Fadhila zako kwetu bado vinaishi nasi.      

                Unakumbukwa sana na mke wako kipenzi Bi. Agatha, wazazi wako Mr.& Mrs. John Keraryo, dada yako Anna, wadogo zako Israel, Simon, Sunday, Kulwa na Doto, mkwe wako mzee Soka, sehemeji zako ndugu, jamaa na marafiki.  

                       JINA LA BWANA LIPEWE SIFA.                       ...

 

10 months ago

Malunde

MWIGULU NCHEMBA AWATAKA CHENGE, WEREMA WAELEZE MASLAHI YAO MCHANGA WA MADINI


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, ametaka wanasheria wakuu wa Serikali wastaafu waeleze hadharani maslahi waliyonayo kwenye kampuni za madini zinazosafirisha mchanga nje ya nchi.

Hatua hiyo ya waziri imekuja siku chache baada ya wanasheria wakuu wastaafu waliofanya kazi kwa nyakati tofauti wakati nchi ikiingia kwenye mikataba ya madini ‘kujivua lawama’ kuhusu udanganyifu uliogunduliwa kuhusa sakata la usafirishaji wa mchanga.

Wanasheria hao wakuu wa Serikali wastaafu ni...

 

10 months ago

Mwananchi

Mwigulu awajia juu Chenge, Werema

Iramba.Waziri   wa Mambo ya Ndani, Mwingulu Nchemba amewachana  wanasheria wakuu wa Serikali wastaafu kwa kuwataka waeleze hadharani maslahi walionayo kwenye kampuni za madini zinazosafirisha mchanga nje ya nchi.

 

10 months ago

Malunde

CHENGE, WEREMA WAJIVUA ZIGO LA MADINI..CHENGE ADAI KUNA WATU WANAAMINI TUNAIBIWA..HATUIBIWI

WAKATI baadhi ya watu wa kada mbalimbali, wakiwamo wataalamu wa sheria wakisema mikataba mibovu katika sekta ya madini ni kiini cha serikali kupoteza mabilioni ya fedha kama ilivyoainishwa na Kamati ya Rais, waliopata kuwa wanasheria wakuu wa serikali, Andrew Chenge na Frederick Werema, wamelivua zigo hilo na kuzirushia mamlaka nyingine.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na MTANZANIA Jumamosi, mjini Dodoma na  kwa njia ya simu, wanasheria  hao wametoa kauli zinazofanana, zinazoonyesha kuwa...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani