(Today) 1 hour ago

Mwanaspoti

Babi atabiri bao la Yanga

Kiungo wa zamani wa Yanga, Abdi Kassim 'Babi' ametabili bao la Yanga litafungwa na mabeki wa kati.

 

(Today) 3 hours ago

Mwanaspoti

Kiongozi Yanga aipania Simba

KATIBU Mkuu wa zamani wa Yanga aliyewahi pia kukipiga katika timu hiyo, Lawrance Mwalusako, amesema ni bora Simba ipigwe kesho Jumamosi, ili kusiwepo na kelele mitaani.

 

(Today) 4 hours ago

Global Publishers

Simba Vs Yanga Iwe mvua, jua lazima mpigwe

STORI: Khadija Mngwai na Wilbert Molandi | CHAMPIONI

SIMBA na Yanga zinatarajiwa kukutana kesho katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, presha ni kubwa lakini kila upande umeshajihakikishia kuwa lazima wenyewe ndiyo uibuke na ushindi.

Suala la sare linaonekana kutotakiwa na pande zote, mchezo ukiisha kwa sare itakuwa mbaya kwa Simba kwa kuwa itaendelea kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi mbili lakini Yanga nayo itakuwa nyuma kwa tofauti ya pointi hizo na kutegemea mechi ya kiporo...

 

(Today) 4 hours ago

Mwanaspoti

Simba mmemsikia Ally Yanga lakini?

SHABIKI maarufu wa Yanga, Ally Said Abubakar ‘Ally Yanga’ yupo mkoani Shinyanga, lakini analifuatilia kwa kina pambano la watani la kesho Jumamosi na kutamka kuwa Simba haiwezi kupona Taifa hata iweje.

 

(Today) 4 hours ago

Mwanaspoti

Amsha amsha ya Simba na Yanga

HUKU visiwani joto la pambano la watani limefikia mahala pake, wanachama na mashabiki wa klabu hizo wakipigana vijembe ikiwa ni saa chache kabla ya timu zao kesho Jumamosi kushuka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuonyeshana ubabe.

 

(Today) 5 hours ago

Mwanaspoti

Muuza duka Refa Simba na Yanga

MPAKA jana usiku majina mawili ndiyo yaliyokuwa yakijadiliwa, lakini Elly Sasii ambaye ni mjasiriamali ndiye atakayechezesha Simba na Yanga kesho.

 

(Today) 8 hours ago

Habarileo

Simba, Yanga kazi imekwisha

MAHASIMU wa jadi Simba na Yanga wametamba kumaliza kazi ya mechi ya kesho zitakapokutana kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mechi hiyo ni ya marudiano ya Ligi Kuu Bara.

 

(Yesterday)

TheCitizen

Yanga tactics revealed ahead of derby

Simba have not beaten their traditional foes Young Africans in the Mainland Premier League match since 2015.

 

(Yesterday)

Dewji Blog

VIDEO: Waziri Nape awatahadharisha mashabiki wa Simba na Yanga

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Yanga unaotaraji kupigwa jumamosi ya Februari, 25, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amewatahadharisha mashabiki wa soka ambao watakwenda kutazama mchezo huo ambao utapigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Zaidi waweza kumtizama katika video hapa chini;

@Nnauye_Nape kuhusu mchezo wa Simba na Yanga. pic.twitter.com/BUQ1F2EpTH

— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) February 23, 2017

 

(Yesterday)

Mwananchi

Mwamuzi Simba na Yanga kutajwa kesho

Kamati ya waamuzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kesho itatangaza mwamuzi atakayechezesha mchezo wa Ligi Kuu baina ya watani wa jadi Simba na Yanga.

 

(Yesterday)

Mwananchi

Wambura aitaka Simba iifunge Yanga

Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara (Fam), Michael Wambura amesema ili Simba itwae ubingwa msimu huu ni lazima ipambane kutopoteza mchezo wowote ikiwamo wa Jumamosi dhidi yawapinzani wao, Yanga.

 

(Yesterday)

Habarileo

Yanga, Simba kufia uwanjani

“TUTAFIA uwanjani,”. “Ni kufa au kupona”. Ndio kauli zinazoendelea kutawala kuelekea mechi ya watani Simba na Yanga zinazotarajiwa kukutana keshokutwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

(Yesterday)

Mwananchi

Yanga SC yatikisa Kimbiji

Kambi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga imekuwa gumzo maeneo ya Kimbiji, Kigamboni, ambako timu hiyo imejichimbia kwa sasa.

 

2 days ago

Zanzibar 24

Mayanja: Simba, Yanga kufa kupona Jumamosi

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amesema wanaendelea vizuri na mazoezi yao Visiwani Zanzibar na hana hofu ya mchezo wao unaofuata wa ligi kuu soka Tanzania bara siku ya Jumamosi dhidi ya Yanga utakaopigwa katika uwanja wa Taifa, Dar es salam.

Mayanja amesema mchezo wao dhidi ya Yanga ni wa kufa na kupona huku akisisitiza Simba wamepania kushinda mchezo huo.

“Mazoezi yanaendelea vizuri sana, tunataka kuona tunacheza mechi hiyo kwa kiasi kikubwa hiyo ndio mechi ya mbio za ubingwa kati...

 

2 days ago

Habarileo

Yanga wajiachia, Simba wapigwa stop

HOMA ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga imezidi kupamba moto, ambapo nahodha Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema mbinu wanazofundishwa na kocha wao George Lwandamina zinampa matumaini ya ushindi katika mchezo wao wa Jumamosi.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani