(Yesterday)

Zanzibar 24

Zanzibar yalilia uanachama wa kudumu CAF

Hatma ya Soka la Zanzibar kuanza kutimiza ndoto zake za kuwa mwanachama kamili wa Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF” litajulikanwa Machi 16, 2017 huko Addis Ababa, Ethiopia baada ya kumalizika kikao cha Kamati ya Tendaji ya Shirikisho hilo.

Katika Mkutano huo wajumbe wa shirikisho hilo watapiga kura ya kuwa Zanzibar ipewe uanachama wa kudumu wa CAF au la na kama Zanzibar itapata idadi ya kura theluthi mbili yaani 2/3 ya wanachama wote, itatangazwa kuwa mwanachama mpya kamili wa CAF...

 

(Yesterday)

News24

SA golfing great to design East Africa's first signature golf resort in Zanzibar


News24
SA golfing great to design East Africa's first signature golf resort in Zanzibar
News24
Cape Town - SA golfers hankering for a tropical golfing break will have one more interesting option to add to their sporting bucket list this year. Ernie Els Design, owned by golfing great Else himself, will be taking on the a new golf course design ...

 

(Yesterday)

Michuzi

NEC YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KATIKA JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe (katikati) akimweleza jambo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (kushoto) alipotembelea kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Maandalizi ya Nyamanzi katika jimbo la Dimani leo. Kulia Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dimani Bi. Idaya Seleman Hamza.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akiangalia Orodha ya majina ya wapiga...

 

(Yesterday)

Bongo5

New Video: Mr Nana f/ Cassim Mganga – Zanzibar

Video ya wimbo wa msanii Mr Nana akimshirikisha Cassim Mganga, Zanzibar. Ngoma imetayarishwa na Aby Dady.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

(Yesterday)

Zanzibar 24

Maradhi yasiyopewa kipaombele yataka kutokomezwa Zanzibar

Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo cha maradhi ya yasio pewa kipaumbele (kichocho,matende, na Vikope)kimo katika harakati za kuyatokomeza kabisa maradhi hayo katika maeneo ya Zanzibar.

Hayo yamesemwa leo huko Mkoa wa Kusini Unguja katika Hoteli ya visital inn Jambian na Dr.wa maradhi hayo Khalifan Abdalla Mohamed wakati wa semina ya mapitio wa mradi uliomaliza wa kuyatokomeza maradhi hayo .

Washiriki mbali mbali wa Semina wakifanya mapitio ya Mradi wa kutokomeza Maradhi yasiopewa...

 

(Yesterday)

Habarileo

Zanzibar yatia mguu mmoja CAF

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imepitisha ombi la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) la Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa CAF.

 

1 day ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAANDAA SEMINA YA MAPITIO YA MRADI WA MARADHI YASIOPEWA KIPAUMBELE

Na Ali Issa, Maelezo Zanzibar.

Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo cha maradhi ya yasio pewa kipaumbele (kichocho, matende, na Vikope)kimo katika harakati za kuyatokomeza kabisa maradhi hayo katika maeneo ya Zanzibar.

Hayo yamesemwa leo huko Mkoa wa Kusini Unguja katika Hoteli ya visital inn Jambian na Dr.wa maradhi hayo Khalifan Abdalla Mohamed wakati wa semina ya mapitio wa mradi uliomaliza wa kuyatokomeza maradhi hayo .

Amesema maradhi ya kichocho na matende yaliathiri sana wananchi wa...

 

1 day ago

Michuzi

OMBI LA UANACHAMA WA ZANZIBAR KUJADILIWA CAF

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) la Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa CAF. Katika kikao chake cha Kamati ya Utendaji kilichoketi Januari 12, mwaka huu kiliamua kupitisha ombi hilo kuwa moja ya ajenda za Mkutano Mkuu wa CAF utakaofanyika Machi 16, 2017 huko Addis Ababa, Ethiopia.
Hivyo sasa Mkutano Mkuu huo utapiga kura na kama Zanzibar itapata idadi ya kura theluthi mbili yaani 2/3 ya wanachama...

 

1 day ago

MwanaHALISI

Lissu ‘atonesha donda’ la Zanzibar

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar haukuwa uchaguzi halali kisheria, anaandika Faki Sosi. Lissu amesema hayo leo alipokuwa akijibu maelezo ya awali katika kesi ya uchochezi inayomkabili pamoja na Simon Mkina, Mhariri mkuu na mmiliki wa gazeti la MAWIO, Jabir Idrissa, mwandishi ...

 

1 day ago

Dewji Blog

Kamati ya Utendaji CAF yapitisha ombi la TFF la Zanzibar kuwa mwanachama kamili

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) la Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa CAF. Katika kikao chake cha Kamati ya Utendaji kilichoketi Januari 12, mwaka huu kiliamua kupitisha ombi hilo kuwa moja ya ajenda za Mkutano Mkuu wa CAF utakaofanyika Machi 16, 2017 huko Addis Ababa, Ethiopia.

Hivyo sasa Mkutano Mkuu huo utapiga kura na kama Zanzibar itapata idadi ya kura theluthi mbili yaani 2/3 ya wanachama...

 

1 day ago

Zanzibar 24

New Generation Queens watoa sababu za kutoshiriki ligi ya Zanzibar

Ligi kuu soka ya Zanzibar kwa upande wa Wanawake tayari imeshaanza tangu Jumatatu lakini msimu huu imekuwa haina msisimko kwa kukosekanwa timu mbali mbali hasa za upande wa Kisiwa cha Pemba ambapo hakuna hata timu moja jambo ambalo limepelekea ligi hiyo kuwa na timu tano pekee.

Lakini Malkia wa Soka Visiwani Zanzibar timu ya New Generation Queens ya Kwahani haijashiriki ligi hiyo kwasababu mbali mbali ikiwemo ZFA kuwafungia wachezaji wao watano muhimu pia kutoshirikishwa kikamilifu na kamati...

 

2 days ago

Zanzibar 24

Kitengo cha kumaliza malaria Zanzibar Chafanya mkutano na wadau wake

Meneja Kitengo cha kumaliza Malaria Zanzibar Abdalla Suleiman Ali amesema mashirikiano ya pamoja yanahitajika kuanzia ngazi ya shehia hadi Taifa katika kufikia malengo ya kumaliza maradhi hayo nchini.

Meneja Kitengo cha kumaliza Malaria Zanzibar Abdalla Suleiman Ali akifungua mkutano wa siku moja wa wadau wa Malaria uliofanyika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar.

 

Alisema kazi ya kumaliza  Malaria Zanzibar sio kazi rahisi kama inavyofikiriwa na watu wengi lakini nguvu za pamoja za...

 

2 days ago

Mwananchi

Wanaokiuka sheria Zanzibar waadhibiwe

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein hivi karibuni amekuwa akiwatahadharisha watu wa Zanzibar hasa vijana juu ya hatari na athari za kutoheshimu sheria. Wakati akiwa Pemba alikutana na wananchi kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi na kuwaonya wanaovunja sheria kwamba mwisho wa siku watajikuta wamejiingiza katika matatizo.

 

3 days ago

Zanzibar 24

Kocha mkuu wa timu ya wanawake Zanzibar ajitoa wasiwasi michuano ya CECAFA msimu ujao

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Wanawake ya Tanzania “Twiga Stars” ambae pia ni kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Wanawake “Zanzibar Queens” Nassra Juma amesema kuanza kwa ligi kuu ya Zanzibar ya Wanawake ni dalili njema ya kuwa na timu nzuri na ya ushindani ya Taifa ya Zanzibar .

Amesema kuanza kwa ligi hiyo juzi ni faida kubwa kwao kwani watapata fursa ya kuchagua wachezaji wa timu ya Taifa ambapo karibu ya misimu miwili mfululizo ligi hiyo haikuchezwa.

“Hii ni faida kubwa kwa soka la...

 

3 days ago

Michuzi

DKT. SHEIN, MZEE MWINYI WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NJE KATIKA TAMASHA LA TATU LA BIASHARA ZANZIBAR


Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein akipatiwa maelezo ya namna ya wajasiriamali wa Tanzania watakavyoweza kufaidika kwa kutumia soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki, kutoka kwa Bi. Vivian Rutaihwa, Afisa Biashara kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein akimsikiliza Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani