10 months ago

Michuzi

BUNGE LAIDHINISHA BAJETI YA TRILIONI 12.058 KWA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2018/19

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akionesha kitabu cha Mpango wa Maendeleo wa wa Taifa wa Miaka Mitano, wakati wa kuhitimisha hoja za Wabunge kuhusu bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango Bungeni, Dodoma.Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akijibu hoja za Wabunge kuhusu Uhimilivu wa Deni la Taifa ambapo alieleza kuwa bado Deni hilo ni himilivu kwa vigezo vya kimataifa. Baadhi ya Wabunge wakiwapongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt....

 

10 months ago

Michuzi

Wizara ya Ulinzi ya Tanzania yasaini Mkataba wa Makubaliano na Serikali ya Israel

Mkuu wa Tawi la Usalama na Utambuzi Jeshini Brigedia Jenerali, Nicodemus Elias Mwangela pamoja na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kwenye masuala ya Ulinzi katika Wizara ya Ulinzi ya Israel, Brigedia Jenerali Mstaafu, Michael Ben-Baruch wakiwekeana saini katika Mkataba wa Makubaliano ya pamoja ya Ulinzi kati ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Tanzania na Wizara ya Ulinzi ya Taifa la Israel, tukio hilo limehudhuriwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la...

 

10 months ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni...

 

10 months ago

Michuzi

Hotuba Ya Bajeti Wizara Ya Fedha Na Mipango 2018/19 iliyowasilishwa leo Bungeni na Dkt Mpango

 Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Philip Mpangango (MB.) akiwasilisha Bungeni makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka 2018/19 mjini Dodoma leo.

 

10 months ago

Michuzi

Wizara yazindua mradi wa VVU na Ukimwi kwa Wasichana Balehe na Wanawake Vijana Nchini

Na Anthony Ishengoma Singida.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezindua mradi wa kuzuia maambukizi ya VVU na Ukimwi kwa wasichana balehe na wanawake vijana leo Mkoani Singida kwa lengo la kuutambulisha kwa jamii kuhusu wasichana na wanawake vijana walio shuleni na walio nje mfumo wa Elimu.
Mradi huu unatekelezwa na  Wizara pamoja na wadau wa Maendeleo kutoka AMREF, TAYOA, TASAF, TACAIDS na Mfuko wa Kimataifa wa Global Fund na wakati huu mradi uko katika hatua ya...

 

10 months ago

Michuzi

Wataalam Wizara ya Nishati, REA na TANESCO wakagua umeme vijijini Tanga na kuwasha umeme


Wataalam kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakiongozwa na Mhandisi Yusuph Msembele kutoka Wizara ya Nishati, wamekagua mradi wa umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) katika wilaya mbalimbali mkoani Tanga na kuzindua huduma ya umeme katika Kijiji cha Bagamoyo, wilayani Korogwe.
Mhandisi Msembele, ambaye alimwakilisha Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu katika uzinduzi huo, alisema kuwa, kuzinduliwa kwa huduma ya umeme katika...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Wizara ya Afya imejipanga kumaliza Malaria 2018-2019

Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed amesema Wizara yake imejipanga  kuhakikisha maradhi ya malaria yanamalizika hasa katika maeneo ambayo bado maambukizo ya ugonjwa huu yameripotiwa.

Hayo aliyasema wakati akisoma Hotuba ya  Bajeti ya Wizara ya Afya kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo ya mwaka 2018 hadi 2019 huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi chukwani  .

Alisema katika kuhakikisha huduma za kinga zinapatikana wizara imekusudia kuhamasisha jamii juu ya usafi wa...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Wizara ya Kilimo yatakiwa kuimarisha miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji

Wizara ya Kilimo ,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar imetakiwa kuimarisha miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji maji ili kuwawezesha wakulima kulima kilimo cha biashara na chakula.

Akichangia bajeti ya Wizara hiyo katika mkutano wa Baraza la wawakilishi chukwani nje kidogo ya mji wa Zanzibar Mwakilishi wa Nafasi za Wanawake Panya Ali amesema wakulima wanashindwa kufikia malengo yao katika  kilimo cha biashara kutoka na kutokuwa na nyenzo za kutosha katika kilimo hicho.

Amesema serikali...

 

10 months ago

Michuzi

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yakabidhiwa jukumu la kuisimamia Bodi ya Ushauri ya Masuala ya rushwa ya Umoja wa Afrika

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda akisaini hati ya kukubali rasmi kupokea jukumu la kuisimamia Bodi ya Ushauri kuhusu Masuala ya rushwa ya Umoja wa Afrika Mashariki. Kushoto ni Bw.Valentino Mlowola Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambaye alikabidhi majukumu ya usimamizi wa Bodi hiyo kwa Wizara.Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa jijini Arusha.Bodi hii yenye...

 

10 months ago

Michuzi

WIZARA, TAASISI ZA SERIKALI ZITUMIE NISHATI MBADALA – WAZIRI MKUU

*Aagiza viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam wabadilike*Ataka wasimamie wananchi waachane na matumizi ya mkaa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara, mashirika na taasisi zote za Serikali na binafsi zianze kutumia nishati mbadala ili kuondoa kabisa matumizi ya kuni na mkaa.
“Wizara, taasisi na mashirika yote ya Serikali na binafsi pamoja na vikundi vya uzalishaji wanaotumia nishati ya kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia au shughuli za uzalishaji waanze kutumia nishati mbadala ili matumizi ya...

 

10 months ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI

Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpongeza Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (kushoto) Dorothy Mwanyika akimpongeza Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Angeline Mabulla mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na...

 

10 months ago

Michuzi

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO YAOMBWA KUJENGA BARABARA YA BAGAMOYO,MAKURUNGE HADI SAADAN

Afisa Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae akizungumza na waandishi wa habari AFISA Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano kuijenga barabara ya Bagamoyo,Makurunge hadi kuingia Hifadhini ili kuondoa kero kwa watalii hasa nyakati za mvua.
Hayo ameyazungumza kwenye maonyesho ya sita ya biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga na kusema ubovu wa barabara hiyo umekuwa kikwazo...

 

10 months ago

Michuzi

WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maedeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo ameliomba Bunge kujadili na kuopitisha kiasi cha shilingi 73,071,273,632 iloi wizara iweze kutumiza majukumu yake. Waziri, Lukuvi ameliambia Bunge kuwa katika mwaka wa fedha wa 2018/19 wizara inataraji kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 120 kutokana na kodi, tozo, na ada mbalimbali za zinazotokana na...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Baraza la Wawakilishi waitaka Wizara ya Elimu kulipa Madeni ya Walimu

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  ambapo wameitaka Wizara hiyo kulipa Malimbikizo ya Madeni wanayodai walimu kwa kipindi kirefu.

Wakichangia hutuba ya Bajeti hiyo katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi Chukwani nje kidogo ya mji wa Zanzibar Wajumbe hao wamesema bado kuna wimbi kubwa la walimu wakiwemo walostaafu hawajalipwa mafao yao mpaka sasa.

Muwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan amesema kumekuwa na malalamiko makubwa kwa...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo kutoa mafunzo ya Kilimo kwa Vijana

Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Balozi Ali Karume amesema Wizara yake inatarajia kutoa mafunzo na kuwasaidia vijana katika shughuli za Kilimo, Uvuvi, Biashara, Elimu ya Stadi za Maisha na Amali ili kuwawezesha vijana  kiuchumi na kijamii.

Hayo aliyaeleza wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na michezo  ya  mwaka 2018-2019 huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani.

Alisema lengo la mpango huo ni kuwasaidia vijana  kuweza kuratibu...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani