1 week ago

Zanzibar 24

Shamsa Ford aomba Mungu yasimfike kama yaliyomfika Zari

Mrembo huyo ametumia mtandao wa kijamii wa Instagram kumuomba Mwenyezi Mungu amuapushe na mkosi wa kuachwa kwa aina ya kuweka UA jeusi ambalo limekuwa liwaandama baadhi ya wasanii bongo.
“Mwenyezi Mungu niepushie hili UA na huu uzee nitaenda Wapi.linatisha khaaaa,” ameandika Shamsa ambaye ameolewa na mwaka 2016 na mfanyabiashara maarufu Bongo.

Siku chache zilizopita muigizaji huyo alibainisha moja ya sababu zinazovunja mahusiano ya watu watu maarufu ambani ni kuingiza umaarufu wao katika...

 

2 weeks ago

Nairobi News

Socialite Zari under fire for offering Nairobi ladies 'free cancer'


Nairobi News
Socialite Zari under fire for offering Nairobi ladies 'free cancer'
Nairobi News
Ugandan-born socialite Zari Hassan was roasted online after offering Nairobi ladies “free cancer” during her upcoming trip in May. Zari had posted on Instagram an announcement of 'Colour Purple' concert that will be held at Uhuru Gardens on Lang'ata ...
Zari to visit Kenya after Diamond's album launch in Nairobi (Full Details)PulseLive Kenya (satire)

all 2

 

2 weeks ago

Malunde

ZARI : NATAFUTA PESA MPYA, SIHITAJI MWANAUME

Zari ameibuka na jipya tena huku safari hii akisisitiza kuwa wale wanaume wakware wote waliopanga foleni kusubiri penzi la Zari hawana nafasi kwani hana muda wa kuwa na mpenzi kwa sasa.


Zari alitangaza kumuacha mpenzi wake na Baba watoto wake staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, mwezi uliopita lakini tangu hapo Kumekuwa na tetesi nyingi juu ya Zari kupata mwanaume mwingine wa kuchukua nafasi ya Diamond.

Kupitia kurasa yake ya SnapChat Zari ameweka wazi kuwa haitaji mpenzi kwa sasa baada ya...

 

3 weeks ago

Nairobi News

Wema: I didn't kiss Diamond, I'm not responsible for his break up with Zari – VIDEO


Nairobi News
Wema: I didn't kiss Diamond, I'm not responsible for his break up with Zari – VIDEO
Nairobi News
Tanzanian actress Wema Sepetu has denied claims that she is responsible for the recent break up between Diamond Platinumz and Zari Hassan. In a media interview, Wema said video and photos of her hugging Diamond were taken during a Wasafi Records event ...
Wema Sepetu addresses rumors linking her to Diamond Platnumz, says he is her new boss at Wasafi TV!Ghafla!

all 2

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Zari aelezea sababu kuu za kummwaga Diamond Platnumz

Zari aelezea sababu kuu za kummwaga Diamond Platnumz

 

4 weeks ago

Malunde

ZARI : NIMEACHANA KABISA NA DIAMOND VITENDO VYAKE NA MA X WAKE VIMENIFANYA NIDHALILIKE


Zari Hassan maarufu Zari The Boss Lady amesema hafikirii na hatarajii kurudiana na mzazi mwenzake Naseeb Abdul 'Diamond'.


Zari aliyezaa watoto wawili na Diamond ambaye ni msanii maarufu wa muziki ndani na nje ya nchi amesema hayo jana Februari 23,2018 alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

"Nilikaa muda mrefu nikafikiria vitu vingi ndipo nikasema unajua nini, nahitaji kufikia mwisho wa hili," amesema Zari alipoulizwa swali na mtangazaji Mariam Omary kuhusu ujumbe aliouweka...

 

1 month ago

Zanzibar 24

Msanii mwengine ammendea Zari baada ya kuachana na Diamond

Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Ringtone Apoko ameweka wazi mipango yake ya kutaka kutoka kimahusiano na Zari The Boss Lady.

Maamuzi ya msanii huyo yanakuja ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Zari kutangaza kuachana na Diamond. Kupitia mtandao wa Instagram Ringtone Apoko ameeleza kuwa Diamond hawezi kumuhudumia Zari kwani mrembo huyo anamuhitaji mtu kama yeye.

“Zari Hassan needs a man to lead her to church and to Christ. Diamond can’t offer such. Naomba namba yake Zari...

 

1 month ago

BBCSwahili

Zari: Nimeachana na Diamond

Mashabiki wapokea kwa mshangao habari za kuvunjika kwa mahusiano kati ya Diamond na Zari.

 

1 month ago

Malunde

ZARI AMCHANA DIAMOND .....'UTAKOMA TU MWENZANGU

Ikiwa leo ni siku ya tatu toka Zari atangaze rasmi kuachana na mzazi mwenzake Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram, Leo Februari 17,2018 kupitia mtandao wa Snapchat wa Zari ameandika caption ambayo inatafsirika ni ujumbe kwa Diamond Platnumz.
Zari the boss lady ameandika “Utakoma tu mwenzangu” akiwa anaangalia wimbo wa Sikomi wa Diamond Platnumz kwenye Tv.

 

1 month ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Aliyemponza Trafiki kufukuzwa asakwa, Mambo 7 yaliyomng’oa Zari kwa Diamond

Karibu Ayo TV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapowekwa. Bonyeza hapa chini kusomewa magazeti ya leo February 12, 2018 na Janeth Mesomapya  MAGAZETI: CHADEMA yazuia bao la mkono, Fuvu la miaka 100 lakutwa Ofisi za Mawakili

 

1 month ago

MillardAyo

Maamuzi ya Zari yanavyodaiwa kumtesa Diamond Platnumz

Leo February 16,2018 Diamond Platnumz ameonekana kuonyesha hisia zake juu ya maamuzi  ya Zari kuachana nae, kupitia instagram account yake Diamond amekuwa akipost video clips mbalimbali za nyimbo za mapenzi. Kupitia instagram ya Diamond Platnumz amepost kipande cha wimbo wake wa Sikomi na kuandika “Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae😟…. Anyways 28 […]

 

1 month ago

MillardAyo

Diamond kwa mara ya kwanza tangu aachwe na Zari

Stori za Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz bado zinaendelea kushika headlines  hasa kuhusu uhusiano wake na Zari ambapo leo February 16,2018 kupitia instagram account ya Diamond amekuwa akipost video clips  zinzaohusiana na kuumizwa kitu kinachopelekea watu kuhusisha na kuachwa kwake na Zari the bosslady. Diamond Platnumz amepost video kupitia ukurasa wake wa instagram wa wimbo […]

 

1 month ago

Zanzibar 24

Ujumbe wakwanza kutoka kwa Diamond Platnumz tangu Zari kutangaza kuachana nae

Baada ya masaa kadhaa kupita tangu Zarina Hassan maarufu kama  Zari The Bosslady kutangaza kuachana rasmi na mzazi mwenzake mwanamuziki wa Bongo fleva Naseeb Abdul Juma (Diamond Platnumz).

Kupitia mtandao wa Instagram Diamond ameonekana amepost kipande cha video cha wimbo wa Mbosso ‘Nimekuzoea’ huku akiambatanisha na ujumbe.

Ujumbe aliotuma Diamond:

Hayo Mashairi Chaganya na Ua Jeusi…… Dah @mbosso_naona Kama Ulintabiria Mdogo angu😭😥🤦‍♂️

 

 

Instagram Photo

The post Ujumbe wakwanza kutoka kwa Diamond Platnumz...

 

1 month ago

Zanzibar 24

Ujumbe wa Zari baada ya kutangaza kuachana na Diamond Platnumz

Baada ya kupita takribani  masaa 35 tangu Zari The Bosslady kutangaza kuachana na Diamond, mrembo huyo ameibuka na ujumbe mpya ambao unaonekana kama ametupa jiwe gizani.

 

Instagram Photo

Kupitia mtandao wa Instagram leo (Ijumaa), mrembo huyo amepost picha mbili zenye ujumbe tofauti. Katiaka picha ya kwanza hiyo hapo juu ambayo ameiweka kwenye mtandao huo, Zari ameandika, “Consistency is key #Mompreuer”.

Instagram Photo

Wakati huo huo kwenye picha nyingine malkia huyo ameandika, “Me when people ask what I do…. whatever...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani