5 days ago

Zanzibar 24

Zanzibar yakabidhiwa cheti cha kimataifa cha ubora wa kutoa huduma

Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar ZFDA umekabidhiwa rasmi Cheti cha mfumo wa uhakiki ubora wa huduma cha kiwango cha kimataifa cha ISO 9001:2015.

Cheti hicho cha ubora ni kielelezo cha taasisi ya ZFDA juu ya kusimamia misingi imara ya kuhakiki ubora wa huduma katika kiwango cha kimataifa.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Cheti hicho Waziri wa Afya wa Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo amesema mafanikio hayo ni matokeo ya utekelezaji wa vitendo wa azma ya serikali inayoongozwa na Dkt. Ali...

 

2 months ago

Michuzi

Zanzibar to Organize a Half Marathon race to Promote Gender Mainstreaming, Attain Sustainable Development Goal

More than 300 Zanzibari  women, men, girls and boys are expected to participate in the race ZANZI HALF scheduled to take place on February 4th, 2018 in Stone Town in the Isles.ZANZI HALF is an international standard sporting and cultural event featuring a half marathon of 10 km and 5 km distances to be staged for the first time in the East African archipelago of Zanzibar with ethe view to highlighting women's empowerment and gender equality. The race is a response to the 2030 agenda for...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Zanzibar Heroes wazidi kumwagiwa fedha

 

MWANASOKA wa zamani wa klabu za Chipukizi SC na Shangani FC, Mohammed Abbas (kushoto), akimkabidhi mchezaji wa timu ya Taifa Zanzibar (The Zanzibar Heroes) Mudathir Yahya, fedha shilingi milioni 3.3 zilizochangwa na klabu ya wapenzi wa Zanzibar Heroes tangu timu hiyo ikiwa Kenya kwenye mashindano ya CECAFA Challenge Cup 2017 ambapo Zanzibar ilitinga fainali na kufungwa na Harambee Stars kwa mikwaju ya penelti baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 120. Makabidhiano hayo yakifanyika viwanja...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Zanzibar Sand Heroes yatinga fainali Mashindano ya Copa Dar es salam

Timu ya taifa ya Zanzibar ya soka la ufukweni (Zanzibar Sand Heroes) imefanikiwa kutinga fainali katika Mashindano ya Copa Dar es salam yanayoendelea katika Ufukwe wa Coco Jijini Dar es salam baada ya asubuhi ya leo kuwachapa Malawi mabao 5-1.

Mchezo mwengine leo Uganda wakaichapa Tanzania bara kwa mabao 6-5.

Kwa matokeo hayo Zanzibar imeongoza katika Mashindano hayo wakishika nafasi ya kwanza huku Malawi wamekamata nafasi ya Pili ambapo Tanzania bara wakishika nafasi ya tatu na Uganda...

 

2 months ago

Michuzi

Zanzibar New year Bonanza kuzinduliwa Rasmi kwa mechi ya Soka kati ya Jang’ombe Boys na Gulioni.

Tamasha la kimichezo la Zanzibar New Year Bonanza lililoandaliwa na Taasisi ya Rafiki Network linatarajiwa kuzinduliwa Rasmi siku ya Jumatatu ya Desemba 25 2017 kwa mechi ya mpira wa miguu kati Jang’ombe Boys na Gulioni Fc inayotarajiwa kuchezwa katika dimba la uwanja wa Aman saa 2:00 usiku.Mgeni Rasmi katika mchezo huo atakua Kocha wa timu ya Zanzibar Heros Nd. Mohd Moroko. Rais wa Taasisi hiyo Nd. Hamad Hamad, amesema maandalizi ya mchezo huo yamekamilika na kuongeza kwamba tasisi yake...

 

2 months ago

BBCSwahili

Zanzibar sasa yaomba kutambuliwa na Fifa

Wachezaji wa Zanzibar walilakiwa kwa shangwe na hoi hoi walipotua nyumbani kutoka Kenya baada ya kumaliza wa pili katika mashindano ya kandanda ya kombe la Cecafa Senior Challenge

 

2 months ago

Zanzibar 24

Zanzibar Heroes wamkuna Rais wa Zanzibar, atuma salamu za pongezi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepokea kwa furaha kubwa matokeo ya ushindi wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Zanzibar “Zanzibar Heroes” katika mashindano ya  Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’ 2017 yanayoendelea nchini Kenya.

 

Kutokana na matokeo hayo Rais Dk. Shein ametoa pongezi zake za dhati kwa wachezaji wote wa timu ya Zanzibar Heroes pamoja na viongozi wao kwa mafanikio makubwa waliyoiletea Zanzibar hadi kufika...

 

2 months ago

BBCSwahili

Zanzibar: Hatuogopi Kenya hata kama wako nyumbani

Ushindi wa Zanzibar kwenye nusu fainali ya CeCafa umekiongezea matumaini chama cha kandanda Zanzibar kutambuliwa na shirikisho la Fifa

 

2 months ago

Zanzibar 24

Zanzibar ilitwaa kombe la CECAFA mbele ya wenyeji Uganda, je kesho itatwaa tena mbele ya wenyeji Kenya?

Kesho ndio kesho fainali ya Ubingwa wa Kanda ya Afrika Mashariki na kati, maarufu Cecafa Senior Challenge Cup itapigwa saa 9:00 Alaasiri kati ya Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) dhidi ya wenyeji Kenya (Harambee Stars) mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya.

Zanzibar Heroes wametinga fainali baada ya kuwatoa mabingwa watetezi Uganda kwa mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali ya pili huku Harambee Stars waliwatoa Burundi kwa kuwachapa bao...

 

2 months ago

BBC

Zanzibar beat Cecafa Cup holders Uganda to reach final

Zanzibar beat Cecafa Challenge Cup holders Uganda to earn a place against hosts Kenya in the final of the East and Central African football Championship

 

2 months ago

VOASwahili

Zanzibar, Kenya zakutana fainali Cecafa

Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, imeingia katika fainali ya ubingwa wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati unaojulikana kama Cecafa Senior Challenge.

 

2 months ago

Zanzibar 24

Zanzibar Heroes yatinga Fainali kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki CECAFA

 

ZANZIBAR imefanikiwa kwenda fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na CECAFA Challenge baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mabingwa watetezi, Uganda jioni ya leo Uwanja wa Moi mjini Kisumu, Kenya.

Mchezo ambao uliochezeshwa na marefa Twagirumukiza Abdoul Karim, aliyesaidiwa na Theo Ndagijimana wote wa Rwanda na Tigle Belachew wa Ethiopia dakika 45 za kipindi cha kwanza zilimalizika timu hizo zikiwa zimefungana bao 1-1.
Abdulaziz Makame Hassan alianza kuifungia Zanzibar Heroes...

 

2 months ago

BBCSwahili

Zanzibar wafuzu kwa fainali Cecafa baada ya kuilaza Uganda

Zanzibar wamefuzu kwa fainali ya ubingwa wa kanda ya Afrika mashariki na kati, maarufu kama Cecafa Senior Challenge baada ya kuwalaza Uganda Cranes 2-1.

 

2 months ago

Zanzibar 24

Zanzibar kupatiwa Vifaa na zana za Kisasa za kuwawezesha Watu wenye ulemavu

Serikali ya Kuweit imeihakikishia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuendelea kuiunga mkono katika harakati zake za kuimarisha ustawi wa Wananchi wake pamoja na miradi ya maendeleo.

Balozi wa Kuweit Nchini Tanzania Bwana  Jasem Al – Najem akisisitiza umuhimu wa Nchi yake kuendelea kusaidia huduma za Kijamii Nchini Tanzania hasa kwa Watu wenye mahitaji Maalum.

Hatua hiyo itakwenda sambamba na Mpango Maalum uliobuniwa na Ofisi ya Ubalozi wa Kuweit Nchini Tanzania katika kusaidia Vifaa pamoja...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Zanzibar Heroes Timu ya kwanza kutinga nusu fainali CECAFA, Bara yawa uwanja wa mazoezi

Timu madhubuti ya Zanzibar, Zanzibar Heroes imetinga nusu fainali baada ya kutoa sare na timu ngumu na mwenyeji wa mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP Harambee Stars (Kenya).

Licha ya ugumu wa mechi hiyo bado Zanzibar heroes iliweza kuonesha ubora wake ikimaliza mechi hiyo ikiwa imemiliki mpira kwa asilimia 55 dhidi ya 45 za Kenya huku mchezaji bora wa mechi hiyo akiwa ni kijana mdogo mwenye mambo makubwa uwanjani Feisal Salum maarufu kama Fei toto.

Kwa upande wa timu ya Tanzania Bara...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani