4 months ago

RFI

Mvutano kati ya Burundi na Rwanda: Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Rwanda asitisha ziara yake Burundi

Mwanamuziki maarufu nchini Rwanda Ngabo Medard Jobert maarufu kama Meddy, amesitisha ziara yake katika nchi jirani ya Burundi kwa sababu za kiusalama.

 

4 months ago

CHADEMA Blog

JESHI LA POLISI LIWAACHIE WENYEVITI WA VIJIJI WALIOKAMATWA ZIARA YA RAIS MAGUFULI, MKOANI MARA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA JESHI LA POLISI LIWAACHIE WENYEVITI WA VIJIJI WALIOKAMATWA ZIARA YA RAIS MAGUFULI, MKOANI MARA Wenyeviti wawili wa Serikali za Vijiji, Jijini cha Natta, Kata ya Natta, Serengeti na Kijiji cha Kewanja, Kata ya Kemambo, Tarime Vijijini ambao wote wanatokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliokamatwa wakati wa ziara ya Mhe. Rais John

 

10 months ago

CCM Blog

ZIARA YA DK. MNDOLWA GEITA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akimtazama mtoto Athumani Elias (14), anavyochuja mchanga kwa maji kupata almasi, alipotembelea machimbo ya Lwamgasa mkoani Geita leo Julai 9, 2018, kufuatia mgogoro wa umiliki wa machimbo hayo kati ya Jumuiya ya Wazazi Geita na Jumuiya ya Wazazi Mwanza. Wakati machimbo hayo yapo Geita leseni imeshikiliwa na Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akipwa maelezo alipotembelea...

 

10 months ago

Michuzi

KONGWA WAFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU KUTEMBELEA MIRADI YA VIJANA ILI KUJIFUNZA

Na Stella Kalinga, SimiyuViongozi kutoka Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Deo Ndejembi pamoja na baadhi ya viongozi wa vikundi vya vijana wilayani humo wamefanya ziara Mkoani Simiyu ili kujifunza namna vikundi vya vijana vinavyotekeleza miradi yake.
Timu hiyo imefanya ziara ya siku mbili hadi Juni 08, 2018  katika miradi inayotekelezwa na vijana kwa kushirikiana na Halmashauri ambayo ni Kiwanda cha Chaki,  Kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi wilayani...

 

10 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MLOGANZILA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ufumbuzi umepatikana wa changamoto kubwa ya umeme inayoikabili hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila na kuahidi kusimamia utendaji ili umeme upatikane muda wote.
Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila....

 

10 months ago

Michuzi

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA DK MNDOLWA AANZA ZIARA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA SINGIDA, LEO.


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimiana na viongozi wa Jumuia hiyo baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Bukoba leo kuanza ziara katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza na Singida.

 

10 months ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA DK MNDOLWA AANZA ZIARA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA SINGIDA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia viongozi wa Jumuia hiyo baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Bukoba leo kuanza ziara katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza na Singida.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo mkoa wa Kagera katika Ofisi ya CCM mkoani humo, leoMwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Edmund Mndolwa akizungumza na viongozi haoViongozi meza Kuu wakiwa na Dk...

 

10 months ago

Michuzi

PROF. MBARAWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU KAMBI YA SOGA YA UJENZI WA RELI YA MWENDOKASI ‘SGR’…ATOA MAAGIZI MAZITO

Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano , Profesa Makame Mbarawa ( kulia) akipatiwa maelezo ya maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge)’SGR’ Juni 5, 2018, usiku eneo la kambi ya Soga ,iliyopo wilaya ya Kibaha , mkoani Pwani kutoka kwa Meneja mradi wa Kampuni ya Yapi Merkezi , Kemal Artuz.
Na John Nditi, Kibaha
WAZIRI wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano , Profesa Makame Mbarawa ameitaka  Kampuni ya Yapi Merkezi  ya nchini Uturuki inayojenga  reli ya kisasa (Standard...

 

10 months ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA ARDHI ANGELINA MABULA AANZA ZIARA MKOA WA LINDI NA KUHIMIZA ULIPAJI KODI YA ARDHI, ASULUHISHA MGOGORO BAINA YA WANANCHI WA KIJIJI CHA KICHONDA LIWALE MKOA WA LINDI NA MUWEKEZAJI

Na Munir Shemweta, Liwale Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amesuluhisha mgogoro ulipo katika kijiji cha Kichonda kilichopo wilayani Liwale mkoa wa Lindi baina na wakazi wa kijiji hicho kuhusu uhawishaji wa ardhi ya kijiji ekari 1000 kwenda kwa muwekezaji M/S KSM & AGL EXPORT FARM C LTD. Wananchi wa kijiji cha Kichonda wamekataa uhawishaji wa ardhi ya kijiji hicho kwenda kwa muwekezaji kwa madai kuwa muwekezaji huyo ameshindwa kutekeleza ahadi mbalimbali...

 

11 months ago

Michuzi

DKT KIJAJI AFANYA ZIARA MITAANI JIJINI DODOMA KUKAGUA MASHINE ZA EFD,ABAINI BAADHI YA WAFANYABIASHARA HAWAZITUMII

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amefanya ziara katika mitaa ya Jiji la Dodoma, kukagua upatikanaji wa huduma ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFDs), ambazo mfumo wake ulipata hitilafu hivi karibuni ambao hivi sasa umetengemaa na kubaini kuwa licha ya hitilafu iliyotokea, wafanyabiashara wengi katika jiji hilo hawazitumii ipasavyo mashine hizo.
Dkt. Kijaji aliyeambatana na Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

 

11 months ago

Michuzi

Prof.Mkenda afanya ziara katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha Namanga


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda, akizungumza na wajumbe (hawapo pichani)  waliohudhuria kikao baina yake, watendaji wa Kituo hicho na wafanyabiasha wanaozunguka eneo hilo kabla ya kuanza kwa ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kituo.Pro. Mkenda katika ziara hiyo aliambatana na Dkt.Susan Koech Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Maendeleo ya Ushoroba wa Kati kutoka nchini Kenya.
Wawili hao kwa pamoja sambamba na...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale afanya ziara ya kujitambulisha kwa Wafanyakazi wa ZBC

WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC alipowatembelea katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo Mjini Zanzibar.

 

MKURUGENZI Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Aiman Duwe akizungumza machache na kumkaribisha Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo ili kuzungumza na Wafanyakazi wa ZBC katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo Mjini Zanzibar.

 

BAADHI ya Wafanyakazi wa wa...

 

11 months ago

Michuzi

Wakurugenzi wa Bodi wa TPA wafanya ziara bandari ya Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (wa pili kulia) akionyesha moja ya maghara yatayovunjwa ili kupisha maboresho ya kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa ya kisasa na yenye uwezo wa kupokea meli kubwa zaidi aina ya ‘Panamax’. Wanaomsikiliza pichani ni Wakurugenzi wa Bodi ya TPA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Prof. Ignatus Rubaratuka (katikati) mara baada ya kufanya ziara bandarini hapo kukagua miradi ya maendeleo na utekelezaji wa huduma ya shehena bandarini hapo.Naibu...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani