2 days ago

CCM Blog

UWT MKOA WA DAR ES SALAAM, WAFANYA ZIARA KIGABONI, TEMEKE, WAPOKEWA KWA KISHINDO, WAMFAGILIA RAIS DK. MAGUFULI KWA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA NCHNI.

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akizungumza na Wajumbe Wa Kamati ya Utekelezaji wa Jumuiya hiyo Wilaya ya Kigamboni, alipofanya ziara ya Kikazi katika Wilaya hiyo na Temeke, leo. Dorothy ambaye alifuatana na Katibu wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Tatu Malyaga na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT mkoa huo, amesisitiza kuwa ni lazima viongozi watambue kuwa muda wa maandalizi ya ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao ni sasa. Kumradhi...

 

3 days ago

Zanzibar 24

Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi yafanya ziara katika wizara ya afya

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akiikaribisha Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi ilipofika ofisini kwake Mnazi mmoja kwa ajili ya kutoa mrejesho wa ziara yake iliyofanya katika Vitengo vya Wizara hiyo.

 

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini akizungumza machache kabla ya Wajumbe wa Kamati yake kuchangia taarifa ya ziara yao kwa Vitengo vya Wizara hiyo.

 

Katibu wa Wizara ya Afya Asha Abdulla akisoma taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Wizara kwa...

 

3 days ago

Michuzi

KAMATI YA USTAWI WA JAMII YA BARAZA LA WAWAKILISHI YAFANYA ZIARA KATIKA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed akiikaribisha Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi ilipofika ofisini kwake Mnazi mmoja kwa ajili ya kutoa mrejesho wa ziara yake iliyofanya katika Vitengo vya Wizara hiyo. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini akizungumza machache kabla ya Wajumbe wa Kamati yake kuchangia taarifa ya ziara yao kwa Vitengo vya Wizara hiyo. Katibu wa Wizara ya Afya, Asha Abdulla akisoma taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Wizara...

 

4 days ago

Zanzibar 24

Makamu wa Rais aanza ziara ya siku 3 Pemba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya siku tatu Pemba ikiwa na lengo la kuhamasisha shughuli za maendeleo.

Makamu wa Rais ambaye amewasili Pemba alasiri ya leo na kupokelewa na viongozi mbali mbali wa Serikali na Chama ambapo alipokea taarifa za mikoa miwili ya Pemba.

Pia Makamu wa Rais alizuru kaburi la Dkt. Omar Ali Juma lililopo Wawi, Pemba na kuweka shada la maua.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...

 

4 days ago

Michuzi

Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshauri wa Rais...

 

1 week ago

VOASwahili

Tillerson alifanya ziara ya kwanza ya kidiplomasia Afrika kabla ya kufukuzwa kazi

Tillerson alielezea msimamo thabiti wa Marekani kushirikiana na bara la Afrika

 

1 week ago

VOASwahili

Rex Tillerson akamilisha ziara ya wiki moja ya kutembelea nchi 5 za Afrika

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani amekamiisha ziara ya kutembelea mataifa matano ya Afrika ambako amezungumzia masuala ya usalama, kupambana na ugaidi na ushirikiano kati ya nchi zao.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Tillerson afupisha ziara yake Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson amefupisha ziara yake ya Afrika kwa siku moja ili kurudi Marekani kushughulikia masuala muhimu likiwemo la Korea Kaskazini.

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Rais Kenyatta na Raila Odinga waandaa ziara Rasmin ya Nchi nzima

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na  hasimu wake ambaye ni kiongozi wa umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, Raila Odinga wamepanga kufanya ziara ya nchi nzima kuhamasisha amani, mshikamano na umoja.

Kwa mujibu wa gazeti la The Star limeripoti kuwa ziara hiyo itaanzia maeneo ambayo vyama vya upinzani nchini humo vina nguvu zaidi na kuendelea maeneo mengine.

Gazeti hilo limeripoti kuwa ziara hiyo itaanzia jimbo la Nyanza ingawaje tarehe rasmi ya ziara hiyo bado haijatangazwa.

Wakati hayo...

 

2 weeks ago

Malunde

MWOMBEKI STAMBULI AFANYA ZIARA SHINYANGA,ASHIRIKI ZOEZI LA KUFYATUA MATOFALI SHULE YA SEKONDARI NDALA

Mjumbe wa mkutano mkuu UVCCM taifa mkoa wa Shinyanga Mwombeki Stambuli amefanya ziara katika kata ya Ndala manispaa ya Shinyanga kwa kuitemblea shule ya sekondari Ndala na kuongoza zoezi la ufyatuaji matofali zaidi ya 200 kwa ajili ya ujenzi wa choo katika shule hiyo.
Akiongea na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi jana wakati wa ziara yake, Stambuli alisema ameguswa na tatizo la upungufu wa vyoo katika shule hiyo hali iliyomsukuma kufika shuleni hapo na kuongoza zoezi la kufyatua matofali kwa...

 

2 weeks ago

CCM Blog

KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MKOA WA DAR ES SALAAM, YAANZA ZIARA YA VIKAO VYA KIKAZI KATIKA WILAYA ZOTE, LEO

 Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo alipozungumza na Viongozi wa Jumuiya Wiyo wa Wilaya na Kata ya Ubungo katika kikao cha kazi kilichofanyika katika Wilaya hiyo leo. Wengine kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa na kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT mkoa wa Dar es Salaam Eizabeth Lameck, Madiiwani wa Viti maalum Rehema Mayunga na Florence Masunga na Katibu wa UWT mkoa wa Dar es salaam Tatu Malyaga.
Mwenyekii wa UWT...

 

2 weeks ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI ILEJE, AFUNGUA KITUO CHA AFYA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI


 Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu  akitoa udongo wakati wa  uchimbaji wa msingi katika ziara yake ya ufunguzi wa kituo cha Afya cha Mtura kata ya Lubanda wilaya ya Ileje. Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu  akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa kituo cha Afya Mtura kilicho katika kata ya Lubanda Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu  ...

 

2 weeks ago

Michuzi

WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA KIBAHA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage jana tarehe 6 Machi, 2018 amekabidhi eneo lenye ukubwa wa hekari 200 kwa mkandarasi SUMA JKT ambaye atakuwa na kazi ya kufanya leveling kwa ajili ya ujenzi wa sheds kwa Viwanda Vikubwa na vya kati. Katika eneo hilo la TAMCO Kibaha vitajengwa Viwanda vya nguo, Viwanda vya madawa ya binadamu na Wanyama, Viwanda vya kuunganisha magari na mitambo kama matrekta, ili kuongeza ajira kwa watanzania.

 

2 weeks ago

Michuzi

KATIBU WA ORGANAZESHENI CCM ZANZIBAR AFANYA ZIARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.KATIBU wa  Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Organazesheni CCM Zanzibar ,Ndugu Bakari  Hamad Khamis amesema wanachama na watendaji wa CCM wanatakiwa kuandaa mipango endelevu ya kuhakikisha Chama kinashinda na kubaki madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Rai hiyo ameitoa katika ziara yake ya kujitambulisha kwa watendaji wa Chama na Jumuiya zake ambao ni wajumbe wa Sekreterieti za Wilaya na Majimbo ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, amesema Chama Cha Mapinduzi ili...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani