2 days ago

Bongo Movies

Wolper Atoboa Hii Kuhusu Wanaume wa Kikongo

MUIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Jaqueline Wolper ‘Jack’ anasema kuwa amewashitukia wanaume si wakuiwategeemea kwa maisha endelevu kwani unaweza kupotea ukaamini unapendwa kumbe yupo naye kikazi, hivyo akili yake anawekeza katika mambo yake ya kibiashara ni kujitaidi kuwa mbunifu .

Kuna wanaume wanajua kusifia hasa ukimpata mwanaume wa Kikongo unahisi dunia yote ni mali yako lakini kumbe hakuna lolote subiri sasa akuchoke unajishutukia umemaliza kila kitu yeye anakukimbia,”alisema...

 

4 weeks ago

Bongo Movies

Wolper: Ufundi Unanilipa

MSANII wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, amesema mbali na sanaa yake hiyo, amekuwa akipata hela nzuri kupitia kazi yake ya mitindo ambapo sasa ameamua kuwa fundi seremala.

Jacqueline Wolper

Wolper amesema huu ni wakati wake wa kutengeneza fedha ili kutimiza ndoto zake za kuishi maisha aliyojipangia tangu akiwa mdogo.

“Hakuna asiyependa maisha mazuri na tutambue tu hayaji kirahisi zaidi ya kujituma usiku na mchana kuhakikisha unaweka mambo yako sawa, sasa hivi nimewekeza zaidi kwenye...

 

4 weeks ago

Bongo Movies

Wolper Ageuka Kungwi

Msanii wa filamu bongo ambaye sasa amegeukia ujasiriamli, Jackline Wolper, amewapa somo mabinti na kuwafunda juu ya kujishughulisha ili kujipatia kipato chao, na hatimaye waweze kuheshimika.

Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Jackline Wolper amesema ni wakati sasa mabinti kuacha kutegemea pesa wanazopewa na wanaume, na badala yake wajishughulishe ili kutengeneza pesa yako mwenyewe. “Wadogo zangu wa kike 2018 mi ntaendelea kuwatia hasira, na kuendelea kuwaambia...

 

4 weeks ago

Bongo Movies

Msanii Engine Atoboa Siri ya Kumchukua Wolper

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Engine ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kumng’oa Jackline Wolper na kumuweka ndani, ameweka wazi sababu za kuamua kumtumia msanii huyo kwenye kazi yake.

Akizungumza kwenye Friday Night Live Engine amesema Wolper ni miongoni mwa wanawake wachache Tanzania wanaojitambua, na ndio sababu iliyomfanya asifikirie mara mbili kumfuata.

“Wolper ni mwanamke jasiri, mwanamke anayejitambua , anajituma yuko fit kila idara, na ndio maana nikamfuata”, amesema...

 

4 weeks ago

Malunde

Video Mpya : MPENZI WA WOLPER 'ENGINE' - ULINGO


Mpenzi mpya wa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper, Sadiki Athanasy Sanga ‘Engine’, ametoa video yake ya wimbo wa Ulingo. Itazame Hapo Chini

 

1 month ago

Bongo Movies

Wolper Afunguka Pesa itayogharimu Harusi yake

Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali.

Wolper amedai kuwa ndoa hiyo inatarajia kugharimu kiasi cha shilingi milioni 60 za kitanzania, ikiwa milioni 50 kutumika kwa ajili ya harusi itayofanyika Dar huku milioni 10 kutumika harusi itayofanyika Marekani.

“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa...

 

1 month ago

Bongo Movies

“Nafurahia nilichokifanya”-JACQULINE WOLPER

January 6, 2018 Staa wa Bongo movie Jacquline Wolper siku chache zilizopita amekuwa akipost vitu kupitia mitandao yake ya kijamii  kuhusiana na kuvalishwa pete ya uchumba na kuolewa na mwanaume ambaye wengi hawamfahamu.

Kupitia mtandao wa snapchat pamoja na instagram Jacquline Wolper amepost picha ambazo zinaashiria kuwa ameshaolewa kutokana na captions alizoziandika na moja ya captions ameandika “Masaa yaliyopita namshukuru Mungu”

 

 

1 month ago

Bongo Movies

Brown afunguka sababu kutemana na Wolper

Brown amefunguka na kuweka wazi sababu ambayo imepelekea yeye kuachana na msanii wa filamu nchini Jackline Wolper na kusema yeye ndiye alimkosea binti huyo na kila alipoomba msamaha hakutaka kumuelewa.

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) Brown anasema kuwa yeye na Wolper walikuwa na ugomvi kati yao ambao ulisababishwa na yeye mwenyewe na kudai kila alipojaribu kumuomba msahama hakutaka kumuelewa akaamua kusonga mbele na kumuacha.

Tazama hapa Brown akifunguka zaidi juu ya hili

 

2 months ago

Bongo Movies

Ndoto Imetimia, Hatimaye Wolper Kufunga Ndoa

BAADA ya kupitia misukosuko mingi katika mahusiano ya kimapenzi, malkia wa fashion na mkali wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper huenda akafunga ndoa hivi karibuni mara baada ya kuanika mipango yake ya kwenda kumtambulisha mpenzi wake kwa wazazi.

Japo hajataja jina, Wolper ameeleza kuwa mpenzi wake huyo ameridhia suala hilo kwani naye pia alikuwa akilihitaji toka mwanzo huku akibainisha kuwa amejifunza kunyamaza bila kuweka hadharani mahusiano yake na siku ya leo ndipo anatarajia...

 

2 months ago

Bongo Movies

Wolper Kaanza Kusakamwa Tena Jamani

WANADAMU hawana dogo kwani wameanza kumsakama nyota wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, wakidai amerudia tabia ya kuvaa mavazi ya kiume ambayo yanawakera na badala yake kumtaka avae magauni marefu kwani ndio yanayompendeza.

Wolper ameonekana katika maeneo tofauti akiwa amevalia mavazi hayo ya kiume tofauti na magauni yake marefu ambayo alikuwa akitoka nayo.

Mashabiki wake hao wametoa maoni yao katika akaunti yake ya Instagram wakimsihi asirudie ya zamani kwa kuvaa mavazi ya kiume,...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Wolper afunguka mapenzi yake kwa Alikiba

Msanii wa Filamu Bongo, Jacqueline Wolper  amelazimika kuzungumzia ukaribu na Alikiba baada ya kuandika ujumbe wenye kusisimua katika kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Alikiba.

Ujumbe alioandika Wolper kwa Alikiba ulisomeka, “Happy birthday to you Ally!I love you and you know that!More life Kiperete wangu…!”.

“Hatuna urafiki lakini ni mtu ambaye namjua toka zamani kabla ya yeye hajawa staa na mimi sijawa staa, kwa hiyo tunajuana zamani lakini pia hatujawahi kukoseana adabu, kutukanani...

 

3 months ago

Bongo Movies

Wolper Afunguka Kupenda ‘Vidogo’

Muigizaji wa filamu bongo ambaye sasa anajihusisha zaidi na ujasiriamali, Jackline WOlper, amesema anapenda wanaume wenye maumbile madogo kwani yeye mwenyewe maumbile yake ni madogo.

Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live Jackline Wolper amesema hana sababu ya kupenda au kusifia wanaume wenye maumbile makubwa wakati yeye maumbile yake ni madogo.
“Actualy siwezi kusema nachukuliaje wanaume wenye maumbile madogo, na ndio nawapenda pia, kwa sababu mimi mwenyewe mdogo, nitapendaje vitu...

 

4 months ago

Bongo Movies

Huyu Wolper ukimzingua tu, anakumwaga

“Kila mtu anatakiwa kuwa na maamuzi yanayompa faraja, si kila jambo lazima liwe sawa na mtu mwingine kifikra, kuna baadhi ya wanawake wanajikuta wakinyanyasika kwa kuhofia jamii itawaonaje wakiachana na waume wasaliti, ila kwangu haipo hivyo,” alisema.

JACQUELINE Wolper, mmoja wa nyota wa filamu nchini amesema hajaumbwa ili ateseke au kunyanyasika kwa mwanaume, hivyo anapokuwa na rafiki wa kiume na kubaini ni mbabaishaji, lazima ammwage fasta bila kujali jamii itapokeaje jambo hilo au...

 

4 months ago

Bongo Movies

Wolper Afunguka kuachana na Brown

Msanii Jackline Wolper ambaye hivi karibuni amekumbwa na tetesi za kuachana na mpenzi wake, amekanusha taarifa hizo na kusema kwamba wakiachana mashabiki wake watajulishwa.

“Watanzania wamezoea sana Instagram, usipompost bwana wako basi mmeachana, hawajui hata kama watu mumepata deal, mmeingia mikataba, hautakiwi kuweka mapicha ya mapenzi, mpaka wanataka utoe siri sasa, kuna issue siwezi kuiongelea, hivyo hakuna kitu kama hicho kikiwepo nitaongea”, amesema Wolper

Wolper amekutwa na tetesi...

 

5 months ago

Bongo Movies

Jackline Wolper Awapa ‘Kitchen Party’ Mashabiki

Mcheza sinema wa Bongo Movie, Jackline Wolper amewaasa mashabiki wake kuacha kusikiliza maneno ya kukatisha tamaa wanapojitafutia riziki kwa kuwa hiyo ni kawaida.

Jackline ameandika waraka mrefu katika mtandao wa Instagram akiwaasa mashabiki zake kuwa kama watasikiliza maneno ya watu hawatakamilisha ndoto zao.

“Basi leo nataka niwaambie kitu hakuna binadamu anayependa hivyo ulivyo na ndio maana unakuta wanazua mambo mengi ili wajaribu kukufanya ujione mdhaifu. Binadamu bwana wanaweza...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani