(Yesterday)

Mwanaspoti

Vodacom kuijaza manoti Yanga

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, Yanga watakabidhiwa zawadi zao Jumatano hii jijini Dar es Salaam.

 

(Yesterday)

Mwanaspoti

Muuaji wa Yanga aigeukia Simba

Mshambuliaji wa Mbao, Habib Haji aliyeifunga Yanga bao la kideo amesema sasa akili yake ni kuhakikisha anawafunga Simba katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam itakayopigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

 

(Yesterday)

Mwanaspoti

Kiherehere cha Yanga chaitoa Simba mjini

SIMBA imeonyesha stakabadhi  ambazo zimethibitisha kwamba kuna mzigo wametuma Fifa na si tu kwamba umewasili, bali umeshapokelewa.

 

(Yesterday)

Mwanaspoti

Bocco, Mbaraka wanaenda Yanga mjue

STRAIKA ambaye hata viongozi wa Yanga hawataki kumsikia, Donald Ngoma ameaga marafiki zake Jangwani na huenda akaibukia kwenye klabu ya Polokwane au Orlando Pirates za Ligi Kuu ya Afrika Kusini.

 

(Yesterday)

Mwananchi

Vodacom kuijazama manoti Yanga

Dar es Salaam. Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, Yanga watakabidhiwa zawadi zao Jumatano hii jijini Dar es Salaam.

 

(Yesterday)

Mwananchi

Yanga waiteka Dar kwa saa 3

Dar es Salaam. Takribani saa tatu jana zilitosha kusimamisha shughuli kadhaa pamoja na kufunga baadhi ya barabara za jiji kupisha mapokezi ya Yanga, iliyotokea jijini Mwanza ilikokabidhiwa taji wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

2 days ago

MillardAyo

PICHA 6: Mapokezi ya Yanga Airport DSM baada ya kuwasili na Kombe la VPL

May 20 2017 club ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na kupoteza kwa goli 1-0 lakini Yanga walitangazwa Mabingwa wa VPL baada ya kumalizika kwa Ligi. Yanga wametangazwa kuwa Mabingwa wa VPL  baada ya […]

The post PICHA 6: Mapokezi ya Yanga Airport DSM baada ya kuwasili na Kombe la VPL appeared first on millardayo.com.

 

2 days ago

MillardAyo

Yanga walivyoshangilia ubingwa wao uwanjani Mwanza (video)

Timu ya Yanga leo imekabidhiwa rasmi kombe la Vodacom Premier League baada ya kuwa Mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo, kombe limekabidhiwa Mwanza baada ya kumalizika game yao na Mbao FC ambapo Mbao waliibuka na ushindi wa 1 – 0. Hii video hapa chini inawaonyesha Yanga walivyopokea kombe lao na kusherehekea uwanjani hapo…. VIDEO: Imani […]

The post Yanga walivyoshangilia ubingwa wao uwanjani Mwanza (video) appeared first on millardayo.com.

 

2 days ago

Michuzi

YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii,Mwanza.Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika leo kwa timu ya Yanga kutawazwa ubingwa wa msimu wa 2016/17 ikiwa ni  mara 27 toka ligi kuanzishwa.
Yanga waliokuwa ugenini dhidi ya Mbao iliweza kupoteza mechi hiyo ya mwisho lakini walitawazwa ubingwa kwa idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa dhidi ya Mahasimu wao wakubwa Simba.Katika mechi hiyo iliyoanza sa  10 Mbao waliandika goli lao la kwanza na la ushindi katika kipindi cha kwanza  ambapo liliweza kudumu mpaka...

 

2 days ago

MillardAyo

Idadi ya magoli yaliyoipa Yanga Ubingwa wa 27 wa VPL leo

May 20 2017 Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 ulimalizika rasmi kwa michezo nane kuchezwa kwa mara moja ili kuepusha kupangwa kwa matokeo ya mechi hizo, Yanga ambao walikuwa wanatetea Ubingwa wao walikuwa jiji Mwanza kucheza dhidi ya Mbao FC. Mchezo wa Yanga dhidi ya Mbao FC licha ya kuwa Yanga alikuwa tayari […]

The post Idadi ya magoli yaliyoipa Yanga Ubingwa wa 27 wa VPL leo appeared first on millardayo.com.

 

2 days ago

MillardAyo

Alichoandika Manara baada ya Ubingwa wa Yanga na kuhusu FIFA

Saa kadhaa baada ya Yanga kukabidhiwa kombe kama Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2016 – 2017, Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Simba Haji Manara ameamua kuwakumbusha Yanga kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram. May 20, 2017 Haji Manara ametumia ukurasa wake kuwaeleza Yanga kuwa Simba hawajakata tamaa kuhusu kudai Point […]

The post Alichoandika Manara baada ya Ubingwa wa Yanga na kuhusu FIFA appeared first on millardayo.com.

 

2 days ago

MillardAyo

Imani za kishirikina zilizoshangaza watu MbaoFC vs Yanga leo (+video)

Game ya Mbao FC vs Yanga imechezwa Mwanza leo May 20 2017 kwenye uwanja wa CCM Kirumba ambapo mpaka Full Time ilikua ni Mbao FC 1-0 Yanga. Jingine lililoongelewa kwenye hii game ni imani za kishirikina ambapo Yanga hawakuingia uwanjani kwa kutumia Geiti la kawaida bali walitumia mlango mwingine mdogo na hata kwenye kipindi cha mapumziko […]

The post Imani za kishirikina zilizoshangaza watu MbaoFC vs Yanga leo (+video) appeared first on millardayo.com.

 

3 days ago

Malunde

MWANAFUNZI WA DARASA LA AWALI ABAKWA NA BABA YAKE MZAZI APATE UTAJIRI SHINYANGA


Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro.***Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia mwanamme mmoja (55) jina linahifadhiwa kwa tuhuma ya kumbaka mtoto wake  mwenye umri wa miaka 09 ,mwanafunzi wa darasa la awali katika shule ya msingi Ngundangali wilayani Kishapu mkoani humo.

Akielezea kuhusu tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Muliro Jumanne Muliro alisema Mei 18,2017 saa nne asubuhi mwalimu mkuu wa shule hiyo alibaini kuhusu ukatili aliofanyiwa...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani